Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Utakua umekosea kukimbia wanao, chukua watoto wako lea yeye mwambie aende akuache upambanie maisha ya watoto wako.Yakinishinda nawaachia nyumba naenda zangu mbali huko huku nikiendelea kuitunza familia
Serikali itafanyaje? Labda waweke sheria kali ukimla mke wa mtu ukafumwa jela miaka 3O huenda ikasaidia.
Kwa sasa wake zetu wako vulnerable halafu wakiliwa aliyekula anaonekana kama mwamba kisheria sababu hamna vifungu vinavyolenga kumletea mume relief.
mzee hata ukisalitiwa hauna sababu ya kuua mtu wala kupiga.
Relationship si ownership wanaume wengi tunafeli hapa
Apumzike kwa amani sasa.Analelewa huyo si unajua Tabata hamnaga wanaume wa kazi kule wengi Marioo na wabana pua wanashinda Gym na kupaka powder
Tumeacha tamaduni na mila zetu tukakumbatia mapokeo wacha tunyooke.
Mbona kesi zilikuwa zina adhabu kabisa hizo
Tusihukumu sana kupitia tatoo coz kuna wanaume wanapenda hiyo michoro so huenda bwana ndio alimwambia mke achore.demu kachora tattoo unategemea nini
rule of thumb ni kwamba, mwanamke yeyote yule mwenye tattoo ni malaya , so ME ategemee usaliti
mwanaume anayejielewa kamwe hawezioa mwanamke mwenye tattoo, anagonga anasepa
Ipo maana kuna kuua bila kukusudia, ukiivua nguo inabakia ni kuua kwa bahati mbayaHakuna kuua bahati mbaya mkuu
Kwa hiyo huoni kuwa mauaji yatakua Mengi sana Kwa sababu teknolojia tunakoelekea itakua wazi zaidi na kubaini Wahalifu wa namna yoyote itakua ni rahisi zaidi? Hivi hujui kuwa hata matapeli wanatumia ushawishi kutapeli watu na watu wanaingia line wenyewe lakini ni kosa.Hiyo itakuwa sheria ya kipumbavu kuwahi kutungwa duniani.
Mke wako ni mtu mzima, akiamua kuliwa popote ni uamuzi wake binafsi. Inatakiwa itungwe sheria hata ukimpiga kibao kwa sababu ya kuliwa nje ufungwe miaka 7.
Inatikiwa pia itungwe sheria watu wote wanaofanya au kuhusika na vitendo vya fumanizi wafungwe miaka 7 kwa kuingilia faragha za watu wazima.
Hiyo sheria haitakaa itungwe.Kwa hiyo huoni kuwa mauaji yatakua Mengi sana Kwa sababu teknolojia tunakoelekea itakua wazi zaidi na kubaini Wahalifu wa namna yoyote itakua ni rahisi zaidi? Hivi hujui kuwa hata matapeli wanatumia ushawishi kutapeli watu na watu wanaingia line wenyewe lakini ni kosa.
Lakini pia ujue kuwa Huko tunakoelekea watu watajilengesha Kwa watu wenye Mali ili waolewe halafu anafunga ndoa Kisha anafanya njama na mchepuko wake wanamuua Mume mwenye mali na kuchukua Mali na mara nyingine unakuta hata watoto wanakua ni WA mchepuko hivyo mchepuko usio na mali unapata Mali kirahisi. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza akaona mwanaume au mwanamke aliyefunga naye ndo na anajinyima kutafuta Kwa ajili yake na watoto halafu anatokea mtu Mwingine anaingilia mapenzi yao na kusababisha Mwanamke hajali Tena Ndoa,anakua na kiburi dharau na kudharau. Na akisemeshwa kidogo TU anasema nipe Talaka yangu ili TU mugawane Mali akainjoy na mchepuko wake.
Nafikiri stahiki ya huyo mwanaume ni kumpiga risasi au mshale mchana kweupe mbele ya watu ili jamii Ione ubaya wa jambo Hilo linalowaumiza wasio na hatia.
Unamshona risasi mchana kweupe Wala sisubiri wasuhishi alimradi uwe umemuonya mara ya kwanza akakaidi.
Mana ukiwaacha watashirikiana watakuua wewe hasa kama una Mali.Mwanamke atatumiwa na mchepuko wake watakulisha sumu uR.I.P. wale Mali.
kanuni za asili hata wanyama madume anaumia yanapoona majike yao yanachukuliwa . Asiyeumia huyo ni kichaa kabisa anayevaa Chupi kichwani.
