Mmmh labda sio petit huyo tunaye mkua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nahis labda petit mwngine sio huyu mwwnye dreadlocks nimjuae,yule akiekua anampelekea swaiba wake wema Kajala chakula kule jela kila siku,huyu hata 10ml hajawahi ishika yakwake,labda kama mwngind
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa kamfananisha uyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimecheka kingereza mkuu unamjua kweli Petitman wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Petit ni mlugulu WA morogoro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadanganywa na yeye akaamua aje atudanganye humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa kamfananisha uyo
Kweli kadanganywa khaaaa[emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadanganywa na yeye akaamua aje atudanganye humu
HaahaaahaaaaaAsante sana hata mimi ni mdananda kumbe
mtoa mada umekunywa au """?Ndio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake