Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Mkuu labda tufungue mjadala rasmi threat za ukusanyaji taarifa ni zipi, na kwanza ni taarifa gani hatari kukusanywa?
kutoa taarifa zako online its the worst u can do, leo hii tiktok imefungwa marekan kisa kuchukua data, same same google, whatsapp zmefungwa china same same kisa kuchukua taarifa, na hizi kampuni znapigwa faini kubwa always wakijulikana wanachukua taarifa za watu: Russia fines Google more than entire world's GDP
1740644807725.png

ila ni vile tuna mangombe amna haya ya kuyaeleza
 
View attachment 3251618

ila ni vile tuna mangombe amna haya ya kuyaeleza
Sawa mkuu, hoja ni kwamba kuna threat ipi, na data ipi ni hatari kuitoa? Tukifahamu hivi sasa ndo tutashuka kuangalia tiktok, google, exchanges na kadhalika tunajihami vipi
 
Serikali iandae mkakati wa kua na kitengo ya mambo ya kidigitali ili kuepuka na mambo kama haya,
hawa ata ukiwa vitengo hawasaidiki, ni wabishi na wafia imani, ungewaona sasa mda wa kutoka sura zilikua kama zmevalishwa jezi za arsenal, wamevimba balaa.

ivi wewe fikiria mwanzilishi wa crypto bitcoin ana coins 21M kwenye mzunguko na nyingi zmepotea wengine washasahau keys price 84k. genge la viazi la PI ambayo lina matangazo ya kuingiza pesa kwa waanzilishi lina coins 100B wanataka price ya billion 1 per coin kama sio uchawi ni nn,

kuna coin inaitwa SEX, ina coin moja tu kwenye mzunguko ndo atleast price yake imechngamka
1740645305652.png

sasa hawa wana coins 100B , serikali inatakiwa iweke kitengo cha fimbo
 
Sawa mkuu, hoja ni kwamba kuna threat ipi, na data ipi ni hatari kuitoa? Tukifahamu hivi sasa ndo tutashuka kuangalia tiktok, google, exchanges na kadhalika tunajihami vipi
threats hua haziji direct after data zmechukuliwa ila with time ndo tunaona effect, kwa mfano ipo ripoti moja ya jeshi la polisi china inahusisha mauaji na data za PI, hiii ni moja tu ya what can happen the worse ila pia online hatutoagi taarifa zetu kila serikali duniani inapambana sana na hili tatizo, ni ngombe wachache hua wanatungusha ila pia hakuna cha bure duniani, how far it can go time will decide

1740645589564.png

1740645687784.png
 
Nina Pi nyingine 500 ambazo naweza kuziuza muda wowote na nina nyingine 1400 ambazo nasubiri ziwe migrated niweze kuzitumia.

Kuhusu kuwa dollar ngapi inategemea mtu info zake alikuwa anazipata wapi ila mimi nilijua ikifunguliwa haitazidi USD 3 na ikiendelea kufanya vizuri mbeleni inaweza kufikia kule ambaPo watu wali predict.

Ila mimi sioni watu wanaumiaje na wakatu ni kitu mtu una mine free. Hapakuwa na cost yoyote gharama pekee ni muda ambao ni mara moja kwa masaa 24 unabofya tu neno mine. Hata haili mb 1.
Sasa pi 300 tu nina dollar 500+ ambayo ni million na laki kadhaa nina hasara gani?
Hizo dollar umefanikiwa kuzitoa?
 
hawa ata ukiwa vitengo hawasaidiki, ni wabishi na wafia imani, ungewaona sasa mda wa kutoka sura zilikua kama zmevalishwa jezi za arsenal, wamevimba balaa.

ivi wewe fikiria mwanzilishi wa crypto bitcoin ana coins 21M kwenye mzunguko na nyingi zmepotea wengine washasahau keys price 84k. genge la viazi la PI ambayo lina matangazo ya kuingiza pesa kwa waanzilishi lina coins 100B wanataka price ya billion 1 per coin kama sio uchawi ni nn,

kuna coin inaitwa SEX, ina coin moja tu kwenye mzunguko ndo atleast price yake imechngamka
View attachment 3251625

sasa hawa wana coins 100B , serikali inatakiwa iweke kitengo cha fimbo
Mkuu kitengo ni muhimu kwa ajili ya public. Nft ikekuaje? Nakumbuka ITV kipindi cha wajasiliamali kama sio kile cha mchana mahojiano kinachokua live alikujaga anty mmoja pale wakajadili cypto na nft muda ule nft ndo imeanza mi kwa akili za kawsida tu nikasema hapa kwenye nft hakuna kitu mapema sana.

Kitengo ni muhimu sana ila tu kiganye kazi kweli, kungekua na kitengo naamini hata hizi kina lbl , kaylinda na ndugu zao zisingepita na wananchi wengi
 
issue sio kitengo, imagine tuko tunawaelewesha simple ecnomics apa kabla ata pi haijazinduliwa ni wabishi kinoma labda fimbo sasa zihusike
 
Nothing is free in this world. There is always a price to pay covertly or overtly.
Mfano misaada kupitia USAID sasa Trump na Elon Musk wana wasanua what was going on behind the curtain.
Browsing Jamiiforums is not free either.
Nothing is the one thing in life that is truly free.

Pi is not entirely free, there is some sort of cost involved, whether it be time, data and effort. Yes, No capital was invested, just tapping a button once in a while.
 
Jamii forum ni blogging service haina financial return, PI CLAIMS to be financial service, your expecting a billion dollar return from your precious finger 🤣 🤣 🤣
 
Wewe kwenye crypto una project gani? kama sio kubonyeza Buy and sell na ujikuta mjuaji mjinga..
nlipofikia hutaweza kufikia kama akili yako ndio ya kusubiria free coins, utaendelea kuniona sana uku online its enough
 
Browsing Jamiiforums is not free either.
Nothing is the one thing in life that is truly free.

Pi is not entirely free, there is some sort of cost involved, whether it be time, data and effort. Yes, No capital was invested, just tapping a button once in a while.

nlipofikia hutaweza kufikia kama akili yako ndio ya kusubiria free coins, utaendelea kuniona sana uku online its enough
Nikuonee ili iwejee akati ni mjinga tu. Acha kujipaisha ujingaa
 
Back
Top Bottom