Sasa mwenye mihemko mimi au wewe ? Kosoa nilichokiandika siyo unaonyesha uoga mapema namna hii.Tatizo umejibu kidini(imani) tena kwa muhemuko kweli kweli .. ebu tafakari bila kuwa ba mrengo halafu ndo uandike.
Hakuna sehemu niliyo wekea kikwazo nina uhakika hujasoma ukaelewa nilicho kiandika. Msingi wa hoja yangu na ndiyo haujabadilika uko katika kuhakiki habari na kujua mwanzo na hitimisho lake.Kanuni nimeiweka mimi kuonesha namna gani haifai kwasababu ina circukar reasoning
Ila wewe ukanipinga kwa kusema iko vizuri na imeekezea kwa usahihi
Sasa nashangaa saizi baada ya mimi kuitumia kwenye jambo ambalo linapingana na imani yako umeanza kuiwekea vikwazo na kuonesha haifai
Onyesha nilipo pinga.Wala usinipe lawama wakati hapa tu unaonesha kuipinga kanuni hiyo
Msingi wangu ni kuhakiki habari kujua ukweli wake na kufikia hitimisho lake ndiyo maana sikukataa hilo bali nilikurudisha katika mizani ya uhakiki wa habari ambayo wewe siyo kwamba hujaiweka bali nina uhakika huijui, nilikwambia hata awekwe Yesu sisi tunarudi kuhakiki habari, hii haipingani na nilichokwambia kwamba lazima tuangalie mchakato ulikuwaje mpaka tukafika katika hitimisho hilo, rejea nilichokiandika huko nyuma.1. Ukubali kua msingi wa kanuni hiyo ina logical contradiction na haifai, ili ujiweke kwenye nafasi ya kutomkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako
Kijana jaribu kukua na uwe mkweli na uonyeshe hicho unachokidai usiandike kama mwanafunzi aliye karirishwa nadharia yaani unaandika kirahisi rahisi tu bila kung'amua hoja husika.2. Na kwasababu utakuwa umechagua option namba 1 basi automatical utakuwa umepinga hoja ya uwepo wa Mungu uliyoonesha kuikubali mwanzo ilivyotungwa kupitia kanuni hii
Hili nimeshakujibu.Mtu anayejua chorus ya wimbo wa "Dax my last words" hawezi kuhesabiwa kama ni mtu ambaye anaujua wimbo mzima
Hao unaowaita maswahaba walikuwa wameshika some verses ambazo hazikuwatosha kuweza kutoa kitabu kimoja kilicho kamilika
Nimekuuliza swali hapo
Kulikuwa na haja gani ya wao kuhangaika kutafutiza maneno sehemu tofauti tofauti ilihali wao walikuwa wamei master Quran yote kifuani?
Watu wametafuta namna ya kujipa comfortTushayaongea haya, inashangaza siku iz kila siku mijadala yaimani haikomi humu JF,na huu ndio wakat sahihi wa watu kuujua ukwel, apart from dini.
Huyo Mungu wa dini ambaye analazimisha umjuw kupitia mafunzo ya dini&kusoma vitabu huyo sio Mungu bali stori tu.
Kuna maswal mpka leo hakuna yeyote awezaye kuyajibu kama akili yake imebase kwenye hayo mastory yasiyo na uthibitisho.
Jiulize huyo Mungu wenu wa uongo wa ukristo na uislamu, bila mkoloni kuja mungemjua huyo Allah sjui jesus/Elohim? Mungemjua kwel?
Ni muda mrefu dunia imepitia tangu ule wakat mnaouita uumbaji, zaid ya maelfu ya miaka imepita, lkn chaajabu uyo Mungu wenu wa dini kaja kujifunua Afrika na kwa nchi za mtu mweusi miaka ya karbuni tu hiv kama 400 iliyopita mbali na maelfu ya miaka [emoji23][emoji23] jibu swal huyo pimbi wenu alikuwa wap muda woote uo kuja Afrika kujitambulisha ili tumjue? Je wale wazee waliokufa before hiz imani hazijaja waliabudu nni?
Shahidi hivyo vitabu vyenu mnavyoita vitakatifu, ilihali vimejawa uongo na stor za kujipinga.
Vitisho na uongo ndvyo vimejawa ktk hivyo vitabu, ambapo wengi wanaosoma hayo mastori hulazimika kuamini kwa lazima bila kuhoji kwakuhofia hukumu ya moto, huu ni Upumbavu kbsa.
Huwez kumthibitisha Muumba wa kwel kupitia maandiko maana dunian kila taifa na jamii zina imani zao ambazo zinaamin ktk Uungu mpka wanaoamini ngombe&sanamu ni miungu, je maneno yao tunaweza proof kuwa sahihi sabbu yamekutaka uamin?
