Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Then again wameshapigwa maana ni wajinga , Acha clear IT wawachakaze vyema
Mlivokazania ishu za Pi mtafikiri mnalipwa! Nadhani mkikaa kimya itakua ni busara zaidi!
Maana hata mkipiga kelele hakuna mnachofaidika
 
Hii topic iwe Closed naona watu wameshupaza shingo utafikiri wanalipwa!

Sisi wana Pi tusichangie chochote tena.
CLOSED CLOSED CLOSED CLOSED CLOSED!!
 
Waliojiunga pi na kukuhesabia ubilionea serikali iwachukue wakapimwe akili , maana taifa linaweza kua na vichaa wengi bila kujijua
 
Sawa mkuu, hoja ni kwamba kuna threat ipi, na data ipi ni hatari kuitoa? Tukifahamu hivi sasa ndo tutashuka kuangalia tiktok, google, exchanges na kadhalika tunajihami vipi
Mzee wa kustake high stakehigh swali langu lipo pending mkuu
 
Jamii forum ni blogging service haina financial return, PI CLAIMS to be financial service, your expecting a billion dollar return from your precious finger 🤣 🤣 🤣
Mkuu nimepitia comment zako nyingi na kati ya hizo umetumia maneno ya kashfa, dhiaka na kuona jamii ya pi network ni watu wenye uelewa wa chini/hawana uelewa kabisa kuhusiana na crypto. Pengine uko sahihi au unaweza ukawa wewe ndiye amepotoka zaidi. Ni kweli pi network wanahitaji pioneer kufanya kyc na makampuni yanatakiwa kufanya kyb lakini kwa mjibu wa CT wanasema hii ni kwa sababu wanataka kuhakikisha all pioneers are real human na sio robots na pia wanataka kuhakikisha hakuna mtu atakeafungua account zaidi ya moja. Kitu kingine ni kwamba ukisoma "ACKNOWLEDGEMENT TO RECEIVE PI TOKENS" kipengele (a) "recipient has no expectations of profit from acquiring the tokens " wewe unatwambia pioneers wana expectations za mabilioni ya dollars. Unaandika mambo mengi sana kwa mihemko sijui shida iko wapi ila bado haupaswi kupuuzwa pia una kitu jamii ya pioneers wanatakiwa kujifunza kwako jaribu tu kuswitch approach yako ya kuelimisha
 
Attachments

  • Screenshot_20240326-215531~2.png
    Screenshot_20240326-215531~2.png
    215.2 KB · Views: 3
There's no comparison btn bank and your shit pi, i've already explained much about Pi, pi is closed source so you don't actually understand what is behind their code, if you care about personal infos you should atleast concern about your privacy.
Ha ha, Opinions are like arseholes, everyone has one.

Do you have Facebook, instagram and X on your phone?

I have very few cares to give mkuu. I don’t care what they do with my data. What are they going to do with my info anyway? Nobody cares about me.
 
Mkuu nimepitia comment zako nyingi na kati ya hizo umetumia maneno ya kashfa, dhiaka na kuona jamii ya pi network ni watu wenye uelewa wa chini/hawana uelewa kabisa kuhusiana na crypto. Pengine uko sahihi au unaweza ukawa wewe ndiye amepotoka zaidi. Ni kweli pi network wanahitaji pioneer kufanya kyc na makampuni yanatakiwa kufanya kyb lakini kwa mjibu wa CT wanasema hii ni kwa sababu wanataka kuhakikisha all pioneers are real human na sio robots na pia wanataka kuhakikisha hakuna mtu atakeafungua account zaidi ya moja. Kitu kingine ni kwamba ukisoma "ACKNOWLEDGEMENT TO RECEIVE PI TOKENS" kipengele (a) "recipient has no expectations of profit from acquiring the tokens " wewe unatwambia pioneers wana expectations za mabilioni ya dollars. Unaandika mambo mengi sana kwa mihemko sijui shida iko wapi ila bado haupaswi kupuuzwa pia una kitu jamii ya pioneers wanatakiwa kujifunza kwako jaribu tu kuswitch approach yako ya kuelimisha
1740683809041.png

March 2021, Dr.Nikolas anatangaza main net itakua June 2022 but nyuma ya pazia mmbo sio mambo, bitget haikuepo mda huo, dKt Nikolas anawatafuta okx baada ya watu kusubiria open net mda mrefu, okx wanagoma baada ya kujua mchongo mzima wa PI, unaweza kujiuliza hizi taarifa naziitoa wap utaelewa tu mda sio mrefu:

mwaka 2021 kila mtu anataka kuanzisha biitcoin yake, as always investors wanatoa ela kwa yoyote atakaeweza kuja na bitcoin mpya, Dr Nikolas bila kuchelewa nae anaingia mzigon ila yeye mpango wake sio kuanzisha coin bali platform endelevu ya kula ela kwa ads, so atafanyaje ili watu waendelee kufungua app kila sku? FAKE COINS ndo jibu sasa badala ya wazo lake la awali kutengeneza coin halisi ya kuja kua bitcoin anachukua njia tafaut kulazimisha watu wafungue app kila sku ela iingie, mpango ukachorwa na watu wakajaa watu wakawa wanajiuliza kwann mainet inapigwa kalenda kila siku mpango ndo huo.. mm baada ya kupata mchongo mzima namtafuta kijana wangu ambae ndo kiongozi wa GCV tanzania saaahv mzenji uyo dogo, nampa mchongo mzima namwambia kabisa anaekuja kuset price ni okx, tukawekeana dau mil 8, japo anakuja kuruka baadae nmemwachia tu dogo! miaka imeenda kwel pap tarehe 20 hii apa okx huyu apa anajua mchongo mzima chini yake, baadhi ya exchanges kubwa duniani znaikataa wana pi wakidhan ni exchanges ndo zna shida na PI kumbe wanajua mchongo mzima

