Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

tafauti yake na pi ndi ndogo sana, PI ela inatokana na wewe kutumia app, yaani they are making money out of you, unajua mfano ukienda pale youtube unakuta matangazo mengi basi yale matangazo ni pesa, taafuti ya pi na one coin ni one coin watu walitoa ela ila pi watu walitoa taarifa zao binafsi, uku wameuza taarifa kule pesa na ni mara mia waliotoa pesa maaana issue ya taarifa mpaka leo vita ya kuchukua taarifa za watu haiishi si unaona kila sku google analipishwa mabilioni kisa kuchukua taarifa za watu, sasa nyie mliuza taarifa

kuhusu kuuwawa nliona hio documentary walisema kuna GANG alikua anahusika nayo wakaja kumuua japo hawana uahakika ila ndo utafanyaje sasa umezulumu watu
mm mpaka leo siamini kama PI wana coin ni scam project, mfano ukienda pale coin market cap mpaka leo hatuelewi supply ni ngap yaani taarifa zote znatokana na matamshi:

View attachment 3245182
Upo sahihi ,unachoamini ni sawa 100%,hadi leo Pi network hawana coin ni scam hii
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
Daah aisee,so unafananiaha trust wallet na pi???like serious...basi mkuu
Yaishe,umeshinda,pi ni scam
Huyo hajielewi ndo maana nikasema unaweza ukawa unabishana na mtu kumbe ni kijana wa form 4 yupo anakula ugali wa shemeji yake anaangalia cartoon na kufungua fridge kunywa juice huku miguu kaweka juu!

nikuachana nao hao
 
aah bilionea usinifanyie ivo, kwahio binance nao watakua form 4 ama useme bybit wako form 2 🤣 🤣 🤣
 
Upo sahihi ,unachoamini ni sawa 100%,hadi leo Pi network hawana coin ni scam hii
ndo ivo bilionea na pai ko tim wana mabilioni yenu mnatakiwa muendelee tu kuclick button alafu pai ko tim watawawekea price ya laki tatu and mnakua mabilionea wakubwa
 
Hivi hadi sasa Kuna exchange yeyote imeilist Pi coins,ambayo ni scamm mkuu?
mtukufu bilionea, mpaka sasa PI imekataliwa na exchange zote kubwa, zingine wanasema PI ni scam bilionea, yaani hawa ni kikwazo kwenye kuchukua mabilioni yenu, alafu nmeskia KO TIM wamenunua yatch juzi juzi sjui ndo wanajiandaa kuwapa na nyie ya kwenu
 
Huyo hajielewi ndo maana nikasema unaweza ukawa unabishana na mtu kumbe ni kijana wa form 4 yupo anakula ugali wa shemeji yake anaangalia cartoon na kufungua fridge kunywa juice huku miguu kaweka juu!

nikuachana nao hao
ukishapata tu mabilioni yako nunua mwendo kasi zako 6 alafu tulia kila sku unalaza mil 70
 
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
1741285420809.png

amna mtu amepata hio hela na haiwezekan, ata leo ukisema unaaka kuuza PI zako haiwezekan kwa sababu PAI KO TIM 🤣 , wanawapenda na hawataki mzipeleke kwenye exchange ila wao wamekubali exchanges 🤣🤣🤣🤣🤣

mabilioni yenu mengine aya hapa yanakuja yaani kuanzia tajiri wa 1 mpaka wa 100 wote wana PI
 
Kweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
bilionea spleen vp mbna kinyonge sana? ulidhan market cap ndo ukubwa wa coin si ushukuru ata unapewa elimu apa ingekua mbele ya umati mbna ungedhalilika, umepoa sana bilionea
 
Unaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
bilionea umepoa sana
 
Back
Top Bottom