Kwani Pi coin ina thamani yeyote mkuu,hadi sasa?yaaani ata PI ifike $100 mabilionea wa PI wapo pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Pi coin ina thamani yeyote mkuu,hadi sasa?yaaani ata PI ifike $100 mabilionea wa PI wapo pale pale
Upo sahihi ,unachoamini ni sawa 100%,hadi leo Pi network hawana coin ni scam hiitafauti yake na pi ndi ndogo sana, PI ela inatokana na wewe kutumia app, yaani they are making money out of you, unajua mfano ukienda pale youtube unakuta matangazo mengi basi yale matangazo ni pesa, taafuti ya pi na one coin ni one coin watu walitoa ela ila pi watu walitoa taarifa zao binafsi, uku wameuza taarifa kule pesa na ni mara mia waliotoa pesa maaana issue ya taarifa mpaka leo vita ya kuchukua taarifa za watu haiishi si unaona kila sku google analipishwa mabilioni kisa kuchukua taarifa za watu, sasa nyie mliuza taarifa
kuhusu kuuwawa nliona hio documentary walisema kuna GANG alikua anahusika nayo wakaja kumuua japo hawana uahakika ila ndo utafanyaje sasa umezulumu watu
mm mpaka leo siamini kama PI wana coin ni scam project, mfano ukienda pale coin market cap mpaka leo hatuelewi supply ni ngap yaani taarifa zote znatokana na matamshi:
View attachment 3245182
Inakuaje na bei tena wakati hii ni scamm?View attachment 3245189
bei ni 0.8$ ile price ya kwanza huezi pata kwa sababu orders kubwa ndo zliamua price ya kwanza
Huyo hajielewi ndo maana nikasema unaweza ukawa unabishana na mtu kumbe ni kijana wa form 4 yupo anakula ugali wa shemeji yake anaangalia cartoon na kufungua fridge kunywa juice huku miguu kaweka juu!Daah aisee,so unafananiaha trust wallet na pi???like serious...basi mkuu
Yaishe,umeshinda,pi ni scam
Inakuaje na bei tena wakati hii ni scamm?
aah bilionea usinifanyie ivo, kwahio binance nao watakua form 4 ama useme bybit wako form 2 🤣 🤣 🤣Huyo hajielewi ndo maana nikasema unaweza ukawa unabishana na mtu kumbe ni kijana wa form 4 yupo anakula ugali wa shemeji yake anaangalia cartoon na kufungua fridge kunywa juice huku miguu kaweka juu!
nikuachana nao hao
ndo ivo bilionea na pai ko tim wana mabilioni yenu mnatakiwa muendelee tu kuclick button alafu pai ko tim watawawekea price ya laki tatu and mnakua mabilionea wakubwaUpo sahihi ,unachoamini ni sawa 100%,hadi leo Pi network hawana coin ni scam hii
PI moja ni laki 3 boss kwahio kama wewe si umesema una PI 50,000 basi utakua unakaribian na elon musk, labda kesho ukiclick tena utampitaKwani Pi coin ina thamani yeyote mkuu,hadi sasa?
Upo sahihi ,unachoamini ni sawa 100%,hadi leo Pi network hawana coin ni scam hii
mtukufu bilionea, mpaka sasa PI imekataliwa na exchange zote kubwa, zingine wanasema PI ni scam bilionea, yaani hawa ni kikwazo kwenye kuchukua mabilioni yenu, alafu nmeskia KO TIM wamenunua yatch juzi juzi sjui ndo wanajiandaa kuwapa na nyie ya kwenuHivi hadi sasa Kuna exchange yeyote imeilist Pi coins,ambayo ni scamm mkuu?
ukishapata tu mabilioni yako nunua mwendo kasi zako 6 alafu tulia kila sku unalaza mil 70Huyo hajielewi ndo maana nikasema unaweza ukawa unabishana na mtu kumbe ni kijana wa form 4 yupo anakula ugali wa shemeji yake anaangalia cartoon na kufungua fridge kunywa juice huku miguu kaweka juu!
nikuachana nao hao
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
bilionea spleen vp mbna kinyonge sana? ulidhan market cap ndo ukubwa wa coin si ushukuru ata unapewa elimu apa ingekua mbele ya umati mbna ungedhalilika, umepoa sana bilioneaKweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
bilionea wa uwekezaji wa kuclick 🤣 🤣 🤣Kweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
Kwani Pi coin ina thamani yeyote mkuu,hadi sasa?
Inakuaje na bei tena wakati hii ni scamm?
bilionea umepoa sanaUnaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
nipo ndugu yangu!bilionea umepoa sana
mbna nchi tunateseka na ela na nyie mpo mabilionea fanyeni jambonipo ndugu yangu!
mnausaka utajiri kona zoe au sio hadi kuuza taarifa freshnipo ndugu yangu!