Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

[emoji38][emoji38][emoji38]Mimi huyoo kabisaa yaaani live sitii neno ntakaa kimyaaaa,ukiwa mbaali Sasa![emoji119][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji125][emoji125][emoji3526][emoji3526]
Huwa nachimba biti, utarudi tu kmmmk ntakuonesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ af simuoneshi kitu akija hasira zinakuwa zishaisha.
 
We ulihisi mama mshamba wakati anakuchana ikiwa yeye wanawake wenzie anawajua tabia? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Mwanamke mwenye matamaa na kupenda luxury sio wa kuoa.
 
Kafara au nn mzee?
Mtoto anaonekana alikuwa "windo" la wakware
Ulikuta wa kwanza umebambikiwa au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmmmhhh aiseeee hii ngumu kumeza...
Ujue mara nyingine sisi ni kama mapepo makubwa makubwa.
 
GBV ni issue kwelikweli. Wenzetu majuu huko ikijulikana ushawahi abuse mtu ni scandal kubwa. Wanawake wanaofanyiwa hivi vitu wapaze sauti kabla haijafikia majanga namna hii. Huyu kolo anaonekana ni abuser wa muda mrefu sema marehemu hakuchukua hatua
Unaoa mwanamke mweupe wakati unajijua una wivu. GBV haiwezi kukuacha salama.
 
Mke mwema hatokei Dar kaka mkubwa, hapa kuna wafanyabiashara wengi ambao hawana quality ya wake. Kingine mtu unajijua una wivu halafu unaoa janamke ambalo kila mtu hawezi kuacha kulitongoza hio akili sijawahi kuielewa kabisa.
 
Mkono wangu mwepesi knm aisee. Hafu nina hasira za fasta. Nishawahi mkaba demu flani. Aisee, hadi leo najioneaga aibu. Siku hizi nikigombana nakimbia naacha ghetto narudi baadae nimepoa kdg. Naogopa kweli.
Unamkaba kwani alikuibia??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ulihisi mama mshamba wakati anakuchana wakati yeye wanawake wenzie anawajua tabia? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa imebaki majuto ni mjukuu, kuna siku ningeishia sero, ilinaki kidogo nimtoboe toboe na mkasi uliokuwa mezani. Mzee wangu mmoja anagonga mlango hodi, kungia namuona kaongozana na balozi. Kesi inaibuka, anamdai mke wangu zaidi ya 2M. Alipokuwa anafanya biashara alikuwa anaenda kuchukua malighafi kwenye duka la jumla la huyu mzee. Mzee mwenyewe alikuwa ananiamini sana na ndiye aliyenipokea ofisini na kunisaidia pia kwenye biashara, mashamba na ushauri mwingine kibao.

Huyu mzee alikuwa ananiamini sana, so wife anachukua malighafi kwa mali kauli, huku nyuma ananipanga namtumia hela ya kumuongezea mtaji, kumbe madeni lukuki. Namuomba mzee wangu arudishe moyo nyuma, nampa nusu ya pesa na kumuahidi nyingine mwisho wa mwezi. Siku si nyingi nawaona VICOBA wamefika, wanadai 4.9M, nauliza alikopa za nini na mimi akunishirikisha, anasema huoni vitu nivyofanya! nauliza umefanyia nini? Nawaambia VICOBA siutambui huo mkopo na sikushirikishwa.

Hayo yote yamebaki historia, adabu imerudi, hagusi hata shilingi yangu moja, amekuwa mama house 100% na mahitaji yote anapata. Nabaki kuwaza, siku nikizima, watoto watapoteza mwelekeo jumla, kwani huyu ni mwanamke asiyejitambua. Nabaki kuomba japo niwepo hata kwa miaka kadhaa ijayo niwasogeze watoto kielimu.
 
Huyo alifata hela sio mapenzi, trend ni ndefu ya wanawake waliofuata hela kwa wanaume zao.
 
Dah mkuu pole sana una kibarua kizito, mie kwangu kigezo namba moja kilikuwa akili ila pili kujitoa. I never had money when i began dating her ila she always took care of herself. Hii ilinipa highest degree of confidence kuwa nimepata ambacho nilikuwa nakitaka. Sikuwa napenda type za wale wa "mwanaume lazma anihudumie" sababu wengi ni wanafiki huwa wanakuwa na mtu sababu ya kitu na wengi wabinafsi sana.

Nikiwa sina kama ninacho na nikiwa ninacho kama ninacho tu. Same degree of respect no compromises. She is hardworking with less demands and well focused. Kama itatokea sintofahamu mbeleni basi itakuwa bahati mbaya au kuna mkono wa mtu ila atleast i did my part ku filter character nzuri nazozitaka kwa mke. I believe she will make a good mother hata siku nikiwa sipo.

Nakuonea huruma wewe tu sema approach uliotumia ni nzuri kwa sasa ili aweze kutulia. Kata mirija yote abakie analea by 100%!
 