Yaani uanze kudate na mke wa Kagame halafu unaki salama eti nyie ni watu wazima. Masuala ya ngono yasipodhibitiwa binadamu watakua wabaya kuliko wanyama. Hebu fikiria miaka ya nyuma kabla ya SHERIA ya ubakaji . Watoto wadogo na Wanawake walivyokuwa wanabakwa na kunajisiwa. !!SHERIA ndiyo iliyopunguza vitendo hivyo.
Ni sawa na kuacha watu watumie madawa ya kulevya Kwa sababu TU hakuna mtu anayelazimishwa kutumia.Etu mtu mzima awe huru kutumia madawa ya kulevya
SawaMpeleke kanisani akatibiwe kiimani na kisaikolojia
Da noma [emoji38][emoji38]... Haya matukio yananitishaUna pepo la jela[emoji28][emoji28]joke
Pole.Ndio mkuu [emoji25]
Wewe utakuwa mwizi wa wake za watu.Hiyo itakuwa sheria ya kipumbavu kuwahi kutungwa duniani.
Mke wako ni mtu mzima, akiamua kuliwa popote ni uamuzi wake binafsi. Inatakiwa itungwe sheria hata ukimpiga kibao kwa sababu ya kuliwa nje ufungwe miaka 7.
Inatikiwa pia itungwe sheria watu wote wanaofanya au kuhusika na vitendo vya fumanizi wafungwe miaka 7 kwa kuingilia faragha za watu wazima.
Huyo jamaa ni fara, eti mtu mzima asiingiliwe faragha mbona wanaobaka wanafungwa sasa. Ile sio faragha? Sheria ni guiding and controlling instrument. Lazima iwe imposed ili ku define namna nzuri ya kuishi katika jamii. Kumla mke wa mwenzio sio jambo zuri na wala sio jambo la kupuuziwa sababu impact yake ni kubwa sana.Kwa hiyo huoni kuwa mauaji yatakua Mengi sana Kwa sababu teknolojia tunakoelekea itakua wazi zaidi na kubaini Wahalifu wa namna yoyote itakua ni rahisi zaidi? Hivi hujui kuwa hata matapeli wanatumia ushawishi kutapeli watu na watu wanaingia line wenyewe lakini ni kosa.
Lakini pia ujue kuwa Huko tunakoelekea watu watajilengesha Kwa watu wenye Mali ili waolewe halafu anafunga ndoa Kisha anafanya njama na mchepuko wake wanamuua Mume mwenye mali na kuchukua Mali na mara nyingine unakuta hata watoto wanakua ni WA mchepuko hivyo mchepuko usio na mali unapata Mali kirahisi. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza akaona mwanaume au mwanamke aliyefunga naye ndo na anajinyima kutafuta Kwa ajili yake na watoto halafu anatokea mtu Mwingine anaingilia mapenzi yao na kusababisha Mwanamke hajali Tena Ndoa,anakua na kiburi dharau na kudharau. Na akisemeshwa kidogo TU anasema nipe Talaka yangu ili TU mugawane Mali akainjoy na mchepuko wake.
Nafikiri stahiki ya huyo mwanaume ni kumpiga risasi au mshale mchana kweupe mbele ya watu ili jamii Ione ubaya wa jambo Hilo linalowaumiza wasio na hatia.
Unamshona risasi mchana kweupe Wala sisubiri wasuhishi alimradi uwe umemuonya mara ya kwanza akakaidi.
Mana ukiwaacha watashirikiana watakuua wewe hasa kama una Mali.Mwanamke atatumiwa na mchepuko wake watakulisha sumu uR.I.P. wale Mali.
kanuni za asili hata wanyama madume anaumia yanapoona majike yao yanachukuliwa . Asiyeumia huyo ni kichaa kabisa anayevaa Chupi kichwani.
Yaani uanze kudate na mke wa Kagame halafu unaki salama eti nyie ni watu wazima. Masuala ya ngono yasipodhibitiwa binadamu watakua wabaya kuliko wanyama. Hebu fikiria miaka ya nyuma kabla ya SHERIA ya ubakaji . Watoto wadogo na Wanawake walivyokuwa wanabakwa na kunajisiwa. !!SHERIA ndiyo iliyopunguza vitendo hivyo.
Ni sawa na kuacha watu watumie madawa ya kulevya Kwa sababu TU hakuna mtu anayelazimishwa kutumia.Etu mtu mzima awe huru kutumia madawa ya kulevya
Hiyo akili ya kutoa talaka ipo kwenye ndoa za kiislamu, ndiyo maana huwezi kusikia kesi kama hizi ukanda wa pwani mfano Zanzibar, Wao waislamu kutoa talaka ni jambo jepesi hakuna kusumbuana mkiona hakuna maelewano mwanaume anatoa talaka au mwanamke anadai talaka yake.So sad
Mdada mrembo mwenyewe sijui imekuaje!
Ila wanaume kama unaona network haikamati si unamwacha tu?why uue?