Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Aisee mi nilijua alieandika mchambo ni mwanamke kumbe mwanaume???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sifa ya mwanaume kunyamaza, na mwanaume mstaaarabu akikutana na mtu kidomo domo ananywea anaacha yanapita. Ila sasa hapa duu...job true true(kazi kweli kweli....)
 
Huyo AT kama ni mwanaume basi anatia shaka sana.
 
Haha inaitwa vifuu tundu, alimshirikisha Mwanne
 
Duh wanaume wa kweli wanazidi kupungua siku hadi siku, binafsi siwezi hata kujibizana na Girl wangu akiniudhi ni action tu, sina muda wa kujibizana na mtu hata awe Nani
 
AT ndiyo nani jamani? (au kirefu cha hiyo AT ni nini? Mimi mgeni maeneo haya.
Hiyo AT ina historia mchanganyiko. Huyu mshikaji tumeishi naye Buguruni. Na kutokana na urefu wake tukawa tunamuita Ali tall, Ali tall. Wakati anatoka akaona sio issue acha ajiite Ali tall ila yeye akafupisha na kuitwa AT. Badae akawa mjanja mjanja akaona Ali tall hailipi basi hiyo AT akaiita Amazing Talent.

Bila shaka nimekujibu vyema.
 
Asante, nilikuwa sijui na mimi
 
Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Hata mimi nilikuwa najiuliza haya maneno yameandikwa namwanaume rijali au ndio wale kina kaoge. Dah nina mashaka kidogo na huo uanaume wake eti babu unikome..............
 
Asante sana. Nimeelewa sawia.
 
ila jamaa Ana stail yake ya kuvaa ni mbunifu ila hilo jungu jamaa alilo mpiga Linachekesha kweli

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mi Leo nitacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…