Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Mwanamke achepuke ndio nimuue si namwacha aende kwao hawa watu wanaoua wanawekewa dawa nini mbona haingii akilini kabisa kuua kwa sababu ya pwechele...au wanakua wamerogwa na watu wasiowatakia ndoa njema kwa akili ya kawaida hawa wadogo hawawezi kuwa na maamuzi mazito hivyo huku wakiwa na watoto..
Qouma yake,unamuulia nini,nani kakwambia yako ile
 
Nà Mimi nilikua na mawazo kama wewe, pengine kuzidi.

Ila yalinikuta.

Muulize @ masanja mjanja,anaedai kwa Yesu ana kiwanja.
Hii ya Masanja inaonyesha wazi ni uongo, uchunguzi ufanyike, huyo marehemu wanasema ni katibu wa Masanja inaonyesha wazi aliyefanya tukio alipindisha ushahidi ila kwasababu wengi akili za kufikiri zimeondoka ndo unaona watu wanashabikia uhayawani kama huo, kuhusu wewe ulifanya jambo ukiona huwezani na mtu acha aende zake, ila nasisitiza kizazi cha Sasa kimejiondoa kuoa wake wema kinaoa wapenzi wa mapenzi, kuoa nikutafuta mke mwema alikwisha jifunza sifa za mke mwema na tabia zake zinaonekana, na mume pia alifundishika Sasa mtu unaoa mpenzi wa kupenzika unamuita mke? Pia sikatai Kuna watu hawajielewi wanabalika kwa sababu zao binafsi ikitokea basi mwache aende njia zake kwani mbona kuacha ni jambo la heshima sana maana nikwawatu wanaoelewa thamani yao.
 
1664832356837.png
 
Mimi mke wangu nilikua nampenda sana tena sana, mapenzi yasikieni tu, tukabahatika kupata watoto wawili. Wa kwanza nikaona mapicha picha, wa pili mimi mtupu. Nikasema nikajiridhishe DNA nilichokutana nacho na roho ilivyoniuma nilitamani kuua ila nikaishinda nafsi nikaapa sitampiga au kumgusa kwa chochote mpaka leo mwaka wa3, sijawahi mpigia simu wala kupokea simu yake nawasiliana na dada wa kazi kwa mahitaji ya mtoto la sivyo ningeozea jela bure bure kabisa. Nimemuachia Mungu atamfundisha dunia. Maumivu ya kuzalishiwa au kupigiwa mke yasikieni kwenye mitandao wandugu. Usipokua timamu mwili wa marehemu huu hapa
 
Mnapenda wanawake weupe sana,wabongo wanaangalia rangi,hapo lazima ulale na viatu,kesi nyingi ni wanawake weupe,jamaa aliyempiga risasi mkewe mwanza alikua mweupe,Mke wa Masanja ni mweupe,Ba mdogo wangu alijinyonga mke wake alikua mweupe,Tuoe wa kawaida Sio hawa Azam Burudani kwa wote
 
Mimi mke wangu nilikua nampenda sana tena sana, mapenzi yasikieni tu, tukabahatika kupata watoto wawili. Wa kwanza nikaona mapicha picha, wa pili mimi mtupu. Nikasema nikajiridhishe DNA nilichokutana nacho na roho ilivyoniuma nilitamani kuua ila nikaishinda nafsi nikaapa sitampiga au kumgusa kwa chochote mpaka leo mwaka wa3, sijawahi mpigia simu wala kupokea simu yake nawasiliana na dada wa kazi kwa mahitaji ya mtoto la sivyo ningeozea jela bure bure kabisa. Nimemuachia Mungu atamfundisha dunia. Maumivu ya kuzalishiwa au kupigiwa mke yasikieni kwenye mitandao wandugu. Usipokua timamu mwili wa marehemu huu hapa

DNA ikasoma mmoja wako na mwingine sii wako
 
Haya yatakuwa magonjwa ya akili, Mtu kama Mandela alikaa pembeni na ni mtu maarufu, Sasa hizi kuua nyingi kwa kisingizio cha usaliti ni ugonjwa wa akili tu.
Sasa unayafananisha ya Mandela na ya malaya wachora tatoo wa Tabata? Mwanamke mjinga asikubali kuolewa ili aendelee kufanya ujinga wake kwa amani. Sio unaolewa af unaleta mambo ya kitoto unagawa mbunye hovyo wakati unajijua una familia inakutazama.

Kingine kikubwa ndoa bila kujiweka karibu na neema za Mungu ndio balaa zito zaidi linalopelekea nyumba nyingi kuharibika.
 
Kuna mdau hapo juu kasema, wanawake ni mitego ya shetani kutuingiza kwenye matatizo. Nimemuelewa sana!.
Mimi mwenyewe nipo bar maana kwa mineno yake ,ningefanya jambo baya.
Yawezekana kabisa mkuu, alafu wengine wamekuwa wezi kuliko hata hawa wanawake tunaokutana nao mitaani. Yaani mpaka unawaza kama kweli mlioana kwa nia ya kujenga familia au la. Yaani asione pesa mbele yake, unaweka mitego na unamnasa anakwambia nimechukua kidogo tu nilikuwa na shida nayo, na hapo umetoka kumpa hela na biashara umemfungulia.

Nimewahi kushangaa diku moja askari wananifuata kitaa, naambiwa natakiwa kituoni, kufika nawekwa selo hadi kesho yake mchana. Nawauliza kosa ni nini na kwa nini niko hapa, naambiwa utajua kesho. Inafika keho yake mchana wife kafika, napelekwa dawati la jinsia, na shauri linasikilizwa. Naambiwa siuudumii familia, napigwa na butwaa, na mshangao kabisa, anadai anataka ATM kadi yangu,nakumbuka niliwahi kumwachia kadi hiyo nikiwa masomoni nje kwa takribani miaka miwili na nikakuta hakuna hata balance. Usafiri nimemnunulia, mafuta naweka mimi, watoto shule wanasoma nzuri kabisa. yeye mwenyewe nimempeleka shule na ajira nimemtafutia, ameacha ajira anataka bishara. Biashara imemshinda kutwa ni kubadilisha nguo na style za nywele. Natoka selo mchana wa saa nane, napokea simu toka kwa HR, ananambia brother nini tena kimetokea! Mkeo kaja hapa anataka mgawane mshahara 50/50, Naona huyu sasa ana mental kesi au karogwa.

Nikaamua kuondoka nianze maisha mapya, mzee wangu mmoja akanishauri nisiondoke. Akasema kata mirija yote ya pesa na adabu itarudi, kukimbia familia ni laana kwa mila zetu. Nikakata mirija, biashara imecolapse, gari mafuta na hata aservice hakuna. Familia natoa mahitaji yote ya muhimu, ngumu kumeza nikapunguza kabisa. Kwa sasa adabu inarudi na sitorudi nyuma.

Kuna baadhi ya wanawake ni pasua kichwa kwelikweli. unamwambia ondoka ukapumzike kwenu anagoma. Mama mkwe anatetea binti yake balaa. Nayakumbuka maneno ya mama, miaka takribani 17 nyuma, akinikanya kuwa huyu unayemuoa atakusumbua. Nabaki kukumbuka na kusikitika sana.
 
Back
Top Bottom