Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Dah umensanua kuna mchongo wa hela ndefu ilikuwa nataks niupige alafu mshko ote uwepo bitcins kwa kuamin ni untreasable kumbe nlikuwa najidanganya mwenyewe

Tumia monero, Bitcoin watakupata, watusubiri mpaka unapokuja kuexchange into cash/FIAT.
Na usitumie Centralized exchanges kama Binance, Coinbase n.k, Wala trust wallet mana ni Binance nayo.
 
Kuna wengi walikuwa na matarajio itakuwa na 60+ kwa pi nadhani itakuwa limewa let down.
Ikiwa listed binance huenda inaweza kupanda hadi $10
Watalist vipi coin wakati walisema Leo wanaachi Mainnet na kwenye circulation hawajaweka hata Moja ?
Market cap ya Pi ni 0
Circulation supply ni 0 sasa kama circulation ni 0 means bado wanadevelop na wanadevelop nn kama sio scam?

It means Pi Haina value yoyote.
Screenshot_20250220-153043.jpg
 
Watalist vipi coin wakati walisema Leo wanaachi Mainnet na kwenye circulation hawajaweka hata Moja ?
Market cap ya Pi ni 0
Circulation supply ni 0 sasa kama circulation ni 0 means bado wanadevelop na wanadevelop nn kama sio scam?

It means Pi Haina value yoyote.
View attachment 3242853
Mkuu mbona mtandaoni wanaonyesha ziko listed na zinauzwa na kununuliwa OKX, Biget
 
Hongera zao masikio ya kufa,...🤣🤣😂
Wengi imewalet down maana walitegemea iwe na thamani ya 60 plus. Mimi ninazo 50 japokuwa imekaa kama pyramid scheme na wahusika wa hii ni africa, asia nchi kama india, phillipines, china kiasi, thailand na africa ni nigeria zaidi. Wenzetu huko states na ilaya hawana habari nayo.
Hype na marketing yake ni kama pyramid scheme. Nasubiri kuona kama itakuwa listed binance maana waliendesha kura na 85% walopendekeza iwe listed. Former CEO and founder aliponda binance kuilist nao wakajibu kuwa kura si uamuzi wa mwisho
 
lakini hapo mwenye coins elfu 2 ambazo zipo migrated hajapiga hela?
Kupiga kapiga mkuu ila matarajio ya wengi ilikuwa kuwa milionaires. Mimi mwenyewe hype ndiyo ilinifanya november nianze kumine baada ya prediction kunchanganya nikaona nisipitwe na train. Let's see kama itakuwa listed pia kwa binance ikiwa price itapanda japokuwa nina vimashaka fulani na hii coin.
 
ni kuwa wavumilivu tu..! Tunasubiri ile dashboard ya Pi app ibadilike na Dr nico atangaze maana ni tukio kubwa la ufunguzi lazima aelezee mawili matatu na kutoa hizi changanyikeni za exchanges juu ya listing ya Pi.
 
Back
Top Bottom