Siunakumbuka hata father kitima alivyokuwa anamshambulia Magufuli halafu Leo Yuko kimya utafhani Mambo yako sawa kwa Sasa yaani hovyo kabisaWakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Mangula kamkimbia Jasusi mbobezi membe, nakumbuka ktk kikao Cha nidhamu Cha ccm Cha kumjadili membe ambacho kiliitishwa na katibu mkuu wa kipindindi hicho bashiru kakurwa ambapo mangula pia alikuwepo, membe alimpa za uso hicho kizee.Mangula alichoshwa na fitina akaachia ngazi.
Ccm walipoona mambo mazito walikwenda kumpigia magoti akiwa ameanza kuwa mkulima.
Huu ni muhimili muhimu sana cxm.
Mzee hanaga maneno mengi lakini ni bwana mikakati mzuri sana.
Musiba anasemaje?
Soon atarudi huko UWTHawa Ghasia
Ila ya Mungu ni mengi na makuu SanaRadio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.
Mavi ya kale hayanukiHata yale yaliyolipua bomu kwenye mkutano wa chadema yatakuwa ndio hao sukuma gang!
Yaliyomtesa ulimboka ndio hao sukuma gang
Mwangosi alisambaratishwa na bomu toka kwa hao sukuma gamg
Rwakatare aliambiwa gaidi na haohao sikuma gang
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
CCM ni ile ile, Je lini ilikuwa Tofauti?
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
View attachment 2170662
Kwani kuna shida gani wakifungua maduka?Hii nchi ilipofikia hakuna anaeenda KUJUA NINI KESHO KITATOKEA ... kama hadi ma J-WII wameanza kufungua maduka kwenye makambi , yangu mimi ni macho tu
Pole sana,naona umeumizwa sana na nyuzi zako kutupwa kapuki/kubadilishwa kichwa cha uzi.Tena heading ilianza kwa tetesi,Hawa jamaa wananiboa Sana,nyuzi zangu zote wanabadili heading wanavyotaka wao kiasi kwamba wanaondoa ile attention na ujembe niliotaka kufikisha.
Lakini sishangai Sana ni jukwaa lenu hili la nyie wafuasi wa Mwamba 😬😬😬
King- maker amerudi kazini ?Radio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.
Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????