Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Mwigulu hafai hata ujumbe nyumba 10,

Kigeugeu

Majivuno

Mropokaji

Nadhani yule.mama naibu waziri apewe uwaziri wa fedha.
Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.

Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.

Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
 
Afadhal prof assad ,aende wizara Ya fedha,
Sijui katiba inaruhusu
 
Hii ni africa kaka...mbona unakua kama namna gan..nmeshakwaambia kimei alitolewa pale...nyie mnasema alistaafu..ndio..ila mi nakwambia alitolewa pale .kwisha..hutak kaa hapo
Alitolewa na nani kwa mamlaka gani, kwa ushahidi upi? unataka nikubali kwa kuwa wewe umesema?
 
Back
Top Bottom