Ni imani kuwa umewaamini kupitia taarifa yao kuwa mvua itanyesha, lakini vipi kama haitanyesha?Nafikiri hujaelewa maana ya imani. Mifano yote uliyoitoa haiendani na maana ya imani.
Kwa mfano, kwa namna gani taarifa ya mamlaka ya hali hewa iwe imani? Imani haishughuliki na mambo kama hayo ulioyatolea mfano.
Msingi wa hilo dai lenu ni nini?Sasa kama unasema tunadai Mungu hayupo kivipi tena uhusishe dai hilo na mfumo wa imani?
Dai la kusema hakuna Mungu hiyo ni rejection ya dai linalosema kuna Mungu ambaye hajathibitishwa
Sawa ila msingi wa madai yenu ni nini yani hoja ipi yenye kuwafanya mdai hakuna Mungu wala miungu?Rejection sio imani
Kwahiyo watu walivyo claim kuwa Mungu yupo na nyie pia mkaamua ku claim kuwa Mungu hayupo?Ni kwasababu kuna claims ya kwamba Mungu yupo
na claims sio uthibitisho
Sawa hakuna uthibitisho sasa je haya madai ya kuwa hakuna Mungu yalitokea wapi nayo? Sielewi kwamba hoja ni kwamba madai ya kuwepo Mungu hayana uthibitisho au hoja ni madai ya kwamba Mungu hayupo?Sio tukaamua
Hoja ni kwamba kuna madai ya kwamba Mungu yupo, lakini hakuna uthibitisho
Kama upo uweke
Yes kushindwa kuthibitisha ni indication ya kuonesha hicho kitu ni uwongo au hakipoSawa hakuna uthibitisho sasa je haya madai ya kuwa hakuna Mungu yalitokea wapi nayo? Sielewi kwamba hoja ni kwamba madai ya kuwepo Mungu hayana uthibitisho au hoja ni madai ya kwamba Mungu hayupo?
Maana hapo ni sawa na kutuambia kwamba kushindwa kuthibitisha jambo tafsiri yake moja kwa moja kuwa hilo jambo halipo au si kweli?
Ni indication kumbe! Nilifikiri kushindwa kuthibitisha tafsiri yake moja kwa moja kuwa hilo jambo halipo au si kweli.Yes kushindwa kuthibitisha ni indication ya kuonesha hicho kitu ni uwongo au hakipo
Ngoja nikupe mfano
Nina nguvu ya kimiujiza kwenye vidole vyangu ambavyo nikifikicha nina uwezo wa kukuua
Unatakiwa utume pesa zako zoote kwenye account yangu ili nisikuue
Lakini haujui kua kama ni kweli nina hizo nguvu au nimesema tu
Na sina uwezo wa kuthibitisha hilo
Lakini pia hakuna yeyote mwenye uwezo wa kuthibitisha hizo nguvu sina
Kwa hiyo unafikiria nini?
Huna ushahidi kwamba hizo nguvu sina, kuna mantiki ya kukubaliana na madai hayo?
Utatuma hizo hela?
NdioKwani imani sio ufahamu wa kawaida?
Hii unalosema hapa ni suala la sayansi wala halihusiani na imani.Ni imani kuwa umewaamini kupitia taarifa yao kuwa mvua itanyesha, lakini vipi kama haitanyesha?
Kwa hiyo kitendo cha wewe kubeba mwamvuli ni ishara ya kujenga imani juu ya source ya ile taarifa
Nipe maana ya imani
Kama ni indication why hujanitumia pesa ambazo nimekuambia?Ni indication kumbe! Nilifikiri kushindwa kuthibitisha tafsiri yake moja kwa moja kuwa hilo jambo halipo au si kweli.
Bado sijaelewa madai ya kuwa hakuna Mungu yalitokea vp?
Mechanism ya Sayansi ipo kwenye utafiti wao juu ya hizo dataHii unalosema hapa ni suala la sayansi wala halihusiani na imani.
Kwenye maelezo nimekwambia ujifunze nini maana ya imani.
Kumbuka wewe ndio umejenga hii hoja hivyo nilitarajia kuwa unao ufahamu juu ya imani.
Kuna ufahamu wa kawaida (Reasoning) na kuna ufahamu wa kina ( subconscious mind).kivipi
Unafahamu kazi ya sayansi?Mechanism ya Sayansi ipo kwenye utafiti wao juu ya hizo data
Lakini pia wanakubali kua katika tafiti hizo haziko perfect kuwa lazima itokee kama walivyosema
Na ndio maana wameita utabiri
Kwa maana ya kwamba wanaweza kutabiri mvua na isinyeshe, walitabiri kimbuga job watu wakajenga imani, wavuvi wengi walichukua precaution walisitisha shughuli zao wakiamini kimbunga kinakuja
Madai ya kuwepo Mungu msingi wake ni imani, sasa madai ya kwamba Mungu hayupo msingi wake ni upi au hoja zipi zilizowafanya muweze kusema hakuna Mungu?Kama ni indication why hujanitumia pesa ambazo nimekuambia?
Kwani madai ya kuwa Mungu yupo yalitokea wapi?
Sasa hiyo ni unconscious sio subconsciousKuna ufahamu wa kawaida (Reasoning) na kuna ufahamu wa kina ( subconscious mind).
Huu ufahamu wa kina ndio unawasiliana na infinite intelligence. Kwa hiyo imani ndio njia inayowezesha ufahamu wa kina uungane na infinite intelligence.