Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema atheists wanapinga hakuna Mungu kwa sababu haonekeni bali nimeuliza hivi: Atheists wanakusudia wathibitishiwe yale yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu kuwa ni kweli au wanataka kuoneshwa huyo Mungu au ni vp? Kifupi nauliza ni njia gani inaweza kutumika kuthibitisha Mungu kuwa ni kweli yupo.Ushawahi ona kuna atheist anapinga upepo haupo kwasababu hauonekani?
Kwanini ujenge dhana ya kufikiria kua sababu ya Mungu wako kutokubalika na atheists ni kutokana na nyinyi kushindwa kuwaonyesha physically kua Mungu huyu hapa?
Sasa mbona umekurupuka kuandika kila uchwao kwamba Mola hayupo ? Au kukanusha kwenu mlifanya utafiti ?Uchunguzi ni swala la process na muda, sio kukurupuka na kusema hiki kimefanywa na Allah
Anza na maswali niliyo uliza post namba 13.Post number?
Sawa nijibu basi ni njia gani ambayo inaweza kutumika kuthibitisha Mungu yupo kweli? Wapo wanaotumia vitabu vya dini kuonesha kuwa yaliyomo kwenye hivyo vitabu ni uongo au kuna contradictions na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu kwa sababu ya hizo contradictions kwenye vitabu vya dini vyenye kudaiwa ni maneno ya Mungu, ndio maana nikauliza kama ikithibitishwa hayo yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni kweli na hakuna contradictions ndio itakuwa imethibitisha uwepo wa Mungu au aoneshwe huyo Mungu au hilo la problem of evil likiwekwa sasa ndio itakuwa uthibitisho Mungu yupo?Hata vitabu bado navyo vinahitaji uthibitisho
Ikiwa mtu haamini mungu hicho kitabu kinachoitwa chake huyo mungu anawezaje kukikubali.!?
Na pia huwezi sema wanahitaji kuoneshwa kwa kuwa tu wamekuwa wakiomba uthibitisho kwa kila jambo
Msingi uliojijenga wa dhana ya uwepo wa mungu asiyeonekana nadhani hata hao wanaoitwa atheist bado wanauheshimu
Sijaona atheist yeyote mkongwe humu akitumia udhaifu huo wa dhana ya mungu kutoonekana kama hoja, bali baadhi ya watu wanaojadiliana nao wamekuwa wakishindwa labda kuelewa kile wanachojaribu kumaanisha katika kuwafikia
Problem of evil ndipo walipojifichia atheist, watu wa dini wakiweza kuchoma kichaka hiki kwa atheist hata mimi nitaungana nao
Kupitia uthibitishoSawa nijibu basi ni njia gani ambayo inaweza kutumika kuthibitisha Mungu yupo kweli? Wapo wanaotumia vitabu vya dini kuonesha kuwa yaliyomo kwenye hivyo vitabu ni uongo au kuna contradictions na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu kwa sababu ya hizo contradictions kwenye vitabu vya dini vyenye kudaiwa ni maneno ya Mungu, ndio maana nikauliza kama ikithibitishwa hayo yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni kweli na hakuna contradictions ndio itakuwa imethibitisha uwepo wa Mungu au aoneshwe huyo Mungu au hilo la problem of evil likiwekwa sasa ndio itakuwa uthibitisho Mungu yupo?
Habari za Mungu zimeelezewa sehemu gani nyingine tofauti na dini?Sijasema atheists wanapinga hakuna Mungu kwa sababu haonekeni bali nimeuliza hivi: Atheists wanakusudia wathibitishiwe yale yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu kuwa ni kweli au wanataka kuoneshwa huyo Mungu au ni vp? Kifupi nauliza ni njia gani inaweza kutumika kuthibitisha Mungu kuwa ni kweli yupo.
Basically you cant prove a negativeSasa mbona umekurupuka kuandika kila uchwao kwamba Mola hayupo ? Au kukanusha kwenu mlifanya utafiti ?
Maana yake unatoa hitimisho kabla utafiti haujaisha.
Suala la uwepo wa Mola halihitaji utafiti ni tafakari sahihi na mazingira yanakupa majibu hayo.
Sasa unafikia vipi hitimisho kabla ya kukamilisha uchunguzi ndivyo huwa mnafundishwa hivyo ? Hii mijadala muwe mnaiacha mpaka mkamilishe chunguzi zenu.Swala la uchunguzi ni complex na linachukua muda kukamilika sio jambo la siku moja kama unavyo fikiria
Unasumbua watu kijana, wewe umetaka post namba, nimekupa unaruka ruka.kama huwezi kuwa specific sina haja ya kurudi nyuma kujisumbua
Nimecheka sana, unegative ni wa kimuktadha, yaani wewe umekanusha ya kuwa Mola hayupo, vipi ushindwe kuthibitisha hili ? Yaani ni sawa sawa na iwe hivi.Basically you cant prove
Hivi mfano suala la kuwa wewe ni mdogo kuliko mzazi wako linahitaji utafiti ? Au Nyumba imejengwa, kunahitaji utafiti gani ? Sasa siyo kila jambi linahitaji utafiti hii ndiyo tunaita "Self evident truth".Kama halihitaji utafiti basi una deal na kitu cha uwongo
Kuwa Mungu hayupo.Hitimisho gani ambalo nimefikia kabla ya kuchunguza?
Malizana na post namba 13. Huku tutakuja baadae.Angalia post #20
Halafu unambie post #141 umeijibu wapi
Una maana gani kuniuliza hilo swali?Habari za Mungu zimeelezewa sehemu gani nyingine tofauti na dini?
Argumentum ad ignorantiamNimecheka sana, unegative ni wa kimuktadha, yaani wewe umekanusha ya kuwa Mola hayupo, vipi ushindwe kuthibitisha hili ? Yaani ni sawa sawa na iwe hivi.
Wewe : Mungu hayupo.
Mimi : Mungu yupo.
Vipi mimi nimekiri au nimekanusha ? Je natakiwa kuthibitisha au sitakiwi ?
Hivi mfano suala la kuwa wewe ni mdogo kuliko mzazi wako linahitaji utafiti ? Au Nyumba imejengwa, kunahitaji utafiti gani ? Sasa siyo kila jambi linahitaji utafiti hii ndiyo tunaita "Self evident truth".
Tumia akili uliyo pewa vizuri. Usiaibishe jinsi ya Mwanadamu.