Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Aisee mi nilijua alieandika mchambo ni mwanamke kumbe mwanaume???[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo AT kama ni mwanaume basi anatia shaka sana.“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT kwenye Instagram.
“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”
“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”
View attachment 382262
Haha inaitwa vifuu tundu, alimshirikisha MwanneUshawahi sikiliza nyimbo zake na unajua aina ya muziki anaoimba,yeye kuwa na maneno ya shombo ni sawa na. Kondakta kuwa na chenchi si jambo la kushangaza.Kuna kipindi offside trick walitoa nyimbo wakamshirikisha na baby jay ya kumdiss jumla kama watu wa nne hivi.yeye akawajibu peke yake wakafyata mkia wote
Ndo hyohyo dadaanguHaha inaitwa vifuu tundu, alimshirikisha Mwanne
Mmh AT ana maneno khaaaNdo hyohyo dadaangu
Hiyo AT ina historia mchanganyiko. Huyu mshikaji tumeishi naye Buguruni. Na kutokana na urefu wake tukawa tunamuita Ali tall, Ali tall. Wakati anatoka akaona sio issue acha ajiite Ali tall ila yeye akafupisha na kuitwa AT. Badae akawa mjanja mjanja akaona Ali tall hailipi basi hiyo AT akaiita Amazing Talent.AT ndiyo nani jamani? (au kirefu cha hiyo AT ni nini? Mimi mgeni maeneo haya.
ana nyimbo za kishombo shombo na kimbea mbeaHaha inaitwa vifuu tundu, alimshirikisha Mwanne
Vifuu tundu maana yake nini SasaMmh AT ana maneno khaaa
Asante, nilikuwa sijui na mimiHiyo AT ina historia mchanganyiko. Huyu mshikaji tumeishi naye Buguruni. Na kutokana na urefu wake tukawa tunamuita Ali tall, Ali tall. Wakati anatoka akaona sio issue acha ajiite Ali tall ila yeye akafupisha na kuitwa AT. Badae akawa mjanja mjanja akaona Ali tall hailipi basi hiyo AT akaiita Amazing Talent.
Bila shaka nimekujibu vyema.
Hata mimi nilikuwa najiuliza haya maneno yameandikwa namwanaume rijali au ndio wale kina kaoge. Dah nina mashaka kidogo na huo uanaume wake eti babu unikome..............Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Asante sana. Nimeelewa sawia.Hiyo AT ina historia mchanganyiko. Huyu mshikaji tumeishi naye Buguruni. Na kutokana na urefu wake tukawa tunamuita Ali tall, Ali tall. Wakati anatoka akaona sio issue acha ajiite Ali tall ila yeye akafupisha na kuitwa AT. Badae akawa mjanja mjanja akaona Ali tall hailipi basi hiyo AT akaiita Amazing Talent.
Bila shaka nimekujibu vyema.