Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Mkuu nikisema solana inauza haina maana mimi nimeuza. Mimi sijauza na wala sina mpango wa kuuza kwa sababu siwezi pata pesa ya maana. Ila hiyo mitandao niliyokutajia zinauzwa. Kuna dumping huko inaendelea na bila shaka wanaouza ndiyo mafounder soon itasoma 0
Sasa wakati kama huu watu wanalia unasemaje pi inauzwa wakati haujauza ?
 
Mkuu pi ingekuwa mineable basi app yake usingeikuta playstore, pi inachokifanya ni entertainment mining, sio real mining, na inanisikitisha kama kweli wewe ni programmer unasema unamine

l
Mkuu ukisoma white paper yao ililenga kila mtu aweze kuaccess hiyo crypto kwa kutokuhitaji kuwa na power intensive mining rigs. Tafsiri yao ya mining ni kuwa sehemu ya network na kuufanya uaminike maana thamani ya pi kwa maelezo yao itategemea kutumia na watu wengi.
Lakini bado mimi naamini hawa watu hawakuwa na lengo la kutengeneza coin and it was a scam from the beginning. Hawa walikuwa wanatafuta ad views sasa wakaja na wazo hili. Imagine walikuwa wanapata views zaidi ya milion 10 kwa siku.
Na nadhan there was no coin at all na ndiyo maana uzinduzi wake umehairishwa mara kadhaa. Ila nadhani baada ya kupata base kubwa wakaona wanaweza kutengeneza coin. Na kumbuka wao wana 20% ya hizo coin na wameipa hype zimekaa ka ponze scheme na kila kitu so ikiingia kwa soko wakadump hizo coin zao bado watakuwa wametengeneza pesa kibao.
Marketing yao imekaa kiponze scheme kuanzia eti pioneers, invites, wahusika wengi ni nchi za asia na africa ambazo mara zote ndo victims wa ponze scheme.
Jana nmeona eti tangazo nlijua tu la uongo kuwa byd wameuza gari 100 kwa kulipwa pi 1 kwa kila gari.
 
Pi 1,200 × 5,000 = Mpaka Sasa Nina 6 millions.

Sijatumia 10 kuzipata, mbs zangu zinazonifanya niingie Jamii forum ndo hizo hizo natumia sekundi 5 tu Kila siku ku mines then nakuja kupiga umbeya hapa... Sina hasara..!
Unahesabu million 6 Kwa coin ambayo Ina market cap ya 0!!!!

Ina maana haipo hata kwenye stock exchange!!!!
 
Sasa wakati kama huu watu wanalia unasemaje pi inauzwa wakati haujauza ?
Mimi siwezi kuhangaika kuuza pi 50 ambazo hazina thamani ya kueleweka.mimi nimeanza mine pi mwishoni mwa november baada iou price yake kunishawishi nikawaza nisije pitwa na train hivi hivi. Thou prediction ilikuwa iwe 70$ + ila mimi kuna threads kibao humu nlikuwa nabishana na watu kuwa haiwezi kuzidi 3$ na inaweza kuwq chini ya $1.
 
Unahesabu million 6 Kwa coin ambayo Ina market cap ya 0!!!
Brother, pi Leo ilianza n as

Unahesabu million 6 Kwa coin ambayo Ina market cap ya 0!!!!

Ina maana haipo hata kwenye stock exchange!!!!
Pi Leo ilianza kuwa trade Kwa 1 pi = 1 $ ikapanda mpaka $ 1.5 ikafika mpaka $ 2 ...!

Record ambayo pi imeanza nayo, hakuna Crypto coin nyingine ilowahi kufika Kwa siku ya kwanzakwanza.
Unahesabu million 6 Kwa coin ambayo Ina market cap ya 0!!!!

Ina maana haipo hata kwenye stock exchange!!!!
 
1740079761801.png
 
Mimi total supply yake tuu inaniacha na kicheko bilioni6 sijui 7,, nyingi mno ni mwendo wa akina doge na wenzake wenye supply kubwa kufika bei nzr ni mtihani
 
Back
Top Bottom