Dah umensanua kuna mchongo wa hela ndefu ilikuwa nataks niupige alafu mshko ote uwepo bitcins kwa kuamin ni untreasable kumbe nlikuwa najidanganya mwenyewe
Mkuu we endelea tu kulima mahindi guy mchongo ukiujua utaingia mazima lakin aliekufundisha unaweza ukaja kumpiga pangaNieleweshwe tafadhali Kwa lugha rahisi ni Nini hiki
Kuna wengi walikuwa na matarajio itakuwa na 60+ kwa pi nadhani itakuwa limewa let down.Hongereni wawekezaji
View attachment 3242692
Watalist vipi coin wakati walisema Leo wanaachi Mainnet na kwenye circulation hawajaweka hata Moja ?Kuna wengi walikuwa na matarajio itakuwa na 60+ kwa pi nadhani itakuwa limewa let down.
Ikiwa listed binance huenda inaweza kupanda hadi $10
Mkuu mbona mtandaoni wanaonyesha ziko listed na zinauzwa na kununuliwa OKX, BigetWatalist vipi coin wakati walisema Leo wanaachi Mainnet na kwenye circulation hawajaweka hata Moja ?
Market cap ya Pi ni 0
Circulation supply ni 0 sasa kama circulation ni 0 means bado wanadevelop na wanadevelop nn kama sio scam?
It means Pi Haina value yoyote.
View attachment 3242853
kesho ni kesho na leo ni leo...au kesho na leo vinauhusiano?π€π€Kesho yenyewe sindo leo?
Ishazinduliwa thamani yake ni pi 1 sawa na $1.7kesho ni kesho na leo ni leo...au kesho na leo vinauhusiano?π€π€
Hongera zao masikio ya kufa,...π€£π€£πIshazinduliwa thamani yake ni pi 1 sawa na $1.7
KiajeKuna watu wanapenda kutapeliwa sana
Wengi imewalet down maana walitegemea iwe na thamani ya 60 plus. Mimi ninazo 50 japokuwa imekaa kama pyramid scheme na wahusika wa hii ni africa, asia nchi kama india, phillipines, china kiasi, thailand na africa ni nigeria zaidi. Wenzetu huko states na ilaya hawana habari nayo.Hongera zao masikio ya kufa,...π€£π€£π
lakini hapo mwenye coins elfu 2 ambazo zipo migrated hajapiga hela?Ishazinduliwa thamani yake ni pi 1 sawa na $1.7
Zinauzika?Pi 1,200 Γ 5,000 = Mpaka Sasa Nina 6 millions.
Sijatumia 10 kuzipata, mbs zangu zinazonifanya niingie Jamii forum ndo hizo hizo natumia sekundi 5 tu Kila siku ku mines then nakuja kupiga umbeya hapa... Sina hasara..!
Kupiga kapiga mkuu ila matarajio ya wengi ilikuwa kuwa milionaires. Mimi mwenyewe hype ndiyo ilinifanya november nianze kumine baada ya prediction kunchanganya nikaona nisipitwe na train. Let's see kama itakuwa listed pia kwa binance ikiwa price itapanda japokuwa nina vimashaka fulani na hii coin.lakini hapo mwenye coins elfu 2 ambazo zipo migrated hajapiga hela?
Na hiyo price itapanda. Wenye shauku ya kuuza mapema ndio watauza kwa hiyo pricePi 1,200 Γ 5,000 = Mpaka Sasa Nina 6 millions.
Sijatumia 10 kuzipata, mbs zangu zinazonifanya niingie Jamii forum ndo hizo hizo natumia sekundi 5 tu Kila siku ku mines then nakuja kupiga umbeya hapa... Sina hasara..!
ni kuwa wavumilivu tu..! Tunasubiri ile dashboard ya Pi app ibadilike na Dr nico atangaze maana ni tukio kubwa la ufunguzi lazima aelezee mawili matatu na kutoa hizi changanyikeni za exchanges juu ya listing ya Pi.Kupiga kapiga mkuu ila matarajio ya wengi ilikuwa kuwa milionaires. Mimi mwenyewe hype ndiyo ilinifanya november nianze kumine baada ya prediction kunchanganya nikaona nisipitwe na train. Let's see kama itakuwa listed pia kwa binance ikiwa price itapanda japokuwa nina vimashaka fulani na hii coin.