PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

Hiki ni chuo cha mambo ya itikadi....ufadhili ni wa chama cha kikomunisti cha china mfadhiliwa ccm wala sio Tanzania. Hapo unganisha dots
 
Hongera awamu ya sita.

Hiki chuo kimeanza kujengwa awamu ya 5 ya Rais Magufuli.
Na ujenzi wake umedhaminiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya China!

Hivyo sidhani kama ni sahihi sana kuipongeza awamu ya 6! Maana haijachangia chochote kwenye ujenzi wa hicho chuo.
 
Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika.
Hongereni. Falsafa ya Mwalimu ndiyo dira ya Tanzania, kama China na Mao wao! Ila Elimu ya wengi wenye maoni Yao hapa, ni ya kuwapotosha TU, kwamba ni chuo Cha CCM!
 
Chuo kimejengwa mpaka nataman nirud shule ila nikikumbuka sarakas za malect acha waendelee tu
 
Anaejua mahali kipo hiki chuo kwa pale kibaha anielekeze...plz
 
Kibaha kwa mfipa kuna rami inaingia kushoto kama unaelekea viziwa ziwa ndio chuo kipo
 
Back
Top Bottom