Pre GE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiwa chawa unakula Hela za CCM ila mtaani unadharaulika, ukiwapinga ccm mtaani unaheshimika ila maisha yatakugonga, mkeo watamgonga na watoto wako watapauka mbaya... Yote katika yote napinga uchawa mpaka mwisho wa Dunia...
 

Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    25.7 KB · Views: 2
Nani ana muda na Msigwa tulimpiga Chini kwenye uchaguzi Kanda ya Nyasa. So ni makapi ya kisiasa mmepokea.
 
Poor since when? Ghafla tu, au wewe ndio ujitizame upya, mwenzako ndio yuko so vema sana na CCM inamlinda kwa hali na mali..!!
Duh! Kwa maana nyingine msigwa ana hadhi kubwa kuliko wanaccm aliowakuta? Mpaka alindwe?
 
Kama ulishahama si utulie. Mambo ya kurudia uongo sio vizuri.
 
Mbowe kagombea urais 2005

Slaa 2010

Lowasa 2015

Tundu Lissu 2020

Sasa sijajua alipomaanisha urais Mbowe anagombea kila mara anamaanisha nini au alichoandikiwa kusoma hakuandikiwa hayo?
 
Msigwa ana hoja kuliko wanaopingana nae
Demokrasia ndani ya chadema ni 20%
Maisha hayataki democracy wala hayaruhusu hicho kitu.

Angekua na hoja zaidi endapo haya maamuzi angeyafanya kabla ya uchaguzi wa ndani wa CDM, vinginevyo ni msaka tonge kama wengine wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…