Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on' Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri 2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu