Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Mimi total supply yake tuu inaniacha na kicheko bilioni6 sijui 7,, nyingi mno ni mwendo wa akina doge na wenzake wenye supply kubwa kufika bei nzr ni mtihani
jumla ya supply ni 100b iliopo ni circulating supply
 
Wajinga ndo waliwao aise hakuna easy money bila kutoa jasho
Si Kila kazi ni lazima kutoa jasho jamani, kuna zingine akili tu nguvu kidogo, nawalaumu sana watu wanaodandia Crypto bila ujuzi wowote, hawa wanalizwa kila siku kwa kupotezewa muda.

Anyway poleni sana. huo ndio ulimwengu wa Cryptocurrency😅
 
Wa bongo na mautaperi kibao, miujiza feki, na madudu mengine,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…