Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #221
Assume kama kuna mtu ameku offer kukuuzia gari yenye sifa ya kupaa angani kwa shilingi Milion 5Kushindwa kuthibitisha jambo fulani haina maana ya moja kwa moja kuwa hilo jambo ni uongo, inawezakuwa kweli ama si kweli.
Huwezi kusema jambo fulani la imani ni uongo kwa sababu hakuna uthibitisho, hapo utakuwa huelewi imani ni nini.
Pengine taarifa hii ikawa ni nzuri kwako na ukafurahi zaidi kumiliki gari ya namna hiyo
Lakini kabla ya kufanya malipo ya gari hilo ukaamua kujiridhisha kwa kuomba ushahidi wa gari hilo
Kama muuzaji akashindwa kuja na hilo gari kuthibitisha kua lipo zaidi ya vipicha alivyoviokoteza kwenye movies za Sci-Fi na zakufikirika, unaweza kusema siamini kama gari hilo lipo
Je mfanya biashara atakuwa na ushawishi wa namna gani kwenye hoja yake yakusema "kushindwa kuthibitisha haina maana moja kwa moja hilo gari halipo"
Utampa hela?