Fast forward mwaka jana watu 16 wanauliwa china, ripoti ya polisi china inaelekeza tukio hilo na PI network, unaweza kujiuliza hizi taarifa natoa wap, znatoka DEEP WEB, kuielewa zaidi ingia google jifunze zaidi kuhusu Deep web ni likitu likubwa kuelezea ila as a pioneer you should be ashamed ila sasa ndo ivo watu mpaka shetani aseme mwenyewe PI ni scam ndo wataelewa, wanamwona jamaa wa Bybit kama kachanganyikiwa ila mchongo mzima toka 2021 unajulikana na sjui mwisho wake utakuaje ila PI sio sehem ya kusogelea, watu watalia sana japo wanajua kabisa akuna cha bure duniani

1740686291368.png

huyu ndo kiongozi wa gcv mwaka 2023 namwonya kuhusu PI wala hakuskia, ata leo 2025 its the same kwahio ata tuwaonye vp hamtataka kuelewa kwahio let the game go on
 
Mimi nime'hodl hizo hapo 137pi, potela pwete ngoja nisikilizie mpaka 2030 nikiwa hai lkni
Screenshot_20250227-151441.jpg
 
Mzee wa kustake high stakehigh swali langu lipo pending mkuu
taarifa zako binafsi znatumika kufanya cyber crime, chukulia huu mfano:
labda nataka kufanya uhalifu sehem kama DSE(Dar es salaam stock exchange) pale wanachohitaji ni jina lako, namba ya simu na NAMBA YA NIDA, sasa basi kwa kua ulijaza NIDA YAKO pale PI ushaharibu kila kitu, ili kuhakikisha akaunti ni yako pale DSE ukishaweka namba ya nida utaletewa yale maswali random ya kujaza mfano jina la baba yako ni nani ama unapokaa. kwakua ushazigawa basi umeisha, ngoja nkuonyeshe kwa uhalisia

1740686914763.png

izi ni personal info zako but ndo znatumika kukufunga kwenye kesi yoyote: kma ushawahi tumia huduma kama AJira poral ama tamisemi ndo mfmo unaotumika na mabenki pia ndo wanatumia:
Kwenye matukio ya online hakunaga kuita mashahidi ni moja kwa moja ndan kwa sababu hakunaga shahidi ila as long taarifa zako ndo zmetumika kufanya uhalfu basi huna namna ingine: makampuni kama google yanatozwa faini kila mwaka kwa kuiba taarifa za watu, ni uku bongo tu hawajui umuhimu wa data haswa wana PI
 
View attachment 3252570

March 2021, Dr.Nikolas anatangaza main net itakua June 2022 but nyuma ya pazia mmbo sio mambo, bitget haikuepo mda huo, dKt Nikolas anawatafuta okx baada ya watu kusubiria open net mda mrefu, okx wanagoma baada ya kujua mchongo mzima wa PI, unaweza kujiuliza hizi taarifa naziitoa wap utaelewa tu mda sio mrefu:

mwaka 2021 kila mtu anataka kuanzisha biitcoin yake, as always investors wanatoa ela kwa yoyote atakaeweza kuja na bitcoin mpya, Dr Nikolas bila kuchelewa nae anaingia mzigon ila yeye mpango wake sio kuanzisha coin bali platform endelevu ya kula ela kwa ads, so atafanyaje ili watu waendelee kufungua app kila sku? FAKE COINS ndo jibu sasa badala ya wazo lake la awali kutengeneza coin halisi ya kuja kua bitcoin anachukua njia tafaut kulazimisha watu wafungue app kila sku ela iingie, mpango ukachorwa na watu wakajaa watu wakawa wanajiuliza kwann mainet inapigwa kalenda kila siku mpango ndo huo.. mm baada ya kupata mchongo mzima namtafuta kijana wangu ambae ndo kiongozi wa GCV tanzania saaahv mzenji uyo dogo, nampa mchongo mzima namwambia kabisa anaekuja kuset price ni okx, tukawekeana dau mil 8, japo anakuja kuruka baadae nmemwachia tu dogo! miaka imeenda kwel pap tarehe 20 hii apa okx huyu apa anajua mchongo mzima chini yake, baadhi ya exchanges kubwa duniani znaikataa wana pi wakidhan ni exchanges ndo zna shida na PI kumbe wanajua mchongo mzima

Fast forward mwaka jana watu 16 wanauliwa china, ripoti ya polisi china inaelekeza tukio hilo na PI network, unaweza kujiuliza hizi taarifa natoa wap, znatoka DEEP WEB, kuielewa zaidi ingia google jifunze zaidi kuhusu Deep web ni likitu likubwa kuelezea ila as a pioneer you should be ashamed ila sasa ndo ivo watu mpaka shetani aseme mwenyewe PI ni scam ndo wataelewa, wanamwona jamaa wa Bybit kama kachanganyikiwa ila mchongo mzima toka 2021 unajulikana na sjui mwisho wake utakuaje ila PI sio sehem ya kusogelea, watu watalia sana japo wanajua kabisa akuna cha bure duniani

View attachment 3252585
huyu ndo kiongozi wa gcv mwaka 2023 namwonya kuhusu PI wala hakuskia, ata leo 2025 its the same kwahio ata tuwaonye vp hamtataka kuelewa kwahio let the game go on
Maisha ni kamari boss Wacha watu wajaribu bahati zao, ww upo geita mawazo ya msomi nikkolas unayajulia wapi.
 
Back
Top Bottom