Yapo mengi ya kuprove uwepo wa Muumba wa kwel, na haya ukiyatumia kupima Uungu wa hao wasadikika wa Quran & Bible utagunduakuwa hiyo miungu haipo, bali ni stori za wahuni wa kizungu&arabu walioamua kutumia nguvu za ushirikina &mashetan kwa kuyageuza Miungu tokea ktk tamaduni zao na kuforce jamii zingine ziamn kilazima.
Fuatilia kipindi cha uenezi wa hizo injili na dini, mamilion walkufa sabbu ya dini, je ukowapi Upendo wa uyo Mungu wenu wa mchongo??
Jesus, Allah,jehiva, elishadai, elohimu hawa wote ni mashetan ktk uhusika tofaut na majina tofauti ambpo hutumia majina tofaut lkn mhusika ni mmoja.
[emoji117]Note: mungu wa dini zote ni mmoja& hayupo maana hana sifa za uumbaji.
Ukwel mchungu
View attachment 2139235
Tatizo liko wapi sijui hatuekewaniHao walihifadhi Qur'aan yote kwa mujibu wa lahaja fulani, ndiyo maana hapo baadae akaja swahaba mwingine kutoa ushauri wa kuzikusanya lahaja zote saba ziwepo katika nakala moja.
Kwahiyo iliwawajibika wakusanye kwa wengine na kujua aya hii ipo katika sura gani na ile ipo wapi na hii ilishuka wakati gani na ile ilishuka wakati kwahiyi si jambo la mtu mmoja pweke.
Ukweli gani huo ? Nje ya dini na unahusu nini ?Tushayaongea haya, inashangaza siku iz kila siku mijadala yaimani haikomi humu JF,na huu ndio wakat sahihi wa watu kuujua ukwel, apart from dini.
Embu tujadili hili kwenye Uislamu sababu mimi ni Muislamu.Huyo Mungu wa dini ambaye analazimisha umjuw kupitia mafunzo ya dini&kusoma vitabu huyo sio Mungu bali stori tu.
Katika maswali marahisi kuwahi kuulizwa haya uliyo yauliza shida yenu hamsomi na hamjui wapi mkasome na kuzijua hizi habari, ndiyo maana huwa nawashangaa sana mnapo uliza maswali mepesi kama haya.Kuna maswal mpka leo hakuna yeyote awezaye kuyajibu kama akili yake imebase kwenye hayo mastory yasiyo na uthibitisho.
Sasa mbona unajipinga tena?Kijana elewe Qur'aan iliteremka katika lahaja saba ni ngumu mtu mmoja kuhifadhi lahaja zote hasa kwa wakati ule ambao haikuwa katika nakala moja. Jaribu kusoma uelewe kuna maswali unauliza marahisi sana kiasi ambacho laiti kana ungetuliza akili yako usingeuliza.
Uislamu umefika lini Afrika ?Jiulize huyo Mungu wenu wa uongo wa ukristo na uislamu, bila mkoloni kuja mungemjua huyo Allah sjui jesus/Elohim? Mungemjua kwel?
Kwanini unaandika uongo ? Mansa Musa tangu afariki imepita miaka mingapi ?Ni muda mrefu dunia imepitia tangu ule wakat mnaouita uumbaji, zaid ya maelfu ya miaka imepita, lkn chaajabu uyo Mungu wenu wa dini kaja kujifunua Afrika na kwa nchi za mtu mweusi miaka ya karbuni tu hiv kama 400 iliyopita mbali na maelfu ya miakajibu swal huyo pimbi wenu alikuwa wap muda woote uo kuja Afrika kujitambulisha ili tumjue? Je wale wazee waliokufa before hiz imani hazijaja waliabudu nni?
Mimi nakupa miaka kumi uonyeshe uongo wowote katika Qur'aan, ukiweza nitaomba hii ID yangu ifungiwe na wewe utakuwa shahidi.Shahidi hivyo vitabu vyenu mnavyoita vitakatifu, ilihali vimejawa uongo na stor za kujipinga.
Hizi porojo na malalamiko, hakuna hoja hapa.Vitisho na uongo ndvyo vimejawa ktk hivyo vitabu, ambapo wengi wanaosoma hayo mastori hulazimika kuamini kwa lazima bila kuhoji kwakuhofia hukumu ya moto, huu ni Upumbavu kbsa.
Haya ni malalamiko hakuna hoja hapa.Huwez kumthibitisha Muumba wa kwel kupitia maandiko maana dunian kila taifa na jamii zina imani zao ambazo zinaamin ktk Uungu mpka wanaoamini ngombe&sanamu ni miungu, je maneno yao tunaweza proof kuwa sahihi sabbu yamekutaka uamin?
