Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Hiyo hoja hujibiwa baada ya kuulizwa, lakini pale ambapo mimi nimeanza na kukuuliza swali ni wajibu wako kuonyesha usahihi wako. Yaani kuna namna mbili au zaidi ya kuthibitisha upande wako na wangu, sasa unapo kimbilia kichakani na kujiona wewe huwajibiki hii ndiyo tabia yenu sasa ya kukwepa maswali.

Anayekanusha hutangulizwa kabla ya anaye sadiki, mimi nasadiki na wewe unakanusha, sasa kosoa hizo aya au onyesha uongo wake, hizi nyingine ni mbio za sakafuni.
Burden of proof
 
Huo ni mfano tu kijana, hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye haoni umaalumu wa mwanadamu dhidi ya mnyama.

Huwa najiuliza inakuwaje mnafikiria kitoto namna hii, nakuja kuhitimisha ya kuwa ndiyo maana ni rahisi kwenu kukataa juu ya uwepo wa Mola na hamna hoja.

Hili hamuwezi kupinga ndiyo maana mnaipitia mbali hoja hii.
Umaalumu wa mnyama dhidi ya binadamu hujauona?

Au we unafikiri binadamu ndio mwenye kufanya vitu complex kuliko mnyama?
 
Sijawahi kuelewa atheist anapotaka athibitishiwe kama Mungu yupo, ni kwamba anakusudia athibitishiwe yale yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu kuwa ni kweli au wanataka kuoneshwa kabisa huyo Mungu au ni vp?
Ushawahi ona kuna atheist anapinga upepo haupo kwasababu hauonekani?

Kwanini ujenge dhana ya kufikiria kua sababu ya Mungu wako kutokubalika na atheists ni kutokana na nyinyi kushindwa kuwaonyesha physically kua Mungu huyu hapa?
 
Kuna hope, faith, trust, na beliefs

Nikikuambia ni imani ipi hapo inayotumika kwenye muktadha wa dini na maswala ya kiroho utanambia ipi?
Kwanza imani ni moja, imani kwa Mungu.

Pili, hakuna imani zaidi ya moja. Kama mtu anasema ana imani lakini imani hiyo sio kwa Mungu, huyo ana imani potofu.

Kuhusu maneno: " hope, faith, trust na beliefs" kama ulivyoyarejelea kama imani, hapa nimeyaweka kwa lugha ya kiswahili: Hope - Matumaini, Faith - Imani, Trust - hakika na beliefs - Sadiki/ Kusadiki
 
Ni sahihi kwa muktadha gani?

Wa kiimani?

Hata nikisema kiimani bado hakiwezi kuwa sahihi kwenye imani zingine tofauti na uislamu
Jibu kwa unachokiona wewe na kile kilichoandikwa kwenye Qur'aan. Kijana una kona kona sana.
 
Kwanza imani ni moja, imani kwa Mungu.

Pili, hakuna imani zaidi ya moja. Kama mtu anasema ana imani lakini imani hiyo sio kwa Mungu, huyo ana imani potofu.

Kuhusu maneno: " hope, faith, trust na beliefs" kama ulivyoyarejelea kama imani, hapa nimeyaweka kwa lugha ya kiswahili: Hope - Matumaini, Faith - Imani, Trust - hakika na beliefs - Sadiki/ Kusadiki
Nikisema watanzania wana imani na uongozi wa samia, ni category ipi kati ya hayo maneno ambayo unaweza ukai refer na kauli hii?
 
Ukweli umeuthibitishaje?
Nimekuwekea aya hapa zaidi ya mara moja, unaleta kichaka cha kuwa uthibitishiwe kwamba ni ukweli, hili ni juu yako wewe unaye kanusha. Qur'aan imewapa challange tangu zamani na huu ujinga haujaanza leo. Sasa pambana na hizo aya.
 
Nishakujibu kua namna pekee ya kujua source ya vitu ni kupitia uchunguzi
Sasa ndiyo uweke huo uchunguzi ulio ufanya mpaka ukafikia hitimisho.

Hukujibu swali nililo kuuliza kijana.
 
Jibu kwa unachokiona wewe na kile kilichoandikwa kwenye Qur'aan. Kijana una kona kona sana.
Quran imeandika habari za kiimani zinazoaminiwa na waislamu, muislamu yeyote anaendeshwa na dhana ya kuikubali moja kwa moja

Katika angle ya kiislamu sio tu kinahesabika cha kweli, bali ni cha Mungu wao Allah

Na kwakuzingatia uhuru wa kuabudu kila dini imepewa uhuru wa kuabadu kwa namna itqyoona yenyewe inafaa

Lakini ukija kutaka perciption hiyo hiyo iwe recognized na jamii yote kiujumla unapaswa kuja na uthibitisho

Ndo maana nimekuuliza, unapouliza kitabu hicho ni chakweli au la unakusudia muktadha upi, in general?
 
Nishakujibu kua namna pekee ya kujua source ya vitu ni kupitia uchunguzi
Yaani nimekuuliza swali hili :

Safi kabisa hapa tumeafikiana. Naomba uniambie ilikuwaje mpaka dunia ikawa hivi ilivyo na sisi wanadamu tukawa hivi tulivyo, yaani mwanzo wetu ulikuwaje ?

Unajibu hivi :

Nishakujibu kua namna pekee ya kujua source ya vitu ni kupitia uchunguzi

Kijana ongeza umakini na uache utoto.
 
Logic ni ujinga kama ujinga mwingine, nilianza na kuonyesha udhaifu wa logic, jambo ambalo nimekuuliza maswali kadhaa hujayajibu.

Jenga hoja.
Ukikataa logic maana yake unataka kupandikiza uwongo

Hatuwezi kufika kwa style hiyo
 
Quran imeandika habari za kiimani zinazoaminiwa na waislamu, muislamu yeyote anaendeshwa na dhana ya kuikubali moja kwa moja

Katika angle ya kiislamu sio tu kinahesabika cha kweli, bali ni cha Mungu wao Allah

Na kwakuzingatia uhuru wa kuabudu kila dini imepewa uhuru wa kuabadu kwa namna itqyoona yenyewe inafaa

Lakini ukija kutaka perciption hiyo hiyo iwe recognized na jamii yote kiujumla unapaswa kuja na uthibitisho

Ndo maana nimekuuliza, unapouliza kitabu hicho ni chakweli au la unakusudia muktadha upi, in general?
Qur'aan imeuliza swali :

1. Je sisi wanadamu na vilivyomo tumejiumba wenyewe au

2. Tumetokana pasi na chochote ?

Haya maswali ya juu ya chanzo na kutafuta asili haikushughulikiwa na watu wa imani tu, soma historia ya Wanafalsafa wote walio pita kuanzia wale wa Magharibi kina Thales, Homeri na wengine.

Sasa jadili kilichoandikwa kwenye Qur'aan.
 
Ukikataa logic maana yake unataka kupandikiza uwongo

Hatuwezi kufika kwa style hiyo
Mimi nakupa kazi embu tumia logic kuujua ukweli wa jambo fulani.

Embu tumia logic kujua chanzo cha ulimwengu na imekuwaje tukawa hivi tulivyi.

Kinana elimu ya logic niliisoma zamani sana na udhaifu wake ukanifanya niiache sababu niliona inanifanya nisikifirie mambo kama yalivyo.
 
Back
Top Bottom