Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

Machadema nayo yamepoa sana kama uji.
 
kaisha idhibiti Chadema tayari kama unavyoiona iko hoi πŸ’
 
Manunuzi waliyoyafanya CCM imekuwa ni hasara tupu. Msigwa aliwadanganya CCM kuwa yeye anaipa thamani CHADEMA, kumbe kiuhalisia ni kwamba CHADEMA ndiyo ilikuwa inampa thamani Msigwa.

Kama yanayosemwa, kuwa taarifa za Msigwa ndizo zilizosabanisha Ali Kibao kutekwa na kisha kuuawa kinyama, ni za kweli, hiyo ni laana kubwa kwa Msigwa atakayotembea nayo katika uhai wake wote. Yaani tamaa yako ya tumbo, imwondolee mtu mwingine uhai!! Halafu unajiita mchungaji, ina maana hata shetani huwa ana wachungaji?
 
Mkuu; haiwezekani tukapata ufafanuzi zaidi wa hi?
 
Yeye aliwaaminisha CCM kuwa Marehemu Mzee Ally Kibao ndiye engine ya Chadema hivyo wakitaka kuidhoofisha Chadema basi wahakikishe wanamuondoa Chadema nao wakalinunua wazo lake nafikiri Mzee Kibao aliwgomea kuondoka Chadema ndiyo wakaamua kumtoa roho ili ule ushauri wa Msigwa wa kumuondoa Mzee Kibao Chadema utimie.
 
Mission is over, alichotumwa kukifanya kakimaliza, kakunja chake, inasubiri ngwe nyingine 2025 elections
 

Mzee mfukunyuku sana wewe...aliyoyaeleza hayana jipya. Ni yaleyale. Yeye amechelewa. Alianza Mrema na haikuwezekana. Tunapenda kuona mambo ya maendeleo yanafanyika na hayo yanataka kusimuliwa. Ili tuendelee kujifunza na kutiana moyo. Kuhama chama toka lini imekuwa deal!
Baadae akiwa mzee kama mimi, sote tunagundua wana siasa ni wale wale na mambo yao yanalenga kuwajenga wao binafsi kuliko kuwasaidia walio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…