Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana huo ni msimamo ambao ndio nilikuwa nazungumzia na ndio nikasema kwamba tatizo hapo sio ni kukosekana kwa hoja zenye nguvu bali huo ndio msimamo wenu.Mtu asiye na imani katika miungu, dini na habari za kiroho nk
Nataka tuweke sharti la kuwa hakuna kwenda mbele mpaka kila mmoja ajibiwe swali atakalo ulizwa na mwenzake.Kama hoja gani, ebu kuwa specific
Hoja zote zangu zina nguvu, kuanzia Contingent fact, Self evident Truth, akili,mazingira, fitrah na ufunuo.Sema ni hoja gani kwako yenye nguvu zaidi unayoipa asilimia kubwa inayo thibitisha Mungu yupo kuliko hoja zingine?
Hii si kweli kabisa.Hayo yote pia yanatokana na perspective ya mtu na namna anavyo tafsiri maneno hayo
Hapa nakuuliza msingi wa Sayansi ni nini ? Sayansi inapitia hatua gani kufikia hitimisho ? Uhakika au ufanisi wa hizo njia za Kisayansi ni salama ? Yaani hazijakingwa na makosa ? Akili ina ukomo au haina ukomo ?Mfano: katika rank za kisayansi na mazingira tunafahamu kuwa sifa ya kiumbe kisicho hai ni kutoweza kupumua, kula, kujongea, kukua nk. kopo la Mo energy ni non living thing kwa maana sio kiumbe hai.
Sahihi kabisa.Nimetoa mfano huo kwasababu tafsiri yako ya kiumbe hai inakubali kuya tambua mawe kama ni sehemu ya viumbe
Hii si sawa kila siku hoja zenu tumekuwa tukizipima na uhalisia, mchakato wa ujengwaji wa hoja zenu, kushindwa kwenu kuzitetea hoja zenu na mahitimisho yenu.Sikatai kwamba hoja zetu sio dhaifu kwaku demonstrate na kuweka hoja za ku disprove, ila kusema dhaifu kwasababu zinapingana na madai yako hiyo ni wishfully thinking
Kwa hoja hiyo ni sawaKwa maana huo ni msimamo ambao ndio nilikuwa nazungumzia na ndio nikasema kwamba tatizo hapo sio ni kukosekana kwa hoja zenye nguvu bali huo ndio msimamo wenu.
Naomba nikuulize swali, DNA ni nini hasa na ni upi ukweli wa DNA ? Nani wa kwanza kuizungumzia hii DNA ?huwa na wapopoa tuu kuwa kama hiyo dini inajua ukweli ingetuambia kuhusu dna ,
Leo nataka unipopoe mimi ninaye amini katika Mola muumba.tena nikikutana na madr na molecular scientist waamini mungu nawapopoa sana.
Unauliza swali la kitoto sana. Kazi ya jicho ni nini ? Bila shaka ni kazi moja kuona.Nawaambia hivi kama kwelu tupo special sana mbona cell zetu hazina tofauti na amoeba au plasimodium , tuna same cellular structure au the instruction ya kutengeneza jicho langu na la ng'ombe ipo vile vile.
Sasa hapo kuna ukweli gani kijana ? Mwanadamu anaye sanifu mambo na kujua hatima yake, unaona hana tofauti na Ng'ombe kisa wote wana macho, hata mtoto mdogo hafikiri kijinga namna hii.Wanabaki kubwabwaja maana wanajua fika huo ndio ukweli ila wanashikilia dini kujitoa stress.
Kwanza kabla hatujafika katika porojo zako, mimi nitakuuliza maswali haya :Bomu la mwisho nawauliza virus anaweza hijack cell machenary kujizalisha so wote sisi tumeanza na common ancestor na evolution ndio inetufanya tubadilike tuwe na different structure.
Sayansi ni dhaifu sana na Sayansi haipo kwa ajili ya kukupa ukweli kama ulivyo.Wanasaynsi wanatakiwa waachane na story za mungu maana kuelewa sayansi na bado unaamini mungu inamaanisha ulichosoma kwenye sayansi hukuelewa
Kuna hoja ambazo huwa nazijibu kwa namna nyingi ikiwemo ku refer na swala lingine ambalo najua hukubaliani naloNataka tuweke sharti la kuwa hakuna kwenda mbele mpaka kila mmoja ajibiwe swali atakalo ulizwa na mwenzake.
Na wazazi wao? Kwa maana unadhani ukirudi nyuma hivyo hivyo hufiki mwisho?Wana Wazazi wao
Nishakuwekea hapo sifa za kiumbe hai, na sipendi hili liwe sehemu ya mjadala kwasababu tutaonekana wote hapa ni wajinga kijadili habari za jiwe kuwa ni kiumne hai au sio haiHii si kweli kabisa.
Wewe unafasili vipi kuhusu maarifa
Hapa nakuuliza msingi wa Sayansi ni nini ? Sayansi inapitia hatua gani kufikia hitimisho ? Uhakika au ufanisi wa hizo njia za Kisayansi ni salama ? Yaani hazijakingwa na makosa ? Akili ina ukomo au haina ukomo ?
Jua ni living things au non living things ?
