youngstunnertz
Member
- Sep 28, 2022
- 6
- 8
Ni red flag mmoja balaa sanaðŸ¤Ana tattoo 😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni red flag mmoja balaa sanaðŸ¤Ana tattoo 😔
Hakuna maumivu ya mapenzi,ni ujinga tu..mtu kaamua kutumia mwili wake kujifurahisha,wewe unaumia nini Kama si ugonjwa akili!!?Haya maumivu ya mapenzi ukiweza kuyashinda ww ni mwanaume kweli maana unaweza kuacha watoto wateseke kwa upumbavu na umalaya wa mtu mmoja.
Qouma yake,unamuulia nini,nani kakwambia yako ileMwanamke achepuke ndio nimuue si namwacha aende kwao hawa watu wanaoua wanawekewa dawa nini mbona haingii akilini kabisa kuua kwa sababu ya pwechele...au wanakua wamerogwa na watu wasiowatakia ndoa njema kwa akili ya kawaida hawa wadogo hawawezi kuwa na maamuzi mazito hivyo huku wakiwa na watoto..
Hii ya Masanja inaonyesha wazi ni uongo, uchunguzi ufanyike, huyo marehemu wanasema ni katibu wa Masanja inaonyesha wazi aliyefanya tukio alipindisha ushahidi ila kwasababu wengi akili za kufikiri zimeondoka ndo unaona watu wanashabikia uhayawani kama huo, kuhusu wewe ulifanya jambo ukiona huwezani na mtu acha aende zake, ila nasisitiza kizazi cha Sasa kimejiondoa kuoa wake wema kinaoa wapenzi wa mapenzi, kuoa nikutafuta mke mwema alikwisha jifunza sifa za mke mwema na tabia zake zinaonekana, na mume pia alifundishika Sasa mtu unaoa mpenzi wa kupenzika unamuita mke? Pia sikatai Kuna watu hawajielewi wanabalika kwa sababu zao binafsi ikitokea basi mwache aende njia zake kwani mbona kuacha ni jambo la heshima sana maana nikwawatu wanaoelewa thamani yao.NÃ Mimi nilikua na mawazo kama wewe, pengine kuzidi.
Ila yalinikuta.
Muulize @ masanja mjanja,anaedai kwa Yesu ana kiwanja.
Veta au wapi sasa?Serikali isitoe leseni za ndoa bila mafunzo.
Nayo itakuwa halali kama huyo mwanamkeMfano ukirudi ukakuta njemba kwenye hiyo nyumba haitakuuma?
Mafunzo ndio jando na unyagoMafunzo wanayaacha baada ya kupata vyeti
Sio sahihi mkuu.. in real sense tukivuta picha hata kwa masanja huwezi sema hajawahi kucheatHiyo ndio dawa ya mabinti waliokosa malezi ya baba..
Mimi mke wangu nilikua nampenda sana tena sana, mapenzi yasikieni tu, tukabahatika kupata watoto wawili. Wa kwanza nikaona mapicha picha, wa pili mimi mtupu. Nikasema nikajiridhishe DNA nilichokutana nacho na roho ilivyoniuma nilitamani kuua ila nikaishinda nafsi nikaapa sitampiga au kumgusa kwa chochote mpaka leo mwaka wa3, sijawahi mpigia simu wala kupokea simu yake nawasiliana na dada wa kazi kwa mahitaji ya mtoto la sivyo ningeozea jela bure bure kabisa. Nimemuachia Mungu atamfundisha dunia. Maumivu ya kuzalishiwa au kupigiwa mke yasikieni kwenye mitandao wandugu. Usipokua timamu mwili wa marehemu huu hapa
Au chezee uvulana wangu halafu nimuacheSo sad
Mdada mrembo mwenyewe sijui imekuaje!
Ila wanaume kama unaona network haikamati si unamwacha tu?why uue?
Sasa unayafananisha ya Mandela na ya malaya wachora tatoo wa Tabata? Mwanamke mjinga asikubali kuolewa ili aendelee kufanya ujinga wake kwa amani. Sio unaolewa af unaleta mambo ya kitoto unagawa mbunye hovyo wakati unajijua una familia inakutazama.Haya yatakuwa magonjwa ya akili, Mtu kama Mandela alikaa pembeni na ni mtu maarufu, Sasa hizi kuua nyingi kwa kisingizio cha usaliti ni ugonjwa wa akili tu.
Yawezekana kabisa mkuu, alafu wengine wamekuwa wezi kuliko hata hawa wanawake tunaokutana nao mitaani. Yaani mpaka unawaza kama kweli mlioana kwa nia ya kujenga familia au la. Yaani asione pesa mbele yake, unaweka mitego na unamnasa anakwambia nimechukua kidogo tu nilikuwa na shida nayo, na hapo umetoka kumpa hela na biashara umemfungulia.Kuna mdau hapo juu kasema, wanawake ni mitego ya shetani kutuingiza kwenye matatizo. Nimemuelewa sana!.
Mimi mwenyewe nipo bar maana kwa mineno yake ,ningefanya jambo baya.