View attachment 3252570
March 2021, Dr.Nikolas anatangaza main net itakua June 2022 but nyuma ya pazia mmbo sio mambo, bitget haikuepo mda huo, dKt Nikolas anawatafuta okx baada ya watu kusubiria open net mda mrefu, okx wanagoma baada ya kujua mchongo mzima wa PI, unaweza kujiuliza hizi taarifa naziitoa wap utaelewa tu mda sio mrefu:
mwaka 2021 kila mtu anataka kuanzisha biitcoin yake, as always investors wanatoa ela kwa yoyote atakaeweza kuja na bitcoin mpya, Dr Nikolas bila kuchelewa nae anaingia mzigon ila yeye mpango wake sio kuanzisha coin bali platform endelevu ya kula ela kwa ads, so atafanyaje ili watu waendelee kufungua app kila sku? FAKE COINS ndo jibu sasa badala ya wazo lake la awali kutengeneza coin halisi ya kuja kua bitcoin anachukua njia tafaut kulazimisha watu wafungue app kila sku ela iingie, mpango ukachorwa na watu wakajaa watu wakawa wanajiuliza kwann mainet inapigwa kalenda kila siku mpango ndo huo.. mm baada ya kupata mchongo mzima namtafuta kijana wangu ambae ndo kiongozi wa GCV tanzania saaahv mzenji uyo dogo, nampa mchongo mzima namwambia kabisa anaekuja kuset price ni okx, tukawekeana dau mil 8, japo anakuja kuruka baadae nmemwachia tu dogo! miaka imeenda kwel pap tarehe 20 hii apa okx huyu apa anajua mchongo mzima chini yake, baadhi ya exchanges kubwa duniani znaikataa wana pi wakidhan ni exchanges ndo zna shida na PI kumbe wanajua mchongo mzima
Fast forward mwaka jana watu 16 wanauliwa china, ripoti ya polisi china inaelekeza tukio hilo na PI network, unaweza kujiuliza hizi taarifa natoa wap, znatoka DEEP WEB, kuielewa zaidi ingia google jifunze zaidi kuhusu Deep web ni likitu likubwa kuelezea ila as a pioneer you should be ashamed ila sasa ndo ivo watu mpaka shetani aseme mwenyewe PI ni scam ndo wataelewa, wanamwona jamaa wa Bybit kama kachanganyikiwa ila mchongo mzima toka 2021 unajulikana na sjui mwisho wake utakuaje ila PI sio sehem ya kusogelea, watu watalia sana japo wanajua kabisa akuna cha bure duniani
View attachment 3252585
huyu ndo kiongozi wa gcv mwaka 2023 namwonya kuhusu PI wala hakuskia, ata leo 2025 its the same kwahio ata tuwaonye vp hamtataka kuelewa kwahio let the game go on