AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kama wamefukuzwa, basi wako huru kufanya watakavyo.Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.