Yapo mengi ya kuprove uwepo wa Muumba wa kwel, na haya ukiyatumia kupima Uungu wa hao wasadikika wa Quran & Bible utagunduakuwa hiyo miungu haipo, bali ni stori za wahuni wa kizungu&arabu walioamua kutumia nguvu za ushirikina &mashetan kwa kuyageuza Miungu tokea ktk tamaduni zao na kuforce jamii zingine ziamn kilazima.
Fuatilia kipindi cha uenezi wa hizo injili na dini, mamilion walkufa sabbu ya dini, je ukowapi Upendo wa uyo Mungu wenu wa mchongo??
Jesus, Allah,jehiva, elishadai, elohimu hawa wote ni mashetan ktk uhusika tofaut na majina tofauti ambpo hutumia majina tofaut lkn mhusika ni mmoja.
Note: mungu wa dini zote ni mmoja& hayupo maana hana sifa za uumbaji.
Soma nilichokiandika kipo wazi sana. Hivi uliisoma historia ya Qur'aan wapi kijana ?Tatizo liko wapi sijui hatuekewani
Unaposema huyo aliyetoa ushauri kwamba ikusanywe iwekwe kwenye single book halafu akawatafuta hao watu walio hifadhi Quran.
Hiki ndio kipengele ambacho rmtunashindwa kuekewana
Ni kwamba unakusudia kwamba hicho kikundi kilichotafutwa na huyo swahaba kiliandika Quran kutoka kwenye vichwa vyao bila ku involve other extenal sources?
Nasema hivyo kwasababu hao watu ndio waliokuwa wakizunguka kila pembe kusaka aya, sasa kivipi tena aya ambazo ziko kichwani wao waanze kuhangaika kwenye minguo kusakama masalia ya verses?
Kwa jinsi unavyoeleza wewe kwamba Quran ilikuwa imehifadhiwa na hao watu basi ingeonesha kukamilika ndani ya muda mfupi kwasababu ilikuwa ni ishu ya kupaste tu
Kwani hoja niliyo propose kwako kuhusu yesu kuwa njia ya kweli na uzima kwa ksnuni ile ile iliyotumika kwa Mungu, umeikubali?Hakuna sehemu niliyo wekea kikwazo nina uhakika hujasoma ukaelewa nilicho kiandika. Msingi wa hoja yangu na ndiyo haujabadilika uko katika kuhakiki habari na kujua mwanzo na hitimisho lake.
Mimi nachokupinga wewe ni kutokusoma kwako hii mada na kutokuchunga amana, yaani hata hujui kunukuu marejeo, huwezi ukaniwekea screenshot na usiandike jina la kitabu huu ni uhuni au kutokujua adabu za kujishughulisha na marejeo. Sasa mimi bado naishi katika kile nilichokukosoa wewe.
Sasa nakuuliza onyesha wapi nimeweka kikwazo ?
Onyesha nilipo pinga.
Usisahau kujibu maswali niliyo kuuliza.
Msingi wangu ni kuhakiki habari kujua ukweli wake na kufikia hitimisho lake ndiyo maana sikukataa hilo bali nilikurudisha katika mizani ya uhakiki wa habari ambayo wewe siyo kwamba hujaiweka bali nina uhakika huijui, nilikwambia hata awekwe Yesu sisi tunarudi kuhakiki habari, hii haipingani na nilichokwambia kwamba lazima tuangalie mchakato ulikuwaje mpaka tukafika katika hitimisho hilo, rejea nilichokiandika huko nyuma.
Kijana jaribu kukua na uwe mkweli na uonyeshe hicho unachokidai usiandike kama mwanafunzi aliye karirishwa nadharia yaani unaandika kirahisi rahisi tu bila kung'amua hoja husika.
Kijana unanichosha sana aisee, hivi unaelewa naposema lahaja ? Leo hii ukija Tanzania ukiambiwa mtoto wangu amehifadhi Qur'aan ujue ameihafadhi Qur'aan kwa namna ya usomaji wa Riwaya ya Imamu Hafsi aliyo ipokea toka kwa Imamu Aaswim hii chain inaenda mpaka kwa Mtume. Maswahaba walikuwa wahifadhi kulingana na ndimi fulani, wengine kwa namna fulani hii haimaanishi kwamba haijahifadhiwa ndiyo maana nimekuwekea maswahaba walio hifadhi Qur'aan yote. Huelewei wapi ?Sasa mbona unajipinga tena?
