Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Huwa nawaambia watu MASKINI HANA KIAPO...Watu wa misimamo walishakufa Kipindi cha Adolf Hitler.
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Atapokelewa. Alikuwa timu moja na uongozi wa sasa katika mpango wa kumuondoa Mwenyekiti aliyepita. Ni mtu wao.

Amandla...
 
Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
Na wakati anafanya kampeni dhidi ya Chadema ilikuwa kwa sababu Mbowe ni Mwenyekiti? Lissu alisema fedha za Abduli zilitumika kumnyima Uenyekiti wa Kanda lakini alikaa kimya Msigwa alipomfuata Abduli. Huyu ni tamaa zake ndio zilimuondoa Chadema na alipoona CCM hawana mpango nae ndio anajifanya kurudi Chadema.

Amandla...
 
Chadema n kama baba mzazi

Mtoto wako akikukosea kwa matus na akaondoka nyumbn lakn si punde maisha yakampiga akaomba msamaha arid nyumban utamkatalia asirud nyumban?

Ndyo ilivyo kwa PITA ameona makosa yake ameomba msamaha kama mzazi chadema itamrudisha

LAZARO NYALANDU aliwah kuwa had wazir akahama CCM akahamia CHADEMA lakn amerud CCM na wamempokea Leo n mshaur wa nayejiita RAIS

Kwa hyo siyo kosa kwa msigwa kurud alikotoka..

Niamin mm mtu mbaya aliyehamia chadema ni yule bwana THIRTY (30) yule haaminiki.hata kidogo
 
Wewe mnafiki na mchonganishi.
Msigwa hajakosa akili kiasi cha kufikiria akirudi CHADEMA atafikiriwa kuwa mwenyekiti.
Msigwa anapenda sana vyeo, kilichomtoa chadema ni kukosa cheo, kule alipoenda nako kakosa cheo ndomana kakimbiako, sehemu rahisi anapopamudu kufosi cheo ni chadema na safari hii atakipata we subiri utaona!!
 
Chadema wakimpokea nitawadharau sana na ntawaona hawajitambui, wala hawawezi kuongoza nchi kwa akili hizo
tunaendelea kuonya hapa CHADEMA wasiwakaribishe,wasiwapokee maea ya pili WASALITI

CDM wasilambe matapishi...

By the way vyama vipo vingi kwanini wasaliti wote wasirudi CHAUMA waje chadema walipopasaliti...MSIMAMO na kuchagua MOJA hata kama umekosea..ulishasaliti chadema ..ukakimbilia CCM ukitarajia utapata vyeo na pesa nyingi za KUJIUZA KIMALAYA...
badala yake unagundua wameku fuc**k bure bila kukupa vyeo wala mapesa mengi wame kutreat kama malaya which in fact ndiyo inavyostahili kumtreat malaya ...
sasa KWA KUKOSA AIBU na HATA MSIMAMO katika kukosea unataka urudi tena chadema...??? CHAGUA MOJA sio vyote unataka ..hata kama umekosea ,JANA ULISEMA CHADEMA HAIFAI,ULISHASEMA chadema HAIFAI ,
LEO UNAKUJA kutuambia chadema inafaa na unataka kurudi tena ...hivi mnawachukuliaje wananchi??

N:B MSALITI NI MTU MBAYA SANA ..kuliko hata mwizi ,kuliko hata mchawi...MSALITI HAFAIIII KABISAAA POPOTEE PALE...msaliti sio binadamu wa kawaida...Hafaiiii kabisaaaa
 
Atapokelewa. Alikuwa timu moja na uongozi wa sasa katika mpango wa kumuondoa Mwenyekiti aliyepita. Ni mtu wao.

Amandla...
N Sawa na umemshughudia mkeo akilombwa Huko nje na kukutambia juu, na anakutukana akiwa anapelekewa moto huku ukimuona na bado ukamsamehe na kumrudisha Ndani 😂
Chadema hamjawahi kujitambua
 
Sitoshangaa wakimpokea, chadema sometimes hawajitambui
 
Hakika mkuu.,majukwaani aliisema vbaya cdm na si mbowe..huyu ni tamaa na njaa tu.
 