Brother pole sana huyo mwanamke ana tofauti kubwa ya perspective na wewe. Yeye anaaamini unatakiwa kumuhudumia zaidi ya baba yake na hayo ndo majukumu yako. Wanawake wa hivyo wanasumbua sana chief pole sana kaka. Ila hongera mkuu kwa kupita hicho kipindi.
 
Mmmmhhh aiseeee hii ngumu kumeza...
Ujue mara nyingine sisi ni kama mapepo makubwa makubwa.
Kiufupi, ilinitoa kwenye reli ya kimaisha kwa miaka kadhaa. Kuna fursa nilizipata, nikazitumia vibaya kwa kumuamini mtu ninayeishi naye. Wapo wake za washikaji zangu wanajitambua sana. Mpaka nawaza, huyu angekuwa mke wangu ningekuwa mbali mara kumi ya hapa nilipo.
Thanks mkuu, kweli heshima imerudi. Jamaa yangu mmoja alinifata akaniambia amejifunza mengi sana kwenye maisha yangu, anasema yeye asineweza hata kidoo kuvumilia. Sasa naamka asubuhi nakuta chai mezani, narudi napokelewa vyema na furaha ndani inarejea, Nakumbuka ni muda mfupi tu huko nyuma nyumba ilikuwa ni kizungumkuti.

Ila bado namlia timing asije badilika tena, hawatabariki sana hawa viumbe. Nikiona mtu kamuua mkewe, nakumbuka kuwa inachukua sekunde tu kutimiza hiyo dhamira. Naukumbuka ule mkasi ningeushika na kumtoboa, ningekuwa jela kwa sasa.
 
Mmmmhhh aiseeee hii ngumu kumeza...
Ujue mara nyingine sisi ni kama mapepo makubwa makubwa.
Kiufupi, ilinitoa kwenye reli ya kimaisha kwa miaka kadhaa. Kuna fursa nilizipata, nikazitumia vibaya kwa kumuamini mtu ninayeishi naye. Wapo wake za washikaji zangu wanajitambua sana. Mpaka nawaza, huyu angekuwa mke wangu ningekuwa mbali mara kumi ya hapa nilipo.
Ila mkuu, naweza kumlaumu wife kwa kiasi fulani, ila na mimi mwanzoni nilichangia yeye kubadilika tabia na attitude yake. Nilimuoa tayari nikiwa mkubwa kwenye taasisi fulani kubwa tu, alikuwa very humble na asiye na makuu. Na nilimpa ujauzito tukiwa kwenye mahusiano, akiwa mwaka wa kwanza chuo fulani. Hilo lilinifanya nijione nina deni kubwa sana kwake, na nikaamua kumtreat kwa namna ya kipekee. Nilimrudisha shule na hakuna alichokuwa anakosa. Hili lilimfanya abweteke sana na kuona maisha ni mteremko sana.
 
Okay kumbeee.......
Hii approach yako nahisi ndy inayotumika kwangu..
 
Ni kwamba uliamua kumdekeza sana bila kujua ndio unamuharibu? Thats already a mistake umempa confidence kuwa anaweza fanya ujinga wowote utalipia sababu hela unazo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Acha akae home tu aisee kazi si aliacha mwenyewe, sema jitahidi kuficha hela. Kila siku aone mambo yako sio mazuri ili uweze kum control vyema.
 
Okay kumbeee.......
Hii approach yako nahisi ndy inayotumika kwangu..
Hutajuta mkuu kwa hakika, mwanamke anaeweza kujitoa kwako Genuinely ana kila sababu ya kuwa mkeo na atafanya vyema kwenye hio nafasi kama ana akili za kujiongeza pia kuchanganua maisha. Hivi vitu lazima viende sawa.

Wanawake wanaotegemea kupewa pewa hela hawafai kabisa. Siku ukiwa huna anakusaliti fasta maana anaona humstahili au ukimpa kidogo haridhiki anaona anastahili zaidi inshort anakuwa hana shukurani na wengi wa hivi hawanaga akili za kuchanganua maisha. Anakuwa yupo kama parasite tu ha add value kwenye maisha yako.

Tuwaepuke sana.
 
Wanawake midomo yao ndo uwaponza
Kwa hiyo umesha-conclude mkuu? Physical violence si busara na wala haina sehemu kwenye jamii iliyostaarabika.

Serikali izidi kukaza sheria ziwe kali kukabiliana na mifumo kandamizi. Kama hamuelewan kabisa basi part ways.
 
We uoni ajali za kizembe nyingi.
Makahaba na michepuko pekee ndio wanawake wanaozingatia mafunzo ya ndoa na kuyatumia kupora wanaume za watu.
Mwanamke akishapata cheti cha ndoa na watoto kinachofuata ni bidii ya kuibomoa ndoa.
Ile mwanaume akiwa na michepuko na physical violence anajenga ndoa? Don't be biased.

Behaviour ya mtu ni very subjective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…