Mwanzo ulisema Quran ilikamilika na ilihifadhiwa kifuani yote na watu hata baada ya vita ya Yomama, saizi tena unapiga kuwa haikuwezekana kuihifadhi yote kwasababu ilikuwa na contents kubwa
Nadhindwa kukuelewa
Hiyo Thor Spiderman nahisi ni idea sidhani kama kuna mtu anaamini kuwa hivo vinaishiSayansi haina majibu sio kwenye ishu ya Mungu tu
Haina majibu kuhusu unicorn, thor, spiderman, tea pot inayo orbit kwenye jua nk.
Jibu hoja hizo,Soma nilichokiandika kipo wazi sana. Hivi uliisoma historia ya Qur'aan wapi kijana ?
Uliza swali sahihi kulingana na majibu yangu.Kwani hoja niliyo propose kwako kuhusu yesu kuwa njia ya kweli na uzima kwa ksnuni ile ile iliyotumika kwa Mungu, umeikubali?
Nilikutaka uweke jina la kitabu lakini mpaka muda huu hujafanya. Ushawahi kuandika tafiti yoyote ? Vile ulivyo andika ndiyo huwa mnaandika marejeo ya vitabu ?Mwanzo nimekuwekea Quote ya mwanazuoni, nikaja nikakuwekea na screenshot ikionesha lugha asili iliyitumika na tafsiri yake ya kingereza lakini bado unaona haitoshi
Jibu rahisi sana sababu hujairudisha kwenyw asili yake.Hujanambia kwanini screenshot hiyo isiwe reliable, au kwanini jambo la ukweli haliwezi kunukuliwa kwa screenshot
Hili nimeshakujibu. Kingine kijana huna hoja katika hii mada, umekurupuka sana na nilikupa tahadhari.Jibu hoja hizo,
Unapinga kwamba Quran haikuwa compiled kwenye mapanga, nguo, wanyama na badala yake ilitolewa kutoka kwa watu walio hifadhi yote vifuani mwao?
Kwanza hiki unachokiandika hapa nakiona kama ni personal perspective, otherwise uje na vivid evidence kutoka reliable source ikiongelea hiki ulichokiandikaKijana unanichosha sana aisee, hivi unaelewa naposema lahaja ? Leo hii ukija Tanzania ukiambiwa mtoto wangu amehifadhi Qur'aan ujue ameihafadhi Qur'aan kwa namna ya usomaji wa Riwaya ya Imamu Hafsi aliyo ipokea toka kwa Imamu Aaswim hii chain inaenda mpaka kwa Mtume. Maswahaba walikuwa wahifadhi kulingana na ndimi fulani, wengine kwa namna fulani hii haimaanishi kwamba haijahifadhiwa ndiyo maana nimekuwekea maswahaba walio hifadhi Qur'aan yote. Huelewei wapi ?
Kwani kigezo kinachofanya Mungu isiwe ni idea ni nini?Hiyo Thor Spiderman nahisi ni idea sidhani kama kuna mtu anaamini kuwa hivo vinaishi
Majibu ndio ynayopaswa kuwa sahihi kulingana na swaliUliza swali sahihi kulingana na majibu yangu.
Kwa hiyo ile niliyokuwekea mimi ni kitu gani?Nilikutaka uweke jina la kitabu lakini mpaka muda huu hujafanya. Ushawahi kuandika tafiti yoyote ? Vile ulivyo andika ndiyo huwa mnaandika marejeo ya vitabu ?
Kama umeamua kukataa hiyo quote ni sawaKijana usihangaike sana, kwa ufupi hukijui unachokijadili yaani hujakisoma ndiyo maana hujui hata jina la kitabu. Tafuta jina la kitabu, nasema hivyo kwa sababu nyingi sana, maneno uliyo ya screenshot hayajajitosheleza.
Asili yake ipi?Jibu rahisi sana sababu hujairudisha kwenyw asili yake.
Sio kila kitu kipo in term of book, hususani kwenye vitu vya kaleHili nimeshakujibu. Kingine kijana huna hoja katika hii mada, umekurupuka sana na nilikupa tahadhari.
Umeanza kukimbia maswali yangu katika kuikosoa logic ba katika historia kadhalika umechemka.
Nimekuuliza swali rahisi sana, nitajie kitabu ulichosoma hizi habari za Qur'aan unaruka ruka mpaka muda huu.
Kazi yangu nimemaliza, sasa nasubiri majibu ya maswali yangu niliyo kuuliza.
Kwanini unaniuliza swali ambalo nimekujibu hapo kwenye post yangu tena kwa kuonesha msisitizo nimei highlight ikiwa bolded kwa rangi nyekundu?Hiyo process ya kufikia conclusion kuwa hakipo ni ipi? na ni personal au universal?
Au nikiamua tu naweza kusema hakipo.