Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Jamani, tutumie hekima.

Mwigulu, hana sifa za kuwa kiongpzi kwenye nafasi yeyote. Ni mtu mnafiki na mwongo.
 
Huku si ndiyo kumpangia jaman au??
Muacheni ajichagulie mbona mwendazake hamkumpangia??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wizara ya fedha apewe kiongozi kutoka Zanzibar,
Wazanzibar hawana tamaa, wana upendo na wenye hofu ya Mungu.
 
Nani alimtoa Kimei pale?? CRDB inamilikiwana nani tuanzie hapo kwanza
 
Nani alimtoa Kimei pale?? CRDB inamilikiwana nani tuanzie hapo kwanza
Mwigulu aundiwe wizara yake ya kikosi kazi cha kuteka na kuua wapinzani hiyo ndo wizara pekee anayoweza kuimudu vizuri!!
 
SO point yako hapa ni Mwigulu.Hivi bado kuna TEAM JPM,Fanya kusema TEAM SHS
 
Inaonekana kama Rais Samia anataka kujikita kwenye uchumi na kudhibiti ubadhirifu, ndiyo maana kamuweka karibu Dr. Mpango.

Kimei aliwahi kusema anamuogopa sana Magufuli na atafanya chochote Magufuli atakachotaka, kwa namna ambayo ilileta maswali mengi kwa sababu CEO wa Benki anatakiwa kwenda kwa banking integrity, si kwa kumwogopa mtu.Magufuli angemwambia waibe hela za CRDB zitumike kwenye kampeni ya kisiasa angekubali, hivyo hana integrity ya uongozi.

Dr. Mpango aliisimamia issue ya kutoza kodi makontena ya furniture za Bashite wakati kila mtu alikuwa anamuogopa Bashite, pale Dr. Mpango alijionesha ana professional integrity ya juu sana, kwa sababu Bashite alikuwa anatamba sana kama mtoto mpendwa wa rais.
 
Hakuna mtu anayefaa kuwa waziri wa fedha hapo mjengoni kwa sasa. Ateuliwa mbunge mwingine tu kutoka nje.
 
Mwigulu Mchema Ni mwanasiasa kutoka CCM katili kuliko j.....e.
Yuko tayari kupoteza halaiki ya wapinzani ili aendelee kula Bata.
Kwa vile nchi yetu ni nchi ya maajabu Mwigulu aweza hata kuwa PM.
 
Mwigulu ni taka taka
 
Kimei ni MKABILA. Hafai. Kajaza Wachaga CRDB
Uko sahihi kabisa. Na si kimei tu, ni tabia ya wachaga wote. Ni wabaguzi wa wazi wazi. Hata kule TRA kina Lauwo na Kitillya walijaza wachaga tupu ma mpaka mapacha waliajiriwa kwa pamoja ili mradi uitwe Kwayu or something. Hawafai hata kidogo kupewa madaraka makubwa maana hawanaga aibu kwenye kubebana.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kimei ni hardworker ila changamoto yake ni Ukabila yatajirudia yale yale ya Edwin Mtei kuwa Governor wa Kwanza wa BOT kiasi kwamba sehemu penye fedha walijaa watu wa kule
 
Mwigulu! Huyu hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi na PhD yake fake.
 
Hizi mada za ukabila ndizo wachaga huzipenda sana, hawa watu ukabila uko kwenye uboho na kwenye damu.Hata michango mingi inayohusu ukabila humu wachangiaji wengi ni wachaga. Wachaga muelewe tu kuwa nyie ni sehemu ndogo sana ya makabila yote yaliyopo TZ, zama zenu za kubebana unakuta ofisi imejaa wachaga hadi wafagiaji zimepitwa na wakati,acheni kulalamika eti kila uteuzi ukifanyika mnataka lazima awemo mchaga.Mambo ya nyuma yamepita eti nyie ndio wasomi😁😁,leo hata sisi Wakara tumekwenda shule vizuri tu,tusitishiane usomi karne hii alaaa...
 
Kama vipi arudishwe tu Prof Assad, ateuliwe ubunge ashike Wizara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…