Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
I know! ngoja tusubiri . subira itajibu maswali yote hayaView attachment 3245189
bei ni 0.8$ ile price ya kwanza huezi pata kwa sababu orders kubwa ndo zliamua price ya kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know! ngoja tusubiri . subira itajibu maswali yote hayaView attachment 3245189
bei ni 0.8$ ile price ya kwanza huezi pata kwa sababu orders kubwa ndo zliamua price ya kwanza
ahaa aina noma kaka tpo pamoja kuwapa pole vijana maaana hawaamini mpaka sasa kuna video moja nakutumia usikilize walivokua wanapanga maisha baada ya open mainnet yaani ni vitukoMkuu usiamini kila ninachokiandika hapa ninachangamsha genge tu...
walipiga ela sanaNdiyo maana nilisema huko juu project ya hawa watu ilikuwa kupata views so wakaja na hii masterplan. Hata ukisoma walivyogeukana na wenzao wakabaki mume na mke unajua hawa watu hawa....
unasubiria nn tena sasa si ndo bei halisiI know! ngoja tusubiri . subira itajibu maswali yote haya
ahaa aina noma kaka tpo pamoja kuwapa pole vijana maaana hawaamini mpaka sasa kuna video moja nakutumia usikilize walivokua wanapanga maisha baada ya open mainnet yaani ni vituko
View: https://youtu.be/_w7OxRgWIiI?t=632
ahaa aina noma kaka tpo pamoja kuwapa pole vijana maaana hawaamini mpaka sasa kuna video moja nakutumia usikilize walivokua wanapanga maisha baada ya open mainnet yaani ni vituko
View: https://youtu.be/_w7OxRgWIiI?t=632
Kumbe nawewe unachezaga hii michezo ya cryptoHatimaye ipo kwa hewa sasa, full kuchekelea. Mimi nilisema hata kama ni uongo acha ni mine tu kikubwa silipii. Leo nawacheka 😁😁😁
Hahahahahah yani mtu anategemea akanunue apartment palm village kwa kufanya ads view mtandaoni🤣?mzee unapenda utajiri mwepesi piga kazi mbna kazi za kufanya zpo nyingi tu, hio nguvu na mategemeo ungeweka kwenye kazi ungekua mbali kijana, si unaona saahv palm village unapaangalia kwa heshima
kuna haja ya kurudisha zile fimbo za nyerere ukiingia bakora 50 ukitoka bakora 50, sema sasa ndo ivo city garden hawezi kataa si wamelipia sjui walitumia pi 🤣Wewe tazama hawa investors kwanza ni mostly kutoka jamii masikini. Halafu knowledge na crypto wengi hawana. Yani hizi seminars na mikusanyiko yao ni kama za lbl na one coin kabisa. Bado matangazo yao. Siku 2 kabla ya uzinduzi kuna tangazo lilikuwa linazunguka kuwa byd waliuza gari 100 kila gari kwa pi 1. Hivi unajua mpaka now wanaamini itarudi ifike ile bei waliyokuwa wanatangaza? Wanaija kila saa wanapandisha video za youtube kujifanya wanatoa analysis wanapiga views tu.
lbl washafunga?Hahahahahah yani hapo mwendo wa kipigo tu huku Pi kule LBL. Watanzania njaa zimepanda mpaka kichwani.
Si walishatangazwa juzi ni matapelilbl washafunga?
apo wanasema msalimie bilonea mwenzako kuna zingine walikua wanafanya mkutano jinsi ya kuishi baada ya kupata utajiri, walikua wanambiana wasaidie serikali kujenga vituo vya afyaUjinga hautaisha hii yote ni uvivu wa kulima tu
itakuja ingine na wabongo wataingiaSi walishatangazwa juzi ni matapeli
Acha kabisa mkuu maumivu double double. Ukiona tunatembea tukizungumza peke yetu ujue tunapitia mengi. Leo nimepanda gari la bagamoyo niteremke bunju, nikazama deep nikitafakari ndoto zangu za kuishi royal village kushtuka konda anadai nauli nimekaribia bagamoyo.Hahahahahah yani hapo mwendo wa kipigo tu huku Pi kule LBL. Watanzania njaa zimepanda mpaka kichwani. Bado mzimu wa waliofanikiwa kupitia Bitcoin unawatafuna😁
Mkuu unadha raia wanaamini? LBL wameambia leaders wawambie followers kuwa viiongozi wa lbl toka nje wanakuja kuongea na bot na serikali ya tz na kukamilisha paper work. so huwezi kutoa ela mpaka jtano mpaka zoezi la kusafisha mfumo na paper work kuisha then mfumo utarudi hewani. Raia wa kaamini na kuitkia igwee. WAtu walishatumia picha za jengo la serikali dodoma wakaambiwa ofisi ya lbl inajengwa hiyo ilikuwa mwaka jana na wakaambiwa mama samia ndiye aliwaomba waje kuondoa umasikini tanzania, leo wataamin vipi lbl ni matapeli.Si walishatangazwa juzi ni matapeli
ahaa aina noma kaka tpo pamoja kuwapa pole vijana maaana hawaamini mpaka sasa kuna video moja nakutumia usikilize walivokua wanapanga maisha baada ya open mainnet yaani ni vituko
View: https://youtu.be/_w7OxRgWIiI?t=632
hio mbna ndogo cheki hii:Dah hii nchi ngumu sana, kwahiyo Hadi wanasali kuiombea crypto ambayo ni scam.
Haujawafikia tu kwenye magroup yao. Utashangaa haswaampaka mda huu hawaamini kilichotokea
Sisi pioneers tunasema kwamba tunahold itapaa mpaka ipite bitcoin. tunasema kwamba hii ni revolutionary and it is not like any other altcoin. Tunasema kwanza hakuna coin imewahi kuanza na thamani ya $2 hivyo hii ni ya kipekee.Haujawafikia tu kwenye magroup yao. Utashangaa haswaa