stakehigh Yupo sahihi kabisa,mfano mtu aliyepewa nyumba Bure akasema baada ya mwezi ataiuza milioni 100,ila akaja kuiuza milioni 50 huyu MTU ana hasara kubwa sanaaa,hajapata faida yeyote ile..........yupo sahihi Pi ni scam sababu walionazo walitegema watauza dola laki 3,ila wanaziuza Dola 1.86,......daah wamepata hasara kubwa sana na wametapeliwa.That amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
mkuu huwa wanaandika kwenye exchange wanatoa tahadhali kuwa kuna some coins zina High volatility sasa kama watu hawasomi ndio imekula kwao! Na ndio maana ya trading buy low sell high ndio maana ya Crypto investments.stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
Hii ni sahihi wote wanaomine pi coins na kutrade pi coins hawana kazi na pesa,wanategemea tu Pi coins..........ni sahihi.bilionea hapendi kufanya kazi anapenda kuclick kila sku mara 1
Upo sahihi anayenunua coin ikiwa$0.6,akaja kuiza ikiwa $1.8 hana logic na ni loser,sababu coin zina volatilitymkuu huwa wanaandika kwenye exchange wanatoa tahadhali kuwa kuna some coins zina High volatility sasa kama watu hawasomi ndio imekula kwao! Na ndio maana ya trading buy low sell high ndio maana ya Crypto investments.
Au nyinyi huwa trading mnaifanyia mawinguni?
Kwani nyinyi mnanunua coins na vidola 20$, 50$, 100$ na after some times mnategemea mpate 5000$ huwa mnaangalia nini hasa!
Jitahidi kuwa Na logic msifanye vitu kwa ushabiki na wivu.
Yes Hawa jamaa wanaumia sana aisee,imagine mtu ana Pi 1000,ziko unlocked anaziuza kwa $1.8 na alizipata Bure,si hasara hiii.as long una miliki PI app mlikua promised laki 3, dont feel mad you will learn the hard way
Na hiyo ndio maana ya crypto investments na wengine ndio maana wanatoa elimu za uwekezaji kwenye crypto kwa mambo kama hayo!Upo sahihi anayenunua coin ikiwa$0.6,akaja kuiza ikiwa $1.8 hana logic na ni loser,sababu coin zina volatility
Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanza na thamani yeyote ile.Na hiyo ndio maana ya crypto investments na wengine ndio maana wanatoa elimu za uwekezaji kwenye crypto kwa mambo kama hayo!
Hiyo Pi iacheni hivo hivo! Kama ni scam na nyie haiwahusu na wala haiwapunguzii chochote kwanini mnaumia.?
Basi huo utakua ni uchawi kama unaumia kwa kitu sio chako! kwahiyo wewe jirani yako akinunua Gari utaanza kumuongelea na kuumia eti kwanini asinunue kiwanja akajenga kwanza? Nyinyi ndio huwa mnafurahia Failure za watu kwenye maisha! Ndugu ukiwa hivo sahau kufanikiwa utakua na hela za kubadilisha mboga tu.Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanz ana thamani yeyote ile.
Imagine unachimba coin bure inakuka kua na market cap ya zaidi ya 10 Billion $,hii inauma sana aisee
mlitegemea ianze na 0.0001 sio? huu mziki ndio kwanza umeanza kuwaka! kama ni crypto investor ipe hata 3, 5 e.t.c years to come!Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanza na thamani yeyote ile.
Imagine unachimba coin bure inakuja kua na market cap ya zaidi ya 10 Billion $,hii inauma sana aisee
Daah roho mbaya ndio zinatutesa mkuu,tuhurumie
mwambie huyo jamaa yako stakehigh waendelee kuwekeza vidola 20$, 40$, 50$ kwenye ma Bonk, Doge e.t.c akitegemea kuna siku itamletea 5000$ (imposible)..Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanza na thamani yeyote ile.
Imagine unachimba coin bure inakuja kua na market cap ya zaidi ya 10 Billion $,hii inauma sana aisee
Daah roho mbaya ndio zinatutesa mkuu,tuhurumie
stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata mojaBasi huo utakua ni uchawi kama unaumia kwa kitu sio chako! kwahiyo wewe jirani yako akinunua Gari utaanza kumuongelea na kuumia eti kwanini asinunue kiwanja akajenga kwanza? Nyinyi ndio huwa mnafurahia Failure za watu kwenye maisha! Ndugu ukiwa hivo sahau kufanikiwa utakua na hela za kubadilisha mboga tu.
Waacheni maana wakati wanachimba hamkuwepo na hata akiuza mwache auze bando lake, simu yake uumie wewe?Daah
Mwingine anaaza kusema sijui tumeuza data utafikiri internet tumeanza kuijua leo? Hizo data zinakusaidia nini wewe mchimba chumvi wa 3rd world countries?
Ubinadamu kazi sana!
stakehigh si tulikubaliana coin yeyote ikianza hua haipandi tena bei,na wanaomiliki Pi coin wote wamepata hasara?mlitegemea ianze na 0.0001 sio? huu mziki ndio kwanza umeanza kuwaka! kama ni crypto investor ipe hata 3, 5 e.t.c years to come!
Huyo ndio hajui chochote! ubishi mwingi hakuna analojua! wewe nakuona una kaustaraabu kidogo!stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata moja
stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata moja
We acha tu, hapa natafta namna nifute hata account basiillikufanya nini hii MLM?
bado tu mnapumuaHawa haters nikiwa nikiwa nataka kubishana ndio wananijia kwenye akili. Ngoja niende nao sawa maana siku sio nyingi wanaenda kujificha😂😂
then why are u hustling na PI kama sio kwa sababu uliskia kuna mabilioniThat amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
kuna msemo unasema kua chizi sio lazima uokote makopo, zamani walikuja wakatoa vioo wakachukua dhahabu, it makes sense why that trade happend because of people like you!stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
sawa bilionea, utaprint sana izo stats kwa mda mrefu kidogo, but till the worse happens no one knows what will happen to the data they collectedUpo sahihi hata mtu aliyenunua Bitcoin ikiwa $20,000 akiamini itafika $120,000,ana hasara ya kufa mtu sasa hivi sababu haijafika matarajio yake.
Hata hivo tulikubaliana Pi coin ni scam na coreteam wamehonga ili iwe listed coinmarketcap.com
unaijua ONE COIN?View attachment 3261313
Kwamba ulimaanisha hivyo? hiyo mnayoita Scam?