Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #461
Ni imani kuwa umewaamini kupitia taarifa yao kuwa mvua itanyesha, lakini vipi kama haitanyesha?Nafikiri hujaelewa maana ya imani. Mifano yote uliyoitoa haiendani na maana ya imani.
Kwa mfano, kwa namna gani taarifa ya mamlaka ya hali hewa iwe imani? Imani haishughuliki na mambo kama hayo ulioyatolea mfano.
Kwa hiyo kitendo cha wewe kubeba mwamvuli ni ishara ya kujenga imani juu ya source ya ile taarifa
Nipe maana ya imani