uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on' Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri 2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
Hana matumizi baada ya tendo ( Common treatment ) wanaoenda ccm wahakikishe wakifika baada ya kupokea mlungula wa kwanza waendelee kuwa na impact na mwiba kwa chadema!
1. Hana impact ccm
2. Hana impact kwa wananchi.
3. Chadema hawana time naye.
Thamani yake ilikuwa pamoja na bedge ya Chadema, alipoivua tu anakuwa mtu wa hovyo kama wengine wa hovyo walivyo!