Mbowe ana zaidi ya mwaka toka ang'oke.... Ilikuwaje hakurudi mara tu baada ya Tundu Lissu kuchukua uongozi wa Chama ndio aje arudi leo?Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
Jiandae kuanza kumpongeza, Sasa yale matusi yako kwake kumuona hajitambui utayasafishaje 😂😆😆😆😆
Akili huna wwMsigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
Komredi, kwani Mbowe hayuko tena CHADEMA?Mbowe ana zaidi ya mwaka toka ang'oke.... Ilikuwaje hakurudi mara tu baada ya Tundu Lissu kuchukua uongozi wa Chama ndio aje arudi leo?
Baba yako aliwahi kukulawiti?Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Binafsi nimeshangaa sana komredi. Ila nadhani huyu mwamba alimaanisha Mbowe kuachia uenyekiti....Komredi, kwani Mbowe hayuko tena CHADEMA?
Upuuzi wa aina hii unaitwa ad hominem!Akili huna ww
Amechagua timing inayompendeza yeye! BTW, nimewahi kusema before kwamba Msigwa angerudi CHADEMA. It was just a matter of time!Mbowe ana zaidi ya mwaka toka ang'oke.... Ilikuwaje hakurudi mara tu baada ya Tundu Lissu kuchukua uongozi wa Chama ndio aje arudi leo?
He is a spent force!Komredi, kwani Mbowe hayuko tena CHADEMA?
Hivi,kwa mawazo ya haraka, unaweza kumdhibiti Lissu katika lipi hasa?Kama kifo chenyewe kilimuacha aende zake,wewe utafanyaje?Hebu muulize Kikwete akupe muhtasari wa khabari.Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.
Hizo taratibu za CHADEMA zimekuruhusu kujitangaza mwenyewe kurudi ndani ya chama ulichokiasi?Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kumbe Selasini nae alisharudi Chadema!.Naona CHADEMA ikiingia majaribuni kwa kasi, ingawa sina uhakika kama ni kwa kujitakia au?
Baada ya Selasini, sasa Msigwa nina imani kuna wengine wako njiani, huku ni kujiingiza majaribuni.
Wajiulize, wakibaki bila hawa wasio kuwa na msimamo, watapungukiwa nini? Au kuja kwao kutaongeza nin ambacho hakiwezi kufanyika bila wao?
Kwanini, hili wimbi liwe sasa? Chama kimejiridhisha vipi kuwa, hawa hawawezi kuwa chanzo cha migogoro?
Eti Selasini karudi CDM.... heri wenye vyama vyao. Hatujifunzi?
Ngoja nijaribu kujibu swali lako; pamoja na kwamba ni swali gumu.Hivi,kwa mawazo ya haraka, unaweza kumdhibiti Lissu katika lipi hasa?Kama kifo chenye kilimuacha aende zake,wewe utafanyaje?Hebu muulize Kikwete akupe muhtasari wa khabari.
Wote sasa hata walioko CHAUMMA ni majuto tupu!I can guarantee you all, Msigwa amerudi Chadema kwasababu teuzi ndani ya CCM ameona zinazidi kuchelewa.
Kama angeteuliwa mapema, leo angekuwa anatetea yale mauaji ya Okt. 29.