Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

Keshakuwa used kama ile mipira ya....🤣😀🤣😀⚽⚽
 
Kuondoka kwa msigwa CHADEMA, ni vuguvugu, hajaleta impact CCM, na hajaibomoa CHADEMA!! alikuwa vuguvugu
 
Kandarasi imeisha mkuu,pamoja na yule binti Peneza
 
Pumzi fupi ruti ndefu nafasi yake itakuwa inamsuta
 
Anaangalia namna ya kuendelea kupata ulaji kwani njaa haina bauncer.
 
Amekabidhiwa kitengo cha siasa za majitaka
 

Attachments

  • IMG-20241013-WA0002.jpg
    38.2 KB · Views: 3
  • IMG-20241008-WA0001~3.jpg
    94 KB · Views: 3
  • 1725891704170.jpeg
    44.3 KB · Views: 2
  • 5798904-1fa5b9f4fe7a36a353fd0342c9e2b57.mp4
    2.9 MB
  • IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    18.8 KB · Views: 2
MShenz anayejiita mchungaji peter msigwa anastahili public condemnation kwa ujinga ambao ameufanya.
Kuna usemi/methali inayosema kuwa "Warabu wa Pemba hujuwana kwa vilemba" Sasa nikuulize bwana mkubwa, umemjuaje Msigwa kama ni mshenzi kama na wew sio Mshenzi??
 
Kichaa cha msimu huwa hakitabiriki lini kinapanda.

Tumpe muda, atapandisha soon mawingu yakitiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…