Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Sasa ndiyo uweke huo uchunguzi ulio ufanya mpaka ukafikia hitimisho.

Hukujibu swali nililo kuuliza kijana.
Uchunguzi ni swala la process na muda, sio kukurupuka na kusema hiki kimefanywa na Allah
 
Ushawahi ona kuna atheist anapinga upepo haupo kwasababu hauonekani?

Kwanini ujenge dhana ya kufikiria kua sababu ya Mungu wako kutokubalika na atheists ni kutokana na nyinyi kushindwa kuwaonyesha physically kua Mungu huyu hapa?
Sijasema atheists wanapinga hakuna Mungu kwa sababu haonekeni bali nimeuliza hivi: Atheists wanakusudia wathibitishiwe yale yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu kuwa ni kweli au wanataka kuoneshwa huyo Mungu au ni vp? Kifupi nauliza ni njia gani inaweza kutumika kuthibitisha Mungu kuwa ni kweli yupo.
 
Uchunguzi ni swala la process na muda, sio kukurupuka na kusema hiki kimefanywa na Allah
Sasa mbona umekurupuka kuandika kila uchwao kwamba Mola hayupo ? Au kukanusha kwenu mlifanya utafiti ?

Maana yake unatoa hitimisho kabla utafiti haujaisha.

Suala la uwepo wa Mola halihitaji utafiti ni tafakari sahihi na mazingira yanakupa majibu hayo.
 
Hata vitabu bado navyo vinahitaji uthibitisho

Ikiwa mtu haamini mungu hicho kitabu kinachoitwa chake huyo mungu anawezaje kukikubali.!?

Na pia huwezi sema wanahitaji kuoneshwa kwa kuwa tu wamekuwa wakiomba uthibitisho kwa kila jambo

Msingi uliojijenga wa dhana ya uwepo wa mungu asiyeonekana nadhani hata hao wanaoitwa atheist bado wanauheshimu

Sijaona atheist yeyote mkongwe humu akitumia udhaifu huo wa dhana ya mungu kutoonekana kama hoja, bali baadhi ya watu wanaojadiliana nao wamekuwa wakishindwa labda kuelewa kile wanachojaribu kumaanisha katika kuwafikia

Problem of evil ndipo walipojifichia atheist, watu wa dini wakiweza kuchoma kichaka hiki kwa atheist hata mimi nitaungana nao
Sawa nijibu basi ni njia gani ambayo inaweza kutumika kuthibitisha Mungu yupo kweli? Wapo wanaotumia vitabu vya dini kuonesha kuwa yaliyomo kwenye hivyo vitabu ni uongo au kuna contradictions na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu kwa sababu ya hizo contradictions kwenye vitabu vya dini vyenye kudaiwa ni maneno ya Mungu, ndio maana nikauliza kama ikithibitishwa hayo yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni kweli na hakuna contradictions ndio itakuwa imethibitisha uwepo wa Mungu au aoneshwe huyo Mungu au hilo la problem of evil likiwekwa sasa ndio itakuwa uthibitisho Mungu yupo?
 
Sasa ndiyo uweke huo uchunguzi ulio ufanya mpaka ukafikia hitimisho.

Hukujibu swali nililo kuuliza kijana.
Swala la uchunguzi ni complex na linachukua muda kukamilika sio jambo la siku moja kama unavyo fikiria
 
Sawa nijibu basi ni njia gani ambayo inaweza kutumika kuthibitisha Mungu yupo kweli? Wapo wanaotumia vitabu vya dini kuonesha kuwa yaliyomo kwenye hivyo vitabu ni uongo au kuna contradictions na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu kwa sababu ya hizo contradictions kwenye vitabu vya dini vyenye kudaiwa ni maneno ya Mungu, ndio maana nikauliza kama ikithibitishwa hayo yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni kweli na hakuna contradictions ndio itakuwa imethibitisha uwepo wa Mungu au aoneshwe huyo Mungu au hilo la problem of evil likiwekwa sasa ndio itakuwa uthibitisho Mungu yupo?
Kupitia uthibitisho

Vitabu vya dini ni madai sio uthibitisho
 
Sijasema atheists wanapinga hakuna Mungu kwa sababu haonekeni bali nimeuliza hivi: Atheists wanakusudia wathibitishiwe yale yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu kuwa ni kweli au wanataka kuoneshwa huyo Mungu au ni vp? Kifupi nauliza ni njia gani inaweza kutumika kuthibitisha Mungu kuwa ni kweli yupo.
Habari za Mungu zimeelezewa sehemu gani nyingine tofauti na dini?
 