JamiiForums Tanzania
Jukwaa la Siasa
Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
Thread starterHeparin Start dateYesterday at 10:26 PM Tagsbiblia chadema msigwa peter msigwa petro siasa
First
Prev
6 of 7
Next
Last
Summarize Thread (AI)
Unsubscribe

•••
Kalamu
Platinum Member
Today at 5:41 AM
Add bookmark
#101
Pulchra Animo said:
Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
But even after Mbowe; what did this idiot do?
What he did is what matters most.

Try and remind yourself; there are a few examples of his utterances in this forum against CHADEMA when he was trying hard to impress his new masters!
Thanks
Reactions:
Ileje and Matrix19
Kalamu
Platinum Member
Today at 5:54 AM
Add bookmark
#102
Titicomb said:
Heshima yake imeshuka sana.
Ni sahihi zaidi tukisema "IMEPOTEA".

'Turncoats' wa namna hii ndani ya chama, tena akitegemea uongozi ndani ya chama?
Thanks
Reactions:
MgosiMnubi and Titicomb
MgosiMnubi
MgosiMnubi
JF-Expert Member
Today at 6:20 AM
Add bookmark
#103
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
NOMA SANA.....kiruuuu!?
digba sowey
digba sowey
JF-Expert Member
Today at 6:26 AM
Add bookmark
#104
King Nkondo said:
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Hii nayo ni propaganda,sasa maridhiano ndo yamemuweka lissu kifungoni!?

Lissu mbona keshasema yeye yuko tayari kwa lolote lile serikali ya dharimu Samia itafanya juu yake ila sio kupiga magoti!
Thanks
Reactions:
King Nkondo
Kennedy
Kennedy
Platinum Member
Today at 6:48 AM
Add bookmark
#105
😄😍😃😂😅😁😆🤪🤣🤣😃😂😅😅
Lavit
Lavit
JF-Expert Member
Today at 6:54 AM
Add bookmark
#106
S.M.P2503 said:
Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.
Click to expand...

Ulivyomalizia hapo mwisho huo ni utoto, mtu mzima huwezi andika hoja alafu unaleta habari za “povu ruksa”
Thanks
Reactions:
S.M.P2503
Kipondo Cha ugoko
Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
Today at 7:13 AM
Add bookmark
#107
Heparin said:
View attachment 3593736
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.

Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.

Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.

Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.

Soma Pia:
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu
Asanteni Sana.
Click to expand...
Msigwa angepewa ka cheo CCM angeyaona yote hayo? Hata kama karejea ila sio wa kumwamini, labda mniambie alikuwa huko kwa kazi maalumu
Thanks
Reactions:
You and Blank page
polokwane
polokwane
JF-Expert Member
Today at 7:18 AM
Add bookmark
#108
Mbaga Jr said:
Kama chadema wakimpokea, bc chadema watakuwa Wapumbavu mno.

N watu gani hawa wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wnyw, yale yale ya 2015 yanarudi.

Sasa vp waliokuwa wanamtukana na kumuona n mpumbavu akina Erythrocyte watasemaje Sasa 😂
Click to expand...
Jifunze siasa, chama cha siasa hakikatai mwanachama hata angeondoka na kurudi mara 10 ila hawezi tena kuipata nafasi ile aliyo iacha
BLACK_
BLACK_
JF-Expert Member
Today at 7:50 AM
Add bookmark
#109
Titicomb said:
Heshima yake imeshuka sana.
Imepotea kabisa,anaonekana kama snitch na snitch huwa ni panya lazima hapuuzwe
Thanks
Reactions:
Titicomb
Titicomb
Titicomb
JF-Expert Member
Today at 7:58 AM
Add bookmark
#110
King Nkondo said:
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Wewe mnafiki na mchonganishi.
Msigwa hajakosa akili kiasi cha kufikiria akirudi CHADEMA atafikiriwa kuwa mwenyekiti.
Kibwengo260
Member
Today at 8:29 AM
Add bookmark
#111
Good news
The mission 2017
The mission 2017
JF-Expert Member
Today at 9:36 AM
Add bookmark
#112
Siasa ndivo zilivyo, Msigwa alikua CCM lkn damu yake ilikua CHADEMA you can tell this.

