[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na putoo analoooMsechu na Lissu wamefanana wenyewe, kama mtu na mdogo wake.
Kuna ndugu yetu aliwekewa puto akapungua, mkewe mzungu hakupenda alivyoongezeka baada ya ndoa. Sijui ikawaje tena alikuja kunenepa akawa puto halisi.
Mkuu huyu jamaa mimi nimesoma nae Advance Tanga alikuwa na mwili wa kawaida kabisa sifa yake kuu alipenda kula. Yani siku ya wali alikuwa na anakuja na kisado kile cha kopo la rangi.Miaka 3 ana 4 huko nyuma msechu alikua anajisifia kwamba anamaliza sahani 3 za wali maharage peke yake na anapenda sana kula na asizuiwe kula.
Leo anasema hata asipokula hapungui.
Aliona sifa kula. Sasa acha yampate.
Alisema kabisa huwa hashibi.Hajamaanisha kwamba akila hashibi hapana alimaanisha yaani anakula kidogo tu ili apungue lakini pia haimsaidii hiyo formula.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mkuu huyu jamaa mimi nimesoma nae Advance Tanga alikuwa na mwili wa kawaida kabisa sifa yake kuu alipenda kula. Yani siku ya wali alikuwa na anakuja na kisado kile cha kopo la rangi.
Nashangaa sahivi kapata reward za kupenda kula analalamika tena[emoji23].
Tusijidanganye wanene wa asili ni wachache sana wengi wanakuwa vibonge kwa kupenda kula sana.
Wema inasemekana kaweka putoKumbe watu wanaweza kupungua kwa puto sasa kwanini msinge mshauri na wema sepetu akaweka puto kuliko kukata utumbo [emoji15][emoji15]
Hilo puto linaingizwa likiwa tupu kupitia njia ya chakula linapelekwa Hadi tumbo la chakula, likifika huko linajazwa upepo, kwa hiyo kasehemu ka chakula kanabaki kadogo, sehemu kubwa unakuwa umechukuliwa na Hilo puto. Kwa hivyo mhusika anakuwa akila tu kiduchu anajiona kavimbiwa. So automatically mtu atapungua.Nimesoma Comments zote Ila sijaona anaeuliza au kuelezea Hilo puto linakaaje na litafanyaje kazi na kumsaidiaje?
Mtueleweshe basi wa tabuelimu.
Kumbe siri ya kupungua ni kula kidogo...hivi huwez kujicontrol mwenyewe bila hilo puto?Hilo puto linaingizwa likiwa tupu kupitia njia ya chakula linapelekwa Hadi tumbo la chakula, likifika huko linajazwa upepo, kwa hiyo kasehemu ka chakula kanabaki kadogo, sehemu kubwa unakuwa umechukuliwa na Hilo puto. Kwa hivyo mhusika anakuwa akila tu kiduchu anajiona kavimbiwa. So automatically mtu atapungua.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Utaumwa njaa tuu, tumbo halielewi, Tena ukiwa mnene ndo njaa inakuwa nyingi kuliko ukiwa mwembamba.Kumbe siri ya kupungua ni kula kidogo...hivi huwez kujicontrol mwenyewe bila hilo puto?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Akiingia kwenye kikundi Cha T.O.T anaweza kuwa mbadala wa Komba kwa Muonekano na kipajiView attachment 2495475
View attachment 2495476
Huu sio mwili wake, ukiwa unanenepa unajidanganya kwa kuvaa nguo oversize lakini haiwezi kusaidia kitu hiyo hali
Mh!....atavunja mtu
Tafadhali mkuu...Eti anaogopa kulala hotelini ni pachafu.
Aseme tu ukweli, anaogopa kujamba hoteli nzima ikanukia kijambo.
Watu wanene wanajamba balaa.
Aisee.Kwa hiyo sasa hivi hawezi kuzama majini sababu ya uwepo wa puto tumboni?
Hasara ya kwanza nayochukia ni kukosa nguo nzuri, na kupata nguo kwa shida sana