Sahihi kabisa.
Uhai ni nini hasa ?
Hii si sawa kila siku hoja zenu tumekuwa tukizipima na uhalisia, mchakato wa ujengwaji wa hoja zenu, kushindwa kwenu kuzitetea hoja zenu na mahitimisho yenu.
Ndiyo maana huwa tunawataka mlete ithibati na hamna zaidi ya kuendelea kuhoji na kukimbia maswali, kushindwa kujibu maswali tunayo wauliza ni dalili tosha ya kuwa hamkijui mnachokitetea.
Kuna hoja ambazo huwa nazijibu kwa namna nyingi ikiwemo ku refer na swala lingine ambalo najua hukubaliani nalo
Mfano ukanambia Mungu yupo kwa kunipa aya za Quran, mimi nitakujibu hilo swali kwa namna nyingine kwa kukuuliza
Nitakuuliza kua endapo mkristo akakupa naye aya za kuonesha yesu alibatizwa mto Jordan je utakubali kua jambo hilo ni kweli?
Ikiwa wewe hautakuwa tayari kukubaliana na jibu hilo licha ya kwamba ni hoja iliyotolewa kwenye kitabu cha Mungu, kwanini ufikirie ni busara kwa wengine wasiohusika na dini yako kukubaliana na hoja za Quran
Kwa hiyo kama unaweka defense ili uitumie baadaye ku penetrate hoja za kimagumashi kama hizo, elewa kabisa siwezi nikakuruhusu ujifiche kwenye kichaka hicho
Hizi nimeshazi hudhurisha zaidi ya mara mbili humu ndani huwa hamzijibu mnaishia kudai mungu hayupo mara mnaingiza habari za Problems of Evil, yaani mnaruka ruka tu.Mi naona muda mwingi unaupoteza kuji mwambafai kuliko ku present hizo hoja hapa
Nimecheka sana sasa lengo la kutoa maelezo yako na kuacha kujibu maswali ya msingi kulingana na nikichokieleza ni uchachefu wa maarifa.Nishakuwekea hapo sifa za kiumbe hai, na sipendi hili liwe sehemu ya mjadala kwasababu tutaonekana wote hapa ni wajinga kijadili habari za jiwe kuwa ni kiumne hai au sio hai
Hoja hii ukiiendeleza sitoijibu tena
Aya hii itakuwa valid kwenye mabishano ya mshia na msuni ambao wote wanakubaliana kua ni kitabucha kweli cha AllahTwende taratibu, maana inaonekana hujui masharti ya swali kuwa ni jibu katika swali.
Mfano nakuwekea aya hii :
32. Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu?
33. Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini!
34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?
36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Turi : 32-36)
Naomba tuzijadili hizi aya kwa mujibu wa hiki ulichokiandika.
Weka hoja usipoteze muda mwingi kwenye malalamikoHizi nimeshazi hudhurisha zaidi ya mara mbili humu ndani huwa hamzijibu mnaishia kudai mungu hayupo mara mnaingiza habari za Problems of Evil, yaani mnaruka ruka tu.
Jambo msilolijua ni kuwa mnahisi hizi habari zimeanza jana au juzi, hizi zimenza tangu mitumw huko.
facts, information, and skills acquired through experience or education; the theoretical or practical understanding of a subject.Nimecheka sana sasa lengo la kutoa maelezo yako na kuacha kujibu maswali ya msingi kulingana na nikichokieleza ni uchachefu wa maarifa.
Achana na hayo maswali mengine, tueleze maana ya maarifa kisha tuone marejeo yake ni kutofautiana au vipi ? Tuhakiki ukweli wa ukichokiandika na nilichokiandika.
Kwenye maswali huwa mnakimbia sana.
Tatizo hapo ni dhana ya kwamba imani ni uongo tu na si vinginevyo na ndio sababu yenye kufanya kusema hamtaki kuamini, lakini chengine kujua si kinyume cha kuamini. Mimi naweza kuwa siamini kuhusu Alien ila nikawa najua kuhusu Alien haijarishi habari za Alien ni kweli ama si kweli.Kwa hoja hiyo ni sawa
Kwasababu msingi wa atheism ni kutaka kujua na sio kuaminishana na ndio maana imeji isolate kwenye swala zima la imani
Kumbe hoja ambayo ulitaka kuitumia ilikuwa bases kwenye imani ya mapokeo?
Sasa ebu tuambie, unawezaje kupata ukweli wenye uhakika katika jambo ambalo huwezi kulithibitisha?Tatizo hapo ni dhana ya kwamba imani ni uongo tu na si vinginevyo na ndio sababu yenye kufanya kusema hamtaki kuamini, lakini chengine kujua si kinyume cha kuamini. Mimi naweza kuwa siamini kuhusu Alien ila nikawa najua kuhusu Alien haijarishi habari za Alien ni kweli ama si kweli.
Kushindwa kuthibitisha jambo fulani haina maana ya moja kwa moja kuwa hilo jambo ni uongo, inawezakuwa kweli ama si kweli.Sasa ebu tuambie, unawezaje kupata ukweli wenye uhakika katika jambo ambalo huwezi kulithibitisha?