Hao walikurupukaMbona sasa mlimuingiza kazini kabla hajahitimu
Peter msigwa ni nani ?Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani
Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on'
Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri
2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
Tutamrudisha Chadema July 2025 akiwa ameivaMbona sasa mlimuingiza kazini kabla hajahitimu
Walidhani atasaidia kuokoa dhahama za ccm kumbe wapi. Tabu iko palepale.Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani
Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on'
Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri
2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
Kwanini huyo peter msigwa ni naniTutamrudisha Chadema July 2025 akiwa ameiva
Boni Yai: Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema 2025 itakuwa ni Surprise Kubwa itakayowashangaza Wengi
Mchungaji ππππKwanini huyo peter msigwa ni nani
Mwanamitindo?
Mwanasesere
Mlimbwende huko Mzizima
Mchezaji
Au muigizaji ?
Aje atuulize sisi tuliotupwa kama dodoki baada ya kutumiwa π³πππAliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani
Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi moyoni na ameshindwa kabisa ku 'move on'
Alikoenda hakuna mwanga alikotoka keshaharibu.. Ana majuto mengi moyoni lakini roho i dhaifu kukiri
2025 sio mbali.. Kuna siku atayafakamia matapishi yake kwa macho makavu
Watuletee John Heche. Ni huyo tu ndio atanifanya nipige kura.Tutamrudisha Chadema July 2025 akiwa ameiva
Boni Yai: Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema 2025 itakuwa ni Surprise Kubwa itakayowashangaza Wengi
Anachunga mbuzi, ng'ombe, kondoo au punda ?Mchungaji ππππ