Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

ahaa aina noma kaka tpo pamoja kuwapa pole vijana maaana hawaamini mpaka sasa kuna video moja nakutumia usikilize walivokua wanapanga maisha baada ya open mainnet yaani ni vituko
View: https://youtu.be/_w7OxRgWIiI?t=632

Wewe tazama hawa investors kwanza ni mostly kutoka jamii masikini. Halafu knowledge na crypto wengi hawana. Yani hizi seminars na mikusanyiko yao ni kama za lbl na one coin kabisa. Bado matangazo yao. Siku 2 kabla ya uzinduzi kuna tangazo lilikuwa linazunguka kuwa byd waliuza gari 100 kila gari kwa pi 1. Hivi unajua mpaka now wanaamini itarudi ifike ile bei waliyokuwa wanatangaza? Wanaija kila saa wanapandisha video za youtube kujifanya wanatoa analysis wanapiga views tu.
 
mzee unapenda utajiri mwepesi piga kazi mbna kazi za kufanya zpo nyingi tu, hio nguvu na mategemeo ungeweka kwenye kazi ungekua mbali kijana, si unaona saahv palm village unapaangalia kwa heshima
Hahahahahah yani mtu anategemea akanunue apartment palm village kwa kufanya ads view mtandaoni🤣?
 
Hahahahahah yani hapo mwendo wa kipigo tu huku Pi kule LBL. Watanzania njaa zimepanda mpaka kichwani. Bado mzimu wa waliofanikiwa kupitia Bitcoin unawatafuna😁
 
Wewe tazama hawa investors kwanza ni mostly kutoka jamii masikini. Halafu knowledge na crypto wengi hawana. Yani hizi seminars na mikusanyiko yao ni kama za lbl na one coin kabisa. Bado matangazo yao. Siku 2 kabla ya uzinduzi kuna tangazo lilikuwa linazunguka kuwa byd waliuza gari 100 kila gari kwa pi 1. Hivi unajua mpaka now wanaamini itarudi ifike ile bei waliyokuwa wanatangaza? Wanaija kila saa wanapandisha video za youtube kujifanya wanatoa analysis wanapiga views tu.
kuna haja ya kurudisha zile fimbo za nyerere ukiingia bakora 50 ukitoka bakora 50, sema sasa ndo ivo city garden hawezi kataa si wamelipia sjui walitumia pi 🤣
 
Hahahahahah yani hapo mwendo wa kipigo tu huku Pi kule LBL. Watanzania njaa zimepanda mpaka kichwani. Bado mzimu wa waliofanikiwa kupitia Bitcoin unawatafuna😁
Acha kabisa mkuu maumivu double double. Ukiona tunatembea tukizungumza peke yetu ujue tunapitia mengi. Leo nimepanda gari la bagamoyo niteremke bunju, nikazama deep nikitafakari ndoto zangu za kuishi royal village kushtuka konda anadai nauli nimekaribia bagamoyo.
 
Si walishatangazwa juzi ni matapeli
Mkuu unadha raia wanaamini? LBL wameambia leaders wawambie followers kuwa viiongozi wa lbl toka nje wanakuja kuongea na bot na serikali ya tz na kukamilisha paper work. so huwezi kutoa ela mpaka jtano mpaka zoezi la kusafisha mfumo na paper work kuisha then mfumo utarudi hewani. Raia wa kaamini na kuitkia igwee. WAtu walishatumia picha za jengo la serikali dodoma wakaambiwa ofisi ya lbl inajengwa hiyo ilikuwa mwaka jana na wakaambiwa mama samia ndiye aliwaomba waje kuondoa umasikini tanzania, leo wataamin vipi lbl ni matapeli.
 
Haujawafikia tu kwenye magroup yao. Utashangaa haswaa
Sisi pioneers tunasema kwamba tunahold itapaa mpaka ipite bitcoin. tunasema kwamba hii ni revolutionary and it is not like any other altcoin. Tunasema kwanza hakuna coin imewahi kuanza na thamani ya $2 hivyo hii ni ya kipekee.
Ngoja kidogo mtaanza kuniita boss
 
Back
Top Bottom