Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Nafikiri hujaelewa maana ya imani. Mifano yote uliyoitoa haiendani na maana ya imani.

Kwa mfano, kwa namna gani taarifa ya mamlaka ya hali hewa iwe imani? Imani haishughuliki na mambo kama hayo ulioyatolea mfano.
Ni imani kuwa umewaamini kupitia taarifa yao kuwa mvua itanyesha, lakini vipi kama haitanyesha?

Kwa hiyo kitendo cha wewe kubeba mwamvuli ni ishara ya kujenga imani juu ya source ya ile taarifa

Nipe maana ya imani
 
Sasa kama unasema tunadai Mungu hayupo kivipi tena uhusishe dai hilo na mfumo wa imani?

Dai la kusema hakuna Mungu hiyo ni rejection ya dai linalosema kuna Mungu ambaye hajathibitishwa
Msingi wa hilo dai lenu ni nini?
 
Sawa ila msingi wa madai yenu ni nini yani hoja ipi yenye kuwafanya mdai hakuna Mungu wala miungu?
Ni kwasababu kuna claims ya kwamba Mungu yupo

na claims sio uthibitisho
 
Kwahiyo watu walivyo claim kuwa Mungu yupo na nyie pia mkaamua ku claim kuwa Mungu hayupo?
Sio tukaamua

Hoja ni kwamba kuna madai ya kwamba Mungu yupo, lakini hakuna uthibitisho

Kama upo uweke
 
Sawa hakuna uthibitisho sasa je haya madai ya kuwa hakuna Mungu yalitokea wapi nayo? Sielewi kwamba hoja ni kwamba madai ya kuwepo Mungu hayana uthibitisho au hoja ni madai ya kwamba Mungu hayupo?

Maana hapo ni sawa na kutuambia kwamba kushindwa kuthibitisha jambo tafsiri yake moja kwa moja kuwa hilo jambo halipo au si kweli?
 
Yes kushindwa kuthibitisha ni indication ya kuonesha hicho kitu ni uwongo au hakipo

Ngoja nikupe mfano

Nina nguvu ya kimiujiza kwenye vidole vyangu ambavyo nikifikicha nina uwezo wa kukuua

Unatakiwa utume pesa zako zoote kwenye account yangu ili nisikuue

Lakini haujui kua kama ni kweli nina hizo nguvu au nimesema tu

Na sina uwezo wa kuthibitisha hilo

Lakini pia hakuna yeyote mwenye uwezo wa kuthibitisha hizo nguvu sina

Kwa hiyo unafikiria nini?

Huna ushahidi kwamba hizo nguvu sina, kuna mantiki ya kukubaliana na madai hayo?

Utatuma hizo hela?
 
Ni indication kumbe! Nilifikiri kushindwa kuthibitisha tafsiri yake moja kwa moja kuwa hilo jambo halipo au si kweli.

Bado sijaelewa madai ya kuwa hakuna Mungu yalitokea vp?
 
Ni imani kuwa umewaamini kupitia taarifa yao kuwa mvua itanyesha, lakini vipi kama haitanyesha?

Kwa hiyo kitendo cha wewe kubeba mwamvuli ni ishara ya kujenga imani juu ya source ya ile taarifa

Nipe maana ya imani
Hii unalosema hapa ni suala la sayansi wala halihusiani na imani.

Kwenye maelezo nimekwambia ujifunze nini maana ya imani.

Kumbuka wewe ndio umejenga hii hoja hivyo nilitarajia kuwa unao ufahamu juu ya imani.
 
Ni indication kumbe! Nilifikiri kushindwa kuthibitisha tafsiri yake moja kwa moja kuwa hilo jambo halipo au si kweli.

Bado sijaelewa madai ya kuwa hakuna Mungu yalitokea vp?
Kama ni indication why hujanitumia pesa ambazo nimekuambia?

Kwani madai ya kuwa Mungu yupo yalitokea wapi?
 
Hii unalosema hapa ni suala la sayansi wala halihusiani na imani.

Kwenye maelezo nimekwambia ujifunze nini maana ya imani.

Kumbuka wewe ndio umejenga hii hoja hivyo nilitarajia kuwa unao ufahamu juu ya imani.
Mechanism ya Sayansi ipo kwenye utafiti wao juu ya hizo data

Lakini pia wanakubali kua katika tafiti hizo haziko perfect kuwa lazima itokee kama walivyosema

Na ndio maana wameita utabiri

Kwa maana ya kwamba wanaweza kutabiri mvua na isinyeshe, walitabiri kimbuga job watu wakajenga imani, wavuvi wengi walichukua precaution walisitisha shughuli zao wakiamini kimbunga kinakuja
 
Kuna ufahamu wa kawaida (Reasoning) na kuna ufahamu wa kina ( subconscious mind).

Huu ufahamu wa kina ndio unawasiliana na infinite intelligence. Kwa hiyo imani ndio njia inayowezesha ufahamu wa kina uungane na infinite intelligence.
 
Unafahamu kazi ya sayansi?
Mtu anayepata taarifa kutoka kwenye mamlaka fulani kwamba kuna jambo fulani huenda likatokea, anachukua tahadhari.
 
Kama ni indication why hujanitumia pesa ambazo nimekuambia?

Kwani madai ya kuwa Mungu yupo yalitokea wapi?
Madai ya kuwepo Mungu msingi wake ni imani, sasa madai ya kwamba Mungu hayupo msingi wake ni upi au hoja zipi zilizowafanya muweze kusema hakuna Mungu?
 
rejection of all beliefs
 
Kuna ufahamu wa kawaida (Reasoning) na kuna ufahamu wa kina ( subconscious mind).

Huu ufahamu wa kina ndio unawasiliana na infinite intelligence. Kwa hiyo imani ndio njia inayowezesha ufahamu wa kina uungane na infinite intelligence.
Sasa hiyo ni unconscious sio subconscious

Na bado haina uspecial wa kuifanya isiwe ya kawaida
 
Back
Top Bottom