Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

That amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
stakehigh Yupo sahihi kabisa,mfano mtu aliyepewa nyumba Bure akasema baada ya mwezi ataiuza milioni 100,ila akaja kuiuza milioni 50 huyu MTU ana hasara kubwa sanaaa,hajapata faida yeyote ile..........yupo sahihi Pi ni scam sababu walionazo walitegema watauza dola laki 3,ila wanaziuza Dola 1.86,......daah wamepata hasara kubwa sana na wametapeliwa.
Pi network ni scam
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
mkuu huwa wanaandika kwenye exchange wanatoa tahadhali kuwa kuna some coins zina High volatility sasa kama watu hawasomi ndio imekula kwao! Na ndio maana ya trading buy low sell high ndio maana ya Crypto investments.

Au nyinyi huwa trading mnaifanyia mawinguni?

Kwani nyinyi mnanunua coins na vidola 20$, 50$, 100$ na after some times mnategemea mpate 5000$ huwa mnaangalia nini hasa!

Jitahidi kuwa Na logic msifanye vitu kwa ushabiki na wivu.

Pi itawashangaza muda si mrefu watu sio wajinga! Take Pi kama coins zingine tu msikazanie sijui 314,159$ mnakua kama tunawaweka ni watu wenye wivu na wachawi maana uchawi sio lazima kuroga.
 
bilionea hapendi kufanya kazi anapenda kuclick kila sku mara 1
Hii ni sahihi wote wanaomine pi coins na kutrade pi coins hawana kazi na pesa,wanategemea tu Pi coins..........ni sahihi.
Hata wanaohold Bitcoin hawana kazi za kufanya wanategemea eti coin zitawapa pesa.
pi coin ni scam
 
mkuu huwa wanaandika kwenye exchange wanatoa tahadhali kuwa kuna some coins zina High volatility sasa kama watu hawasomi ndio imekula kwao! Na ndio maana ya trading buy low sell high ndio maana ya Crypto investments.

Au nyinyi huwa trading mnaifanyia mawinguni?

Kwani nyinyi mnanunua coins na vidola 20$, 50$, 100$ na after some times mnategemea mpate 5000$ huwa mnaangalia nini hasa!

Jitahidi kuwa Na logic msifanye vitu kwa ushabiki na wivu.
Upo sahihi anayenunua coin ikiwa$0.6,akaja kuiza ikiwa $1.8 hana logic na ni loser,sababu coin zina volatility
 
as long una miliki PI app mlikua promised laki 3, dont feel mad you will learn the hard way
Yes Hawa jamaa wanaumia sana aisee,imagine mtu ana Pi 1000,ziko unlocked anaziuza kwa $1.8 na alizipata Bure,si hasara hiii.
Wakati watanzania wanapiga hela kirahisi sana mtaani kwenye biashara zao,...........Pi coins ni scam,kwanza kumine hii Pi coin ni siku nzima mtu unaacha kazi zako,ni hata bora ushinde Instagram bando lako liliwe kucheki umbea kuliko kubonyeza Pi mining application,kwa dakika 1 kwa siku
 
Upo sahihi anayenunua coin ikiwa$0.6,akaja kuiza ikiwa $1.8 hana logic na ni loser,sababu coin zina volatility
Na hiyo ndio maana ya crypto investments na wengine ndio maana wanatoa elimu za uwekezaji kwenye crypto kwa mambo kama hayo!

Hiyo Pi iacheni hivo hivo! Kama ni scam na nyie haiwahusu na wala haiwapunguzii chochote kwanini mnaumia.?
 
Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanza na thamani yeyote ile.
Imagine unachimba coin bure inakuja kua na market cap ya zaidi ya 10 Billion $,hii inauma sana aisee
Daah roho mbaya ndio zinatutesa mkuu,tuhurumie
 
Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanz ana thamani yeyote ile.
Imagine unachimba coin bure inakuka kua na market cap ya zaidi ya 10 Billion $,hii inauma sana aisee
Basi huo utakua ni uchawi kama unaumia kwa kitu sio chako! kwahiyo wewe jirani yako akinunua Gari utaanza kumuongelea na kuumia eti kwanini asinunue kiwanja akajenga kwanza? Nyinyi ndio huwa mnafurahia Failure za watu kwenye maisha! Ndugu ukiwa hivo sahau kufanikiwa utakua na hela za kubadilisha mboga tu.
Waacheni maana wakati wanachimba hamkuwepo na hata akiuza mwache auze bando lake, simu yake uumie wewe?Daah

Mwingine anaaza kusema sijui tumeuza data utafikiri internet tumeanza kuijua leo? Hizo data zinakusaidia nini wewe mchimba chumvi wa 3rd world countries?

Ubinadamu kazi sana!
 
Tunaumia kwa sababu tumeona wenzetu wameichimba bure,halafu wanaiuza kwa pesa.............tulitegemea isingeanza na thamani yeyote ile.
Imagine unachimba coin bure inakuja kua na market cap ya zaidi ya 10 Billion $,hii inauma sana aisee
Daah roho mbaya ndio zinatutesa mkuu,tuhurumie
mlitegemea ianze na 0.0001 sio? huu mziki ndio kwanza umeanza kuwaka! kama ni crypto investor ipe hata 3, 5 e.t.c years to come!
 
mwambie huyo jamaa yako stakehigh waendelee kuwekeza vidola 20$, 40$, 50$ kwenye ma Bonk, Doge e.t.c akitegemea kuna siku itamletea 5000$ (imposible)..
Pi kwa watu waliouza mapema wana usdt 1600, 4k na bado ana coins zingine kwa wallet e.tc ambayo anaweza fanya investment kwenye crypto market ...
 
Basi huo utakua ni uchawi kama unaumia kwa kitu sio chako! kwahiyo wewe jirani yako akinunua Gari utaanza kumuongelea na kuumia eti kwanini asinunue kiwanja akajenga kwanza? Nyinyi ndio huwa mnafurahia Failure za watu kwenye maisha! Ndugu ukiwa hivo sahau kufanikiwa utakua na hela za kubadilisha mboga tu.
Waacheni maana wakati wanachimba hamkuwepo na hata akiuza mwache auze bando lake, simu yake uumie wewe?Daah

Mwingine anaaza kusema sijui tumeuza data utafikiri internet tumeanza kuijua leo? Hizo data zinakusaidia nini wewe mchimba chumvi wa 3rd world countries?

Ubinadamu kazi sana!
stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata moja
 
mlitegemea ianze na 0.0001 sio? huu mziki ndio kwanza umeanza kuwaka! kama ni crypto investor ipe hata 3, 5 e.t.c years to come!
stakehigh si tulikubaliana coin yeyote ikianza hua haipandi tena bei,na wanaomiliki Pi coin wote wamepata hasara?
Si kweli hata Bitcoin haikuanzia $1 etc,ilianzia $100,000?
 
stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata moja
Huyo ndio hajui chochote! ubishi mwingi hakuna analojua! wewe nakuona una kaustaraabu kidogo!
 
stakehigh njoo unitetee mkuu,kwa mimi kuumia Pi coin kuwa na market cap ya $10B, na $1.86wakati walionazo walitegemea ingeanza na dola laki 3,...........kwa hio naumia mimi nisiyemiliki Pi coin hata moja
Screenshot_20250306-162604~2.png

Kwamba ulimaanisha hivyo? hiyo mnayoita Scam?
 
That amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
then why are u hustling na PI kama sio kwa sababu uliskia kuna mabilioni
 
stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
kuna msemo unasema kua chizi sio lazima uokote makopo, zamani walikuja wakatoa vioo wakachukua dhahabu, it makes sense why that trade happend because of people like you!
 
Upo sahihi hata mtu aliyenunua Bitcoin ikiwa $20,000 akiamini itafika $120,000,ana hasara ya kufa mtu sasa hivi sababu haijafika matarajio yake.
Hata hivo tulikubaliana Pi coin ni scam na coreteam wamehonga ili iwe listed coinmarketcap.com
sawa bilionea, utaprint sana izo stats kwa mda mrefu kidogo, but till the worse happens no one knows what will happen to the data they collected
 
Back
Top Bottom