stakehigh Yupo sahihi kabisa,mfano mtu aliyepewa nyumba Bure akasema baada ya mwezi ataiuza milioni 100,ila akaja kuiuza milioni 50 huyu MTU ana hasara kubwa sanaaa,hajapata faida yeyote ile..........yupo sahihi Pi ni scam sababu walionazo walitegema watauza dola laki 3,ila wanaziuza Dola 1.86,......daah wamepata hasara kubwa sana na wametapeliwa.That amount was never promised to me. So, you're finding satisfaction in the fact that some people's goals don't come to fruition? That sounds like jealousy to me.
Pi network ni scam