Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

Haatimae meno ya mbwa yameanza kuumana yenyewe kwa yenyewe.

Kwahili siwezi kumuonea huruma nzi wa kijani anaposomeshwa namba na nzi mwenzake......
 
Masahihisho mkuu hatusemi my wife wake------- tunasema wife wake my ni wewe wake na yeye mke wenu?
ni kweli ila ndio lugha siku hizi ya mtaani!! hahahahahahhaha.
Wanatumia sana wasanii wa vichekesho kwenye TV, my wife wake, my wife wangu and the like. Yote kwa yote ahsante kwa kunijali mkuu radika
 
Mtenda hutendwa,anayeua kwa upanga atauawa kwa upanga.
 
ni kweli ila ndio lugha siku hizi ya mtaani!! hahahahahahhaha.
Wanatumia sana wasanii wa vichekesho kwenye TV, my wife wake, my wife wangu and the like. Yote kwa yote ahsante kwa kunijali mkuu radika
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hao ni wenyewe kwa wenyewe, acha waumizane. Mtu akidhani kuwa CCM ndio kuwa salama, anajidanganya. Huyo atasoteshwa jela hadi achakae. Wamempachika hayo mashtaka ili tu asikanyage uraiani. Atajuta kuijua CCM.
CCM sio chaka la wahalifu
 
CCM hatufugi majambazi, aliondoka lowasa na kingunge, na sumaye na tukashinda kwa kishindo sembuse huyu jambazi na mla jasho la wengine
Mbona hamsemi wazi mambo ya huyu bwana yanayosemeka? Mnamun'gunya maneno na kupepesa ndimi? Amefanya nini tusichokijua wengine? Si mseme basi?
 
Huku mitaani hio situation iliyotokea hapo tunaiita "MBWA KALA MBWA" hio kesi itaamuliwa kwenye kikao cha halmashauri ya chama pendwa
 
Mkuu hebu rudia huo msemo bila kuutafsiri!
 
Hapa kazi tu

Huyu kalalamikiwa sana na shukurani kwa JF wengi tulimsoma na kumfahamia humu.. kuwa kuna mtu huyu nchini hapa.
 
mtu na pesa zakeeee rukia ngoma anaweza kuhamisha milima na mabondeee lakini hataishi mileeeee hatai mileee mbele ya JPM bila kwenda serrrrooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…