Binafsi napenda dynamic political system kama ya kenya, mnaacha vyama pembeni mnatengeneza alliances wakati wa kampeni.

Hii ya kufanya chama kama kabila ni hatari.
Thanks
Reactions:
Titicomb and zitto junior
zitto junior
zitto junior
JF-Expert Member
Today at 9:42 AM
Add bookmark
#113
Mbaga Jr said:
Kama chadema wakimpokea, bc chadema watakuwa Wapumbavu mno.

N watu gani hawa wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wnyw, yale yale ya 2015 yanarudi.

Sasa vp waliokuwa wanamtukana na kumuona n mpumbavu akina Erythrocyte watasemaje Sasa 😂
Click to expand...
Apokelewe tu mkuu, huyu alienda CCM ila moyo wake ulikua chadema. Nadhani baada ya Mbowe kuanguka hakua na sababu tena ya kubakia CCM.
Thanks
Reactions:
Titicomb and Mbaga Jr
a sinner saved by Christ
a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
Today at 9:47 AM
Add bookmark
#114
Tulishaonya hapa kuhusu kuwapokea WASALITI,msaliti HAAMINIKI,usaliti ni ROHO CHAFU ya LAANA NA MAUTI,KIFO cha utu wako,heshima yako,kifo cha character yako,character suicide/self assassination,MSALITI ni walking dead,MSALITI ni mtu anaye UZA UTU WAKE,anayeuza TRUST YAKE ,MSALITI NYERERE ALIMUITA MALAYA WA KISIASA,DHAMBI YA USALITI NYERERE ALIIFANANISHA NA KUONJA KULA NYAMA YA MTU..

MSALITI sio binadamu wa kwaida msaliti hana akili timamu hajielewi hana MSIMAMO haelewi wala hasimamii katika kile ANACHOKIAMINI na kile alichoaminiwa,MSALITI ANAJITOA UFAHAMU,anajizima data ,anajitoa akili,
MSALITI NI COWARD...
Msaliti hashindwi kumuuza hata mke wake au familia yake ..huyu YUDA
MSALITI ni MTU MBAYA SANA...hafai popote...MNAFIKI huyu msaliti ni mbaya sana,

KAA MBALI NA YUDA MSALITI..MSALITI HAFAI KABISAAAAA mnafiki,hakawii kukuchomesha ,hata familia ya mnafiki msaliti haipaswi kumuamini mana USALITI NI ROHO...roho chafu ya mapepo ,Roho iliyomuongia YUDA akamsaliti mwana wa adamu kwa vipande thelathini vya pesa .

unamsaliti LISU nabii wa Mungu moakwa mafuta ,mbeba maono ,unasaliti imani ya wananchi wako walioiweka kwako..unajisaliti nafsi yako mwenyewe imani yako mwenyewe .kwa VIPANDE VYA PESA na tamaa ya madaraka,..unatangaza chuki juu ya watakatifu..kama lisu ..huu ni u UAJI tayari...MSALITI HAFAI KABISAAA...HAFAI HAFAI
 
YUDA
 

Attachments

  • images - 2026-05-24T145445.446.jpeg
    26.2 KB · Views: 10
  • images - 2026-05-24T145528.535.jpeg
    28.2 KB · Views: 11
  • images - 2026-05-24T145538.784.jpeg
    31.8 KB · Views: 9
  • images - 2026-05-24T145725.478.jpeg
    34.9 KB · Views: 9
huyu angejiunga na ACT ungeona matusi na kebehi za vijana wa chadema zikitiririka tu
 
That is just human nature. Hakuna mtu ambaye hupoteza muda wake akimsifia ex-wife (ex-husband) wake au ex-girlfriend (ex-boyfriend) wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…