Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

Mission is over, alichotumwa kukifanya kakimaliza, kakunja chake, inasubiri ngwe nyingine 2025 elections
Labda alichoweza ni kubebeshwa picha ya mtu.. Ishara mbaya sana hii
 
Msigwa kwa akili yake finyu alidhani anaweza kujijengea umaarufu kwa kuharibu jina la Mbowe.
Matokeo yake the opposite is true.
Alio jikomba kwao wameshamjua kwamba Ni rubbish, wamekosa jalala tu otherwise.
 
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani
Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on'
Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri
2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
Pasta apate huu ujumbe kokote alipo
 
Attachments

  • ElionaKimaro_20241103__1853040595448590543_1_18530405081317539840.mp4
    8.8 MB
Maneno ya kujifariji haya😂
Gentleman,
Faraja yangu ameenda kazini bana tafadhali sana.

chadema imedhibitiwa na mchungaji msigwa completely, but hiyo haiwez kua faraja yangu.

halafu cheupe wangu, faraja na kitulizo cha akili, mwili na moyo wangu nimuachie nani aise? 🐒
 
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena

Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on' Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri 2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
hakuwa na agenda za maana....ukichanganya na ile kesi ya madai aliyofunguliwa na Mbowe, probably imemaliza kabisa agenda zake....!
 
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena

Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on' Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri 2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
Nafikiri amemaliza kandarasi yake au imekatishwa baada ya kuonekana haina tija🤣
 
Back
Top Bottom