Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Sasa kesho tusubiri kuona crypto millionaire wa Pi Network waje hapa mana ni siku ya Mainnet.🥺
 
Wakati mwingine ukiangalia bundle uliotumia sawa na helà unazoenda kupata loh
Haikuwa inakula bundle ilikuwa tu mtu anaingia kila baada ya 24 hours ana click mine basi hata akiwa hana bundle baaada ya kuclick mine haina shida atarudi tena baada ya 24 hours.
By the way imekaa kama pyramid scheme kuanzia kuwapa jina wahusika eti pioneers, hype zake za kiwack na wahusika wengi ni asia huko india, phillipines thailand china washasema ni pyramid scheme, africa hasa nigeria pia.
Bado app ilikuwa kila ukiingia kumine unatazama tangazo wakati project za mabilioni kama haya huwa zinakuwa na investors hazitegemea matangazo. Imagine walikuwa wanapata over 10 milions views per day walikuwa wanatengeneza pesa kiasi gani.
Mimi nahisi walianza wakaja na idea ya kupata views so wakaja na hii habari ya mining. Ndiyo maana uzinduzi ulihairishwa mara kadhaa. Baada ya kuona watu wanaongezeka ndipo wakaamua kabisa waanzishe coin. Ila mwanzo nahisi wazo lao ilikuwa kupata viewers wa matangazo
 
mjini akili
 
Na Leo wanahairisha hahahaa nipo kwa masawe nalamba mojamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…