Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #261
Burden of proofHiyo hoja hujibiwa baada ya kuulizwa, lakini pale ambapo mimi nimeanza na kukuuliza swali ni wajibu wako kuonyesha usahihi wako. Yaani kuna namna mbili au zaidi ya kuthibitisha upande wako na wangu, sasa unapo kimbilia kichakani na kujiona wewe huwajibiki hii ndiyo tabia yenu sasa ya kukwepa maswali.
Anayekanusha hutangulizwa kabla ya anaye sadiki, mimi nasadiki na wewe unakanusha, sasa kosoa hizo aya au onyesha uongo wake, hizi nyingine ni mbio za sakafuni.