Sasa mbona umekurupuka kuandika kila uchwao kwamba Mola hayupo ? Au kukanusha kwenu mlifanya utafiti ?

Maana yake unatoa hitimisho kabla utafiti haujaisha.

Suala la uwepo wa Mola halihitaji utafiti ni tafakari sahihi na mazingira yanakupa majibu hayo.
Basically you cant prove a negative

Kama halihitaji utafiti basi una deal na kitu cha uwongo
 
Swala la uchunguzi ni complex na linachukua muda kukamilika sio jambo la siku moja kama unavyo fikiria
Sasa unafikia vipi hitimisho kabla ya kukamilisha uchunguzi ndivyo huwa mnafundishwa hivyo ? Hii mijadala muwe mnaiacha mpaka mkamilishe chunguzi zenu.
 
Hitimisho gani ambalo nimefikia kabla ya kuchunguza?
 
Basically you cant prove
Nimecheka sana, unegative ni wa kimuktadha, yaani wewe umekanusha ya kuwa Mola hayupo, vipi ushindwe kuthibitisha hili ? Yaani ni sawa sawa na iwe hivi.

Wewe : Mungu hayupo.

Mimi : Mungu yupo.

Vipi mimi nimekiri au nimekanusha ? Je natakiwa kuthibitisha au sitakiwi ?
Kama halihitaji utafiti basi una deal na kitu cha uwongo
Hivi mfano suala la kuwa wewe ni mdogo kuliko mzazi wako linahitaji utafiti ? Au Nyumba imejengwa, kunahitaji utafiti gani ? Sasa siyo kila jambi linahitaji utafiti hii ndiyo tunaita "Self evident truth".

Tumia akili uliyo pewa vizuri. Usiaibishe jinsi ya Mwanadamu.
 
Nimecheka sana, unegative ni wa kimuktadha, yaani wewe umekanusha ya kuwa Mola hayupo, vipi ushindwe kuthibitisha hili ? Yaani ni sawa sawa na iwe hivi.

Wewe : Mungu hayupo.

Mimi : Mungu yupo.

Vipi mimi nimekiri au nimekanusha ? Je natakiwa kuthibitisha au sitakiwi ?

Hivi mfano suala la kuwa wewe ni mdogo kuliko mzazi wako linahitaji utafiti ? Au Nyumba imejengwa, kunahitaji utafiti gani ? Sasa siyo kila jambi linahitaji utafiti hii ndiyo tunaita "Self evident truth".

Tumia akili uliyo pewa vizuri. Usiaibishe jinsi ya Mwanadamu.
Argumentum ad ignorantiam

Hakuna uthibitisho uliotoa unao establish uwepo wa Mungu the burden of prove still lays on claimant of positive claim unayedai Mungu yupo

Nime criticize hoja ili wewe uweke uthibitisho unao support madai yako

Kuthibitisha kisichopo kwa kitu ambacho hakijawaki kuwa na uthibitisho ya uwepo wake ni jambo ambalo haliwezekani

Kwasababu uthibitisho, logic na knowledge hushughulika kwa vitu ambavyo vipo, haviwezi kuwa applied kwenye visivyopo.

The non existent is nothing, ila hoja chanya ambayo imetafiriwa kimakosa inaweza kuwa refuted kwaku expose errors kwenye tafsiri ya hoja uliyo propose

Kanusho la namna hiyo ni "disproving of positive" na sio "proving of negative"

Ni makosa na uvunjaji wa logic kwakudai jambao ambalo halijathibitishwa kuwa haliwezekani, kwa hiyo linawezekana.
 
Back
Top Bottom