Kama wamefukuzwa, basi wako huru kufanya watakavyo.Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
Sio Mbaya..Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
View attachment 1504642
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani
Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
Ujinga uleule wa siku zote wapinzani kugawana kura. kwa mtindo huu kwanini CCM wasitawale milele
Sio Mbaya..
Atapata kura za kisirani.
Atamuongezea Wabunge.
I'll vote for him.
BM ni bora ailinde, Heshima yake kwa Taifa kuliko anakoelekea kisiasa maana kushinda hawezi kushinda, Ila Act watapata nguvu katika uchaguzi kutokana na haiba ya Kiongozi huyu mahiri katika diplomasia.
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani
Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
Ila Lisu anaweza pata Kura nyingi kuliko Membe
Dahh [emoji38][emoji38] watanzania Tuna maneno [emoji3][emoji3]Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani
Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
Hata msipo shinda mtatangazwa washindi tuuhh...Dah CCM hutatupa kura yangu ndugu yangu, tunakuomba bana, mbona umeona mambo makubwa tayari na mengi makubwaa yanakuja, au tumekuudhi, tunaomba kura yangu ndugu yangu.. Au tumekuudhi nini
Ila Lisu anaweza pata Kura nyingi kuliko Membe
Huna unalojua weweZitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
kweli mkuu ila kwa nini lissu asiungane na membe ili act watoe mgombea uraisiUjinga uleule wa siku zote wapinzani kugawana kura. kwa mtindo huu kwanini CCM wasitawale milele