Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
Kama wamefukuzwa, basi wako huru kufanya watakavyo.
 
ACT leo watasherehekea, ni haki ya Membe kutimiza ndoto yake, mimi nikiwa CCM na shabiki kindaki ndaki wa JPM, nakutakia Mh. Membe kila la kheri, ujue yoote ni maisha, kwa roho safiii fuata moyo wako unasemaje. Tukutane kwenye campaign siku chache zijazo. CCM huku tushajikoki yaani.. Haaa
 
Wewe hujui unachosema, Kwani Uchaguzi ukiitishwa kila chama si kinakua na fungu lake kwa ajili ya uchaguzi? Kama ni ndio hizo fedha zitazotolewa kwa ajili ya uchaguzi Chadema hawatawafikia mpaka wafikie kutumia fedha za mtu binafsi?
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani

Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
 
Ujinga uleule wa siku zote wapinzani kugawana kura. kwa mtindo huu kwanini CCM wasitawale milele

Kwani wapinzani wana kura za pamoja useme zinagawanyika? Huyo Membe yeye hana wapiga kura huko ccm, bali anafuata hizo hizo za wapinzani tu? Sasa kama yeye hana kura za watu wa ccm, anakuja upinzani kuongeza nini?
 
Sio Mbaya..
Atapata kura za kisirani.

Atamuongezea Wabunge.

I'll vote for him.

Dah CCM hutatupa kura yangu ndugu yangu, tunakuomba bana, mbona umeona mambo makubwa tayari na mengi makubwaa yanakuja, au tumekuudhi, tunaomba kura yangu ndugu yangu.. Au tumekuudhi nini
 
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani

Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano

2010 Slaa alikuwa na hela gani? Lissu hahitaji kuzunguka nchi nzima kama issue ni kuzunguka nchi nzima. Hoja za Lissu zinaweza kuzunguka nchi nzima, bila hata yeye kuzungusha sura yake. Ingekuwa kuzunguka nchi nzima kunaleta mvuto, basi mwenge wa uhuru ungepata mvuto maana unazunguka nchi nzima. Lissu ndio sahihi against Magufuli, na ukweli huu tunaujua na hatutoki kwenye hilo.
 
KABISA! tena hivi sasa Nyota ya Lissu itang'ara Zaidi kuliko wakati ambapo BM alipokua kimya, Kwa sababu angejiunga Chadema angeleta seke seke la kutaka lazima agombee yeye, Kama wakati ule wa Lowassa. Njia Ya Lissu sasa ni Nyeupe Ushindi upo Mikononi mwa Chama Makini,CHADEMA
Ila Lisu anaweza pata Kura nyingi kuliko Membe
 
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani

Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
Dahh [emoji38][emoji38] watanzania Tuna maneno [emoji3][emoji3]
 
Dah CCM hutatupa kura yangu ndugu yangu, tunakuomba bana, mbona umeona mambo makubwa tayari na mengi makubwaa yanakuja, au tumekuudhi, tunaomba kura yangu ndugu yangu.. Au tumekuudhi nini
Hata msipo shinda mtatangazwa washindi tuuhh...

Wacha nimfute machozi Membe.
 
Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
Huna unalojua wewe
 
Ujinga uleule wa siku zote wapinzani kugawana kura. kwa mtindo huu kwanini CCM wasitawale milele
kweli mkuu ila kwa nini lissu asiungane na membe ili act watoe mgombea uraisi

eeeh yaan chadema wawasapoti ACT Nafasi ya uraisi kuepuka kugawa kura
 
Back